Nilipata ulemavu sababu ya Mapenzi

Pole sana kaka. Yaani pole nyingi nimeumia kweli utafikiri tumetoka tumbo moja... Naamini kwa muda wote huo ulikuwa umeshaanza kumsahau lakini baada ya kuskia hili tukio la yeye kuolewa ndio ikaamsha maumivu upya mpaka kufikia hatua ya kuandika huu uzi.

Nachelea kusema huu uzi utakupa ahueni kubwa sana na kama ulikuwa huna hamu ya kula basi leo utakula.

Nachokuomba usije ukathubutu kufuatilia tena habari zake tena, maana chochote kinachompa furaha upande wako wewe itakuwa ni maumivu. Hii ni kawaida kwa binadamu karibu wote tuko hivyo, kuwatakia mabaya waliotukosea na ikiwa tofauti basi tunaumia.

Huwa naamini binadamu yoyote ambaye bado hajakata punzi, Basi anaweza akaishi na furaha regardless his/her physicality.

Cha msingi tu tafuta mfumo mzuri wa maisha unaoendana na hali uliyonayo utakao ku-keep busy kiakili kiasi kwamba haitakuwa rahisi kwa wewe kufikiria mikasa mibaya iliyowahi kukukumba huko nyuma.

Halafu hii mikasa imekuwa mingi Sana siku hizi... Aisee Kuna haja ya sisi wanaume kupeana seminar namna ya kuishi na hawa viumbe nyakati hizi hili matukio kama haya yasiendelee kutokea.

Wanawake wa Leo sio Kama mama zetu.

Women are no longer the way they used to be back in old days.

Gone are the days when men give the huge sacrifices for women's interest and women reciprocate by being loyal and treat men like Kings.

Now days things are way different, you treat your woman like a queen, she treats you like trash in return.

Wanawake wana kitu kimoja kinaitwa natural state of hypergamy, na ndicho kilichoku-cost wewe na wenzako wengi sana.

Kuna siku nitakizungumzia kwa mapana jinsi gani ya kukitambua kwa haraka na kufanya maamuzi sahihi kabla hujawa muhanga.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
asante ndugu nashukuru
 
Unayo nafasi ya pili kwenye maisha

Fungua moyo wako narudi Tena fungua moyo wako katu usikatishe maisha yako

Bado unayo thamani kubwa katika haya maisha .

Move on focus on yourself and work

Msamehe na na malipo yake atayapata hapa hapa dunia
Asante ndugu yangu Mungu anisimamie moyo wangu upate amani na usamehe japo ni ngumu.
 
Daaah pole sanaaa mkuu mitihani tumeumbiwa binadamu jipe moyo kubali hali halisi maisha yaendelee basi
 
Pole kwa kupata uchungu
 
Unaweza kumhurumia mtu kumbe aliwatupa wazazi ila kwa mwanamke akawa radhi kumkopea 7M

Ila mimi...mdomo koma
 
Pole sana.

Watu wa jf punguzeni ukali wa maneno kwa mleta mada.

Tujifunze kuona maumivu na magumu ya wengine.
 
Mungu hana muda na mambo ya binadamu.
 
asante ndugu yangu kwa kuweza kujua ninavyoumia kwakweli muda mwingine unawaza kifo ni bora kuliko uhai, maana kila ukijitizama unajichukia unachukia maamuzi ya kichwa changu na nachukia kukutana na binadam mwenzangu hapa duniani, kwani muda mwingine naamini nisingekutana nae huenda niaingekuwa hapa muda huu
 
Pole sana.

Watu wa jf punguzeni ukali wa maneno kwa mleta mada.

Tujifunze kuona maumivu na magumu ya wengine.
asante ndugu yangu ndio maisha haya, nilifanya kosa nastahili lawama
 
Ulikosea kumuamini mwanamke narudia Tena kosa kubwa ndy Hilo
 
Mkuu pole sana sana kwa tatizo la kutosikia hata mm nilipata ila miaka kama 4 nyuma kwa quinine izo izo ila na story ya mapenzi ilishanitokea kama ivyo

Kifupi kuna kitu mfano ulipomfuata ila mm demu alinipenda sana mpaka washkaji wakanshtua oya demu anakutaka tukiwa chuo mwaka wa kwanza basi nilikuwa sina ishu nae kabisa napambana na matatizo yangu niko mnyonge lecture siambulii kitu more than notes on a pamphlet basi bhana nikamtokea akakubali fasta sasa mm ndo nikampenda zaidi hajawa kuniomba hela sema mm boom likitoka namega kwa wazazi iliyobaki budget ya mihogo kuiifanya mgumu kumbr pesa sina

Kuna kipind mwaka wa tatu alianza kuomba pesa anapiga gharama mara anataka laki ya nguo tu 😂😂😂mi mwenyewe sina namchana mi mweupe sina hela dharau zikaanza kaka hapokei simu ,anajibu kwa nyodo ,kuna siku anasema eti bora tuachane then anacheka nikaona poa tu nikamwambia goodbye sitokupigia simu hata siku moja

Laiti ningembembeleza yangenikuta kama hayo kaka yaliyokukuta but nilijikuta niko sahihi kwa kiasi fedha nilituma kwa wazazi baraka namaliza tu chuo naajriwa na salary ya pesa ndefu kidogo sina presha🤣🤣🤣🤣nangojea alijelete tu
 
Iyo b
Ni mambo ya kinga kabisaaa.!!! Mi sikupi pole... iyo biashara ungemfungulia bi.mkubwa wako ingekuwaje.? tatzo sifa za kijinga mwache aolewe tu hamna namna pambana hali yako. Wazazi wamekupambania na kukusomesha ad umekuwa na kaz et mwanamke anakutia uzuzu, tafuta tu mwanamke ukiwa na hamu tafuta kicheche cha kutolea ugum then kiache usiweke kambi
 
Duniani mwanamke ndio anaongoza kwa roho mbaya na chanzo cha matatizo.
Kaka wanawake hatar sana ndo the number of single mothers has been increasing day to day wanazidisha dharau usipomuacha akikuacha utapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…