Nilimzalisha dada yangu, nitapata laana?


nilikua nakataaa kama wewe...siku niliposhudia jirani zangu wanamegana nkaamnini....tulipanga nyumba nzima vyumba vitatu....tulipoanza kazi.... mwenzangu akamleta mdogo wake wa kike.... mi nkawa nimemchukua mtoto wa maza mdogo wa kiume watusaidie vijikazi na maduka..... dogo siku akawakuta wanakulana....akaniambia sikuamini...... nilisafiri kikazi nkaondoka na dogo..... siku narudi.... nimewakuta sebuleni wanapigana miti.....nilishangaa sana...... maana nimegonga geti weeeee kimya aah.... .nkaruka ukuta ..si funguo ya mlango wa ndani nnayo....nafika mlangoni upo wazi.... yarabiiiiiiii....... mfanyakazi mwenzangu anamla mdogo wake.....
 
Hii habari kama nilishawahi kuisoma sehemu ingawa sikumbuki vzr ni wapi maana ni zaman kidogo.
 

ngumu kumeza....rahisi kuagiza
 
Ni kweli ila ndugu wa damu/tumbo moja ni nadra sanaaa.
Binafsi nlishawahi tongozwa na ths distant cousin of mine. Nlipotezea tu, ila hata now nikiamua naenda namvua pichu bila wasi wowote.
Waswahili wanasema "kuku ni kuku tu,jogoo jina"
 

Duuuuh.....ila inabdi uwe na roho ngumu sanaaa kufanya hcho kitu. Unaanzaje mtongoza ?? Yaweza ikawa ni issue za kishirikina pia.
 
Waswahili wanasema "kuku ni kuku tu,jogoo jina"

Acha tu aisee.....nahisi ningekua naishi nae nyumba moja ningesha mtafuna huyu binam yangu...ana mvuto balaa. Nlikua nampa vihela vya kumsaidia shida ndogo ndogo cz ni mdogo wangu. Siku akanipasulia live... Nikamuangalia straight machoni and we all laughed. Ni vile it was agreed already but nikapotezea. She z like 26 of age.
Ila dada wa tumbo moja...its way serious, haiwezekani kabsa.
 

Hii kitu ya Wachaga ulifanya utafiti au unaropoka tu??!!
 
Embu elezea ladha yake ndo tukushauri bana
 
Najisikia legelege mwili mzima nimeshindwa kumaliza hii hadithi yako, hata kama ni ya kutungwa du haisomeki aise
 
Haya mambo yapo sana, ila familia huwa zinayaficha...ingawa wengi wanatembea na ndg zao hawafikii hatua kubwa ya kuzaalishana
mkuu, Bible imeandikwa hivi, amelaaniwa yeye alalaye na dada yake....na watu wote waseme amina. (yapo mengine mengi kama vile kulala na binti yako, kulala na baba yako, mama yako, mama mkwe, baba mkwe, kulala na mama wa kambo, mke wa baba yako n.k). hivyo ni kweli, hiyo ni laana na itaenda hadi kizazi cha nne cha uzao wako.

kitu cha muhimu ni kwamba, hiyo ni dhambi, usirudie tena, ikimbie kwa nguvu zako zote kadiri uwezavyo. kwani utazidi kujipalia makaa kama ukiendelea kuendekeza. God forbit!
 
cha kufanya hapo nyie endeleeni tu na mapenzi yenu na mlee wanenu tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…