Ni pm tafadhali.Hahahahaa dah
Last edited:
Ni pm tafadhali.Hahahahaa dah
Already.....Ni pm tafadhali.
Sasa hapo penye kuoa hapo pagum, maisha yenyewe mashikaji hayaelewekiMwambie afanye kama alivyoambiwa.
Si wanapendana? Aoe maisha yaendelee.
Kuhusu kurekodiwa kama kuna unyama kafanyiwa utakua ndio ushahidi wa kumtia hatiani huyo mfanya unyama na alierekodi.
Ila story ina kauongo hii.
wasipokoma washuri yaoSana, hasa ukikutana na wanaume wenye tabia za kiume wala hupigwi ila adhabu unazopewa ni mara 10 uvunjwe hata mguu
ha ha ha ha kachoma utambiIlivyo utakuwa wewe ndo ulimtonya jamaa,
........................... bye.
hiiii ngumu kimesaaa......!!!Waliambiwa wafanye matusi na dushe lake likasimama????
Na mume akavumilia na kuwashuhudia???
Mmmmmmmmmmmmmmmmmh