Sikumsubiria ilikuwa ndani ya ratiba zangu akajichomekaUlimsubiria wa nini mpaka muda wake wa kutoka baa ufike,alafu ukakubali kuondoka nae.
Ila mbele ya safari anajitambulidha kama demu wako unaogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ile bar ni balaa Wahadhiri ndio kabisa,Kuanzia Migombani, kwa Afande hadi kwa Chuwa, hadi Mbunge mmoja alishaondoka na Mtangazaji naye ameondoka walikua maalwatani sanaNa wahadhiri wengi wa UDSM pamoja na wanachuo wao wapenda pale cut per term
Sent using Jamii Forums mobile app
Pls don't judge me wrong.. Hakuna niliposema nilifanya sherehe I am a God fearing creature naheshimu uumbajiNa uliweza kulala vizuri kabisa baada ya hapo? interesting...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] tugawane faida boss you are the next bill GATES
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], nasubiri mwisho wa mwaka useme ukimwambia mtu afufuke anafufuka huwenda akataja ni kiasi gani anatengeneza kwa mwaka.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] tugawane faida boss you are the next bill GATES
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisasi sio juu yetuUlijisikiaje baada ya kusikia huyo dada amefariki?
Malizia sentensi zako ili neno litimie, upo tayari kufanyaje, kunywa chai au kupika?Nmeandika nipo tayari hapo juu.
Unajua kusoma?
Never mind about this story nipe deal kama inalipa nitawekeza... At the end tunahitaji SHEKELIKugawana faida toa mtaji mdogo leo kabla bei ya kiingilio haijapanda.
Hawa fanboys wako wanaamini sana kwamba ukisema nitakufa, nitakufa.
Wakati wote tutakufa, na ukisema mtu atakufa hujatabiri kitu.
In fact ukisema jua litachomoza kesho asubuhi unakuwa umefanya utabiri mkubwa zaidi ya mtu ambaye anasema fulani atakufa.
Tulipaita kaburini... Mungu ni mwema WE ARE LEFT TO TELL [emoji144] [emoji144] [emoji144] Tumesalimika tusimulie[emoji3] [emoji3] [emoji3]Dah ile bar ni balaa Wahadhiri ndio kabisa,Kuanzia Migombani, kwa Afande hadi kwa Chuwa, hadi Mbunge mmoja alishaondoka na Mtangazaji naye ameondoka walikua maalwatani sana
Malizia sentensi zako ili neno litimie, upo tayari kufanyaje, kunywa chai au kupika?
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Sijafurahia wala sijajitapa popote! Soma unieleweUsifurahie sana inabidi ujichunge sana na mdpmo wako si ajabu Siku moja ukanena yakakurudia usijitape hadi kuandika mitandaoni.
Duuuuh mkuu pole sana na huo mkasa. Umenikumbusha kitambo kidogo kuhusu Igongwe. Ila ilishavunjwa siku hizi naona nikipita pako kimya sana.
We endelea kuua ma bar maid tu kwa sasa.Never mind about this story nipe deal kama inalipa nitawekeza... At the end tunahitaji SHEKELI
Sent using Jamii Forums mobile app
That's too much bro! Just relax why so much fuss! This is just social network!Niko tayari mtu yeyote aseme nitakufa.
Unataka nini zaidi?
Huyo Mungu wako Mshana unayemuogopa kwamba anaweza kuua watu kwa maneno yake ananiomba deal.
Fucktard.
Huyo MTU kakufanya nini mshana,umenikumbusha stori za mwana marundiNimekumbuka hili tukio kuna mtu kanikera leo nikataka kumwambia utakufa ila nikasita
Sent using Jamii Forums mobile app
I have not even started and you are already saying it's too much.That's too much bro! Just relax why so much fuss! This is just social network!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] Kwahiyo hutaki tena tufanye biashara? Barmaids are there to stayWe endelea kuua ma bar maid tu kwa sasa.