Nilipata ulemavu sababu ya Mapenzi

Pole Sana mkuu

Ila kuhusu suala la deni naamini benk nyingi Zina kipengele cha disability kama security ya kutokuendelea ila lazima iwe permanent na iathiri ufanisi wako wa kazi

Ivo fuatilia mkataba maana uwa hatusomagi
asante ndugu ila kuhusu deni la bank kiwanja kiliuzwa, pia sikuwa vibaya sana nikalipa ila ndio nikabakia sina kitu kabisa.
 
asante ndugu nitajitahidi na kuhusu kujiajiri ninamtaji wa laki 6 nataka niuingize kwenye biashara ya nguo za mtumba kuanzia january
 
Ndugu, unasema "Bado unalia sana". Pole sana, lakini sasa USILIE TENA. Bado una uzima japo sio 100%. Uchungu na hasira na huzuni yote uliyo nayo, iweke kwenye kupambana na maisha hadi ufanikiwe sana.
 
Asante kwa ushauri ndugu yangu ubarikiwe sana
 
kuhusu mtaji kwakweli ninayo laki 6 na nataka nianze nayo hiyo (sina shida ya mtaji), kuhusu kazi nimekata tamaa baada ya kukosa awamu hii ya kwanza ya ajira. Ndio maana nimegeukia upande wa pili wa kujiajiri nikiamini nitafanikiwa zaidi. Japo sijajua mkoa unaoweza nifanikisha kwa biashara ya mtumba hapa nchini kwa mtaji wangu wa laki 6.
 
A very touching story.Ki-umri nipo sawa na wewe ila kwa uliyopitia na unayoendelea kuyapitia ni mazito sana ndg yangu M/Mungu akupe uvumilivu na subra kama vitabu vya dini vinavyotusihi.

Muda wote kiumbe kiitwacho mwanamke au kiumbe chochote chenye jinsia ya kike kiogope sana because generally they have short sight on how to see things.

Usije ukajaribu katika maisha yako katika kiumbe hiki ukawekeza moyo wako,mali zako,siri zako au hata uaminifu kwake ni jamii isiyo na shukrani kabisa though sio wote ila naamini 95% hawana shukrani yaani wamejawa na tamaa.

Ulikosea sana ulipoamua kuwekeza 7.M kwake ili afanye biashara lakini asivyo na shukrani amekusaliti mbele ya rafiki yako then uka-panic na kupata ulemavu ambao hukua nao katika kipindi cha kuzaliwa.

Jipe moyo ndg yangu naamini utashinda kwani ulemavu sio mwisho wa maisha.
 
Hebu chukua mahari umkabidhi kwangu nami ntamkabidhi dunia na vilivyomo
 
Amen ndugu yangu naimani ipo siku yataisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…