Niliomba msaada kwa anayejua tatizo la kushindwa fanya jimai

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
670
203
Nilianzisha uzi huo nikiwa nahitaji msaada wa mawazo kwa wadau ila ni watu wawili tu walo changia

Sa nashindwa kuelewa ni wataalam hawapo ama kuna namna natakiwa kufanya kubust topic yangu


Nazidi kuwashukuru kwa wale wanao jitokeza kusaidia watu
Natanguliza Zangu shukrani
 
tatizo ni lugha uliyotumia kuwasilisha ujumbe.
tumia kiswahili cha kawaida tu eg kugegeda nk
 
  • Thanks
Reactions: 314
Fanya mazoezi ya kegel ili urudishe mzunguko wa damu katika viungo vya uzazi


Ila kama ungefafanua zaidi unashindwa vipi na ulianza vipi watu watakusaidia
 
Funguka mkuu, unatumia ID fake kwa hiyo usiogope. Sema kama kugegeda, je mashine haijawahi simama kabisa? au unakojoa baada ya sekunde? au unashindwa rudia bao la pili? Funguka watu wengi hatuelewi jimai mpaka ulivosema maana yake kwenye huu uzi.
 
una shida halafu unaweka misamiati mkuu?? usiogope weka mambo hadharani mkuu iwe rahisi kwa wachangiaji
 
we jamaa unazingua Mficha uchi hazai eleza unashindwa vipi tukupe mikakati ukawagegede fafanua unashindwa vp???????????
 
Umelalamika watu hawajajibu uzi wako watu wamekuja kukukujibu halaf umeyeyuk
 
Back
Top Bottom