Nilimwambia alikuwa mbishi, Leo yamemkuta.....

Nilimwambia alikuwa mbishi, Leo yamemkuta.....

Mhhhh!...50% si inaweza kuwa km bn1 moja hivi ee...achukue tu!
Mkuu hawa wake wa watu ni balaa.Mpaka unajiuliza wanatupendea nini mabachelor,Mimi nimeshajitenga nao nawaogopa kama ukoma lakini bayo ndio hayasikii kazi kutaka vijana wadogo hali yakuwa yameshakuwa mabibi.

Kuna mke wa mtu kanizid kama miaka 14 lakini haishi kunitumia picha za ajabu na meseji za mapenzi za kunitaka.

Mpaka najiuliza sijui niwambie wazee wa hapa mtaani kwetu, Ili wamwambie huyo mmama aache tabia hizo.

Maana mi nmeshamwambia kuwa simtaki lakini ndio linakazana.

Akimuona sasa manz wangu kaja geto kwangu wekend,ndio kutuma text kunaogezeka na vipicha picha vyake vya ajabu.

Aisee mpaka unaigopa kuoa kama walio olewa wenyewe ndio hawa.
 
Unauliza ufanye nini wakati ulishamaliza kazi yako ya kumshauri kabla hayajamkuta!

Mwambie huna cha. kufanya zaidi ya kuendelea kumuonea wivu kama alivyokujibu mapema.
Unaweza kumuona alie fanya hiki kitendo ni mbaya cha mgegeda mke wa mtu lakini hawa wake wawatu wengi wao ni malaya sana.

Sijui wanawapendea nini vijana?

Mi wananikera sana kazi zao kuwataka vijana wadogo,tena ukiangalia unakuta kijana haingii ata theluthi ya maisha ya mumewe.
 
Sasa anaomba ushauri wa nini wakati kahakikishiwa kulipiwa mahari 50%,

Bahati haiji Mara mbili mwambie achangamkie tenda hyo
 
Kwa hyo naww umeamua kuja kumtangaza hapa????au alikuambia umuombee ushauri jf????haikua cri yako nayy???? mh.......au ndo wale kupika maneno na kupima akil za watu
Ndo maana sijataja Jina wala eneo husika, kitendo cha yeye Kuja kunambia mimi maana ake ameona ni bora hili swala liwe tu wazi apate msaada... Na nilimwambia wazi kuwa mimi hapa pamenizidi umri but nitauliza mawazo ya watu mbali mbali ili kujua kama tutapata mawazo yatakayosaidia kutatua hili suala
 
Sasa mbona hapo sioni shida,kama mwenye mke amemruhusu amuoe mke wake yeye anaogopa nini sasa hapo,au labda hiyo kitu mbaya aliyofanyiwa (nahisi kaliwa nukta) anahofia mzigo hautafanya kazi?
Jamaa atakuwa kakorogwa tope lake.....
 
Mkuu hawa wake wa watu ni balaa.Mpaka unajiuliza wanatupendea nini mabachelor,Mimi nimeshajitenga nao nawaogopa kama ukoma lakini bayo ndio hayasikii kazi kutaka vijana wadogo hali yakuwa yameshakuwa mabibi.

Kuna mke wa mtu kanizid kama miaka 14 lakini haishi kunitumia picha za ajabu na meseji za mapenzi za kunitaka.

Mpaka najiuliza sijui niwambie wazee wa hapa mtaani kwetu, Ili wamwambie huyo mmama aache tabia hizo.

Maana mi nmeshamwambia kuwa simtaki lakini ndio linakazana.

Akimuona sasa manz wangu kaja geto kwangu wekend,ndio kutuma text kunaogezeka na vipicha picha vyake vya ajabu.

Aisee mpaka unaigopa kuoa kama walio olewa wenyewe ndio hawa.
Mkuu, hapo umenaswa kuna siku utaingia anga zake..tena atakuja gheto kimtego atakupeti wee, utalainika hadi ucheze game, hapo labda uhamie mile 1000 kutoka ulipo sasa...
 
Mkuu, hapo umenaswa kuna siku utaingia anga zake..tena atakuja gheto kimtego atakupeti wee, utalainika hadi ucheze game, hapo labda uhamie mile 1000 kutoka ulipo sasa...

Mkuu hawezi kuninasa,Lakini imenipasa nichukue tahadhari tu maana sasa hivi hata salam simpi tena na wala sihitaji kabisa mazoea nae.Maana mke wa mtu ni sumu isiyotibika hata kwa maziwa.
 
Nakushauri,

Kama ulivyojivua gamba mkuu mara ya kwanza , fanya ivyo na sasa...

maana ukijitoa huna cha kupungukiwa wala kuongezewa...yako yatabaki story kama hivi utuletee

Ila ukishauriii tu lolote..jua tamati anayo mme wake .. alafu impact itamrudia jamaa yako,,so mkazie sura mwambie kama ifwatavyo

BRO NAOMBA UNITOLEE NUKSI, NA NINGEPENDA UWAFWATE WALIOKUA HAWAKUONEI WIVU 2 MONTHS AGO,

mijitu kama hiyo ipendayo wake za watu achanaga nayo...mie nishasemaga maishani nikishika mlaji wa mke wangu labda niwe sina hela ndo ntaumia..ila lasivyo uyo mtu ntamyeyusha duniani hamtomsikia tena...acid za kutosha zinauzwa tena kwa jumla..siachi ata ushahid
 
Mwambie afanye kama alivyoambiwa.
Si wanapendana? Aoe maisha yaendelee.

Kuhusu kurekodiwa kama kuna unyama kafanyiwa utakua ndio ushahidi wa kumtia hatiani huyo mfanya unyama na alierekodi.


Ila story ina kauongo hii.
Inashtua.
Tehe!
 
Sasa kashapewa uhuru wa kuishi nae anataka ushauri gani tena?? Mwambie abebe mke wake mpya akamtambulishe kwao
Ajiolee tu. Kwanza gharama zimepunguzwa na jamaa.
 
Mkuu hawa wake wa watu ni balaa.Mpaka unajiuliza wanatupendea nini mabachelor,Mimi nimeshajitenga nao nawaogopa kama ukoma lakini bayo ndio hayasikii kazi kutaka vijana wadogo hali yakuwa yameshakuwa mabibi.

Kuna mke wa mtu kanizid kama miaka 14 lakini haishi kunitumia picha za ajabu na meseji za mapenzi za kunitaka.

Mpaka najiuliza sijui niwambie wazee wa hapa mtaani kwetu, Ili wamwambie huyo mmama aache tabia hizo.

Maana mi nmeshamwambia kuwa simtaki lakini ndio linakazana.

Akimuona sasa manz wangu kaja geto kwangu wekend,ndio kutuma text kunaogezeka na vipicha picha vyake vya ajabu.

Aisee mpaka unaigopa kuoa kama walio olewa wenyewe ndio hawa.
Pole!
 
Siku hizi kunasheria ya mtandao asiogope picha hizo hazita zagaa,pia kuoa sio lazima anaweza kumkacha huyo mwanamke ila hilo alilofanyiwa mh!sijui tumsaidiaje
 
Back
Top Bottom