Nilimwona Mzee Bakhresa Akitafakari Sana

Nilimwona Mzee Bakhresa Akitafakari Sana

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa

=============================
Katika mfumo wa soko huria serikali haitakiwi kuingilia biashara.

Magufuli anaingilia biashara kwa kuchagua nani azalishe nini.Kauli zake zinaingilia biashara huru.
Kuna watu tayari wako katika biashara ya sukari. Wengine wanaanzisha viwanda as I write this.

Magufuli kawapita wote bila hata kuwasikiliza matatizo yao na kwenda kumtaja anayemtaka yeye afanye biashara hiyo bila tenda wala hata mazungumzo yanayoeleweka.

This is unfair and unpresidential.

This article below talks about 150 tonnes of sugar a day, that is nothing to sneeze at!

http://allafrica.com/stories/201606240711.html

24 June 2016
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)

Tanzania: Mikumi to Have Mini Sugar Factory
By Abduel Elinaza

Mikumi sugarcane growers have reasons to smile as local investors are finalising proposal to build a small scale sugar factory.

The investors, under Geoman Cane Estate Limited, received 287,000 US dollars (about 600m/-) addition support from the Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT)'s Catalytic Trust Fund to boost their activities meant to expand market for farm produce from small scale farmers.

The founder of the company, Dr George Mlingwa, said during the handover ceremony of the grant in Dar es Salaam on Wednesday that the factory will have the capacity to produce 150 tonnes of sugar per day at starting stage before reaching its maximum 500 tonnes.

"There are about 500 families that depend on sugarcane cultivation, but they stopped farming due to long distance from Mikuni to Kilombero - about 70 kilometres away," Dr Mlingwa said.

The growers, under Mikumi Sugarcane Growers Association, have the capacity of producing between 5,000 and 10,000 tonnes of canes a year depending on market availability.

Dr Mlingwa, a former Member of Parliament (MP) for Mikumi constituency, said once in operation the association will be given not less than 10 per cent of the company's share. The total investment for the mini-sugar factory 8.0bn/- was raised through a commercial loan

The company needed an extra 400,000 US dollars (over 800m/-) for supporting the out-growers and purchasing of canes managed as part of the money. The SAGCOT CTF loan is footing the gap.

The remaining balance was secured from Southern Agriculture Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT) Catalytic Trust Fund loan. The factory output will assist reducing the country's sugar deficit by 1.3 per cent and also economically empowered Mikumi residents.

"The cane growers used to sell their products to jaggery (unrefined sugar) producers. Today there is no jaggery producer thus complicated their sugarcane cultivation," Dr Mlingwa said.

The factory has the capacity of employing 200 staff. The SAGCOT CTF Executive Secretary John Kyaruzi said the project was outstanding since it will assist to boost farmers' welfare and reducing sugar deficit.

"And the good thing, the project only needs less than a year to go into production. Therefore farmers will start selling their canes in next season," Mr Kyaruzi said. The CTF rationale is to increase demand side and create new markets for agriculture produce that way enables farmers to increase output due to ready available marketplace.

The CTF financing is provided at a low cost or interest free loans, repayable as soon as business attracts private finance, thus catalysing and sustain local content in agribusiness investments.

Update kwa hisani ya Kiranga
 
bakhresa group huwa hawakurupuki kujiingiza ktk biashara.

nasikia wana ya kampuni ya consultancy inayomilikuwa na raia wa kigeni ambayo huwa wanaitumia kuwafanyia feasibility study kabla hawaja risk kuwekeza ktk biashara mpya.

Nina hakika hata hili la kiwanda cha sukari,hawatakurupuka.
 
hakuna deal zuri kama hilo, hekari 10,000 si masihara lazima bakhresa alikimbilie! na JPM alijua tu bila motivation hiyo Bakhresa hatajenga hicho kiwanda, ila bakhresa akitumia watafiti wake hiyo busness itafanikiwa na wafanya biashara kibao watawekeza huko pia
 
Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa
Kumrejeshea sukari yake iliokamatwa kwa agizo la serikali si Rushwa mamboleo?
 
Mbele ya kiwanja cha bure tena kikubwa hata ka ni mimi najenga tu kiwanda.
Bei wamesema estimate $10Million kwa kila kiwanja, hiyo pesa kwa Bakhresa sio kitu, na kwa sukari anaweza kuirudisha fasta tu maana serikali tunapokwenda tukiwa na sukari ya kujitosheleza ujue import yote itapigwa chini kama sio kufunga kabisa wanaweza weka tarrifs za hatari, kwa hiyo jamaa atauza sukari nchini si mchezo. Yaani hapa Rais anazidi kumtajirisha jamaa.
 
1475838953165.jpg
 
Kiswahili ni shida sana hasa mjini.Rais hakumlazimisha na ndo akasema"ukiwa tayari hata nitakupa"labda nimenukuu vibaya lakini kwa kiswahili maana yake akitaka atapewa.
Aliongeza maneno hapo. Alisema atafurahi na anaamini kuwa atamkubalia. Unategemea nini hapo?
 
Bora maana wana
bakhresa group huwa hawakurupuki kujiingiza ktk biashara.

nasikia wana ya kampuni ya consultancy inayomilikuwa na raia wa kigeni ambayo huwa wanaitumia kuwafanyia feasibility study kabla hawaja risk kuwekeza ktk biashara mpya.

Nina hakika hata hili la kiwanda cha sukari,hawatakurupuka.
mtihani
 
Pengine Hakuwa Tayari Kuingia Kwenye Kilimo Cha Miwa. Pia Kila Kitu Ni Mipango, Na Alihitaji Kwanza Kutegemeza Alivyo Navyo Ndio Aangalie Aina Mpya Ya Biashara. Sasa Kapewa Eneo, Tena Na Rais! Mbaya/zuri Zaidi Kaambiwa Na Cha Kuzalisha, Yani Sukari Ya Viwandani. Naomba Tujadili Hili. Ni Afya Kibiashara Kuongozwa Kufanya Jambo? Kwani Kwa Mujibu Wa Kauli Ya Rais Ni Lazima Alime Hiyo Miwa
BAWACHA RAIS ALISEMA AKIWA TAYARI
 
Back
Top Bottom