Nilipata ajali, nikafanyiwa 'stiching'

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
277
195
Habar zenu wana jamvi!

Mnamo tarehe 15 mwez wa 12/18 nilipata ajal nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu...nilipata majeraha sehemu tofaut-tofaut za mwil ikiwemo usoni, hasa kweny paji la uso, ambapo niliumia zaid na kulazimika kufany 'stiching' (cjui km ni terminology yenyewe hii au laah, lkn namaanisha nishonwa nyuzi km njia ya tiba!)

To cut the story short.

Nyuzi cjatoa mpk sasa hii ni wk ya pil naenda nayo...juz nilitaka kutoa nurse akanambia kidonda kipo septic so cwez kutoa nyuzi, Sasa naomba kufahamu haya yafuatayo kutoka kwenu experts:
1. Ukikiweka ktk hali ya usafi, mshono unatakiwa kutolewa nyuz baada ya mda gan??
2. Je, jeraha lililofanyiwa stich linatakiwa kusafishwa na kufanyiwa dressing baada ya siku ya kwanza ya kupata huduma (km jibu ni 'Ndio', je, ni kila baada ya mda gani?? Km ni 'hapana' ni kwann?? Maana hapa ndo pamenifelisha kwa kiasi kikubwa...nilipata huduma ktk hosptal tatu tofaut...centre ya kwanz, ambao ndo nlipokelewa kwa mara ya kwanz baada ya ajal, walinambia nisafishe kla baada ya cku mbil.

Centre ya pil walinambia jeraha ya lilo stich wa hua halitakiw kua disturbed so sitakiwi kukifungua kidonda mpk cku naenda kutoa nyuz!! Center ya tatu, wakanambia km nilivoambia centre 1...
Which is actually which?? I need to know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwengine doctors wanakuwa kama waganga wa kienyeji,inafika mahali unashindwa kujua yupi ni daktari yupi siyo daktari.

Pole bro ngoja waje wataalam ila ningekushauri usipende sana kwenda hizi private hospital nenda hospital za serikali huwa kunakuwa na huduma nzuri sana linapokuja suala la ushauri hata matibabu siku izi huwa kwa kiwango kizuri siyo kama zamani nimewahi kushuhudia hili.

Kat ya hospitals nilizo attend mbili ni Public, na moja ni private dispensary...kat ya hizo public moja ni zahanat ya kata, na nyngine ni hosptal kubwa tu ya wilaya hapa Dar.

Kwavile ilikua ni ajal, Police form namba 3, ilinitaka niende Public hosptal yyte kwa matibabu...so nkaenda iyo hosptal ya wilaya. Na wakanambia niwe nakisafisha after 2days. Same thing nilipoenda kweny hyo dispensary ya mtu binafs. Ila utofaut ilikua kwa ile zahanat ya kata, nurse na doc wke wakanibadilishia utaratbu wakisema skutakiwa kukifungua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ninavyofahamu, kidonda kikishonwa itabid kikae siku Saba, then nyuzi zitolewe, ndipo kianze kuoshwa kwa interval ya siku mbili, sepsis yaweza kua kwasabab ya usafi wako binafsi, na muda toka umeumia mpak ukapata matibabu vilevile dawa ulizopewa zinaweza kua zilishindwa kupigana na hao wadudu.
 
Sawa. Ahsante! Kikae 7days bila kufunguliwa. Km hali ya hewa ni ya joto hakutakua na shda?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar zenu wana jamvi!

Mnamo tarehe 15 mwez wa 12/18 nilipata ajal nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu...nilipata majeraha sehemu tofaut-tofaut za mwil ikiwemo usoni, hasa kweny paji la uso, ambapo niliumia zaid na kulazimika kufany 'stiching' (cjui km ni terminology yenyewe hii au laah, lkn namaanisha nishonwa nyuzi km njia ya tiba!)

To cut the story short...
Nyuzi cjatoa mpk sasa hii ni wk ya pil naenda nayo...juz nilitaka kutoa nurse akanambia kidonda kipo septic so cwez kutoa nyuz...
Sasa naomba kufahamu haya yafuatayo kutoka kwenu experts:
1. Ukikiweka ktk hali ya usafi, mshono unatakiwa kutolewa nyuz baada ya mda gan??
2. Je, jeraha lililofanyiwa stich linatakiwa kusafishwa na kufanyiwa dressing baada ya siku ya kwanza ya kupata huduma (km jibu ni 'Ndio', je, ni kila baada ya mda gani?? Km ni 'hapana' ni kwann?? Maana hapa ndo pamenifelisha kwa kiasi kikubwa...nilipata huduma ktk hosptal tatu tofaut...centre ya kwanz, ambao ndo nlipokelewa kwa mara ya kwanz baada ya ajal, walinambia nisafishe kla baada ya cku mbil. Centre ya pil walinambia jeraha ya lilo stich wa hua halitakiw kua disturbed so sitakiwi kukifungua kidonda mpk cku naenda kutoa nyuz!! Center ya tatu, wakanambia km nilivoambia centre 1...
Which is actually which?? I need to know

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana bro,lakina sababu ya kwanza ya sepsis ni kutokusafishwa kidonda na kutoa seli zote zilizokufa katika jeraha lako(surgical toilet) kabla ya kushonwa.

Pili,ni vifaa walivyotumia havikua katika hali ya usafi wa kutosha(unsteralized).
Tatu ni usafi wako binafsi.
Kusuhu nyuzi kuna nyuzi za kutolewa(Non absorbable suture) na zisizotolewa(Absorbable suture).
Endapo umeshonwa kwa nyuzi za kutolewa minimum ziweza kutolewa baada ya siku saba(au zaidi kutegemea na hali ya kidonda ila haitakiwi kuzidi siku 14).

Kuondoa Gauze haitakiwi kuzidi 24 hrs,kidonda kinatakiwa kibaki wazi ili kupunguza bacteria kuzaliana esp Anaerobic bacteria.
 
Wakati mwengine doctors wanakuwa kama waganga wa kienyeji,inafika mahali unashindwa kujua yupi ni daktari yupi siyo daktari.

Pole bro ngoja waje wataalam ila ningekushauri usipende sana kwenda hizi private hospital nenda hospital za serikali huwa kunakuwa na huduma nzuri sana linapokuja suala la ushauri hata matibabu siku izi huwa kwa kiwango kizuri siyo kama zamani nimewahi kushuhudia hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna formular kwenye matibabu, ukitatizika muone/muulize daktari wako akupe majibu. Saa nyingine mgonjwa anatibiwa kulingana na machaguzi ya daktari (clinician decision). Hilo la kuanzia hospitali "A", nyuzi unataka kutolea hospitali "B", kidonda kinapata shida unakipeleka hospitali "C" ,lazima usielewe. Kwa sababu ulioenda kumwambia akutolee nyuzi sio yule aliokuambia uziache ni wazi majibu yatakua tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana bro,lakina sababu ya kwanza ya sepsis ni kutokusafishwa kidonda na kutoa seli zote zilizokufa katika jeraha lako(surgical toilet) kabla ya kushonwa.
Pili,ni vifaa walivyotumia havikua katika hali ya usafi wa kutosha(unsteralized).
Tatu ni usafi wako binafsi.
Kusuhu nyuzi kuna nyuzi za kutolewa(Non absorbable suture) na zisizotolewa(Absorbable suture).
Endapo umeshonwa kwa nyuzi za kutolewa minimum ziweza kutolewa baada ya siku saba(au zaidi kutegemea na hali ya kidonda ila haitakiwi kuzidi siku 14).
Kuondoa Gauze haitakiwi kuzidi 24 hrs,kidonda kinatakiwa kibaki wazi ili kupunguza bacteria kuzaliana esp Anaerobic bacteria.
Oooh! Nashukuru sna!
Hyo gauze hua inawekw kwnye jeraha baada ya kutoa nyuz?? Mana mi walipoondoa nyuz hawakuki treat kidonda kwa dawa yyte, then wakanipiga bandage...could that bandage act in a place of a gauze u talked abt?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom