Nilimuonyesha Mama wa Taifa kanda ya mauaji ya Burundi

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,430
Hii kanda niliipata katika Facebook. Nikamwambia mama(hapa nazungumza kuhusu Mama Maria Nyerere) "Hii kanda inatisha. Sijui utaweza kuitazama kiasi gani.

Kama hauwezi kuitazama zaidi, niambie,nitaizima. " Ni kanda ya dakika tano Nikaanza kumuonyesha. Hawa watu,they are quite young,wamewakamata mateka,wamewafunga mikono na miguu,wamewagag.

Wamewaweka vitambaa mdomoni,wanaanza kuwachinja mmoja mmoja na halafu kuwatupa katika mass grave,kaburi la halaiki.. Hivi ndiyo wanavyowachinja. Now read this very carefully. It is very educational. Mtu mmoja anachinja.

Anamkanyaga kichwa na mguu,anamchinja shingo nusu,yaani 50% ya shingo linachinjwa,halafu attention inaondoka kwenye shingo. Anauchoma mwili na kisu,anachoma viuongo vya ndani;moyo,ini,kila kitu,bila kusahauu,anamgeuza mtu kumchoma figo.

Wanamkata nyeti zake,sehemu za siri,na,mimi nilishindwa kuiona hii mara moja,lakini wale waliokuwa more observant wameona kwamba wanamkata ulimi,wanayatoa macho,na kuondoka nayo.

Halafu nilipigwa na mshangao,I was overcome with mirth,wakati yule muuaji mmoja anaamua kisu chake kinaanza kuisha makali kwa ajili ya chinja chinja yote iliyotokea. Kwa hiyo anaanza kukinoa.

Anashika visu viwili,one in each hand,anavinoa,one with the other. It is truly devilish. Mama akauliza,ni hasira gani inayowafanya hawa wafanye hivi.

Nikamwambia mama,tazama,hata hasira hawana,wanafanya mambo yote kwa utulivu kabisa. Unsurprisingly,mama alishindwa kuitazama ile kanda mpaka mwisho.Kwa hiyo sikumwoshesha zaidi.Nilitaka aione angalau kidogo ,ama atashindwa kuelewa jambo litakalotokea sasa hivi.

Balozi Mahiga umemsikia asubuhi katika kipindi cha Nipashe anasema Warundi "wamestaajabu" kuabiwa kuna matatizo katika nchi yao. Kwamba Warundi wameipa Tanzania jukumu la kuiondoa mashaka AU kuhusu hali ya usalama Burundi.
 
Hii kanda niliipata katika Facebook.

Nikamwambia mama(hapa nazungumza kuhusu Mama Maria Nyerere) "Hii kanda inatisha. Sijui utaweza kuitazama kiasi gani.Kama hauwezi kuitazama zaidi, niambie,nitaizima. "

Ni kanda ya dakika tano Nikaanza kumuonyesha. Hawa watu, they are quite young, wamewakamata mateka, wamewafunga mikono na miguu, wamewagag. wamesema vitambaa mdomoni, wanaanza kuwachinja mmoja mmoja na halafu kuwatupa katika mass grave, kaburi la halaiki..

Hivi ndiyo wanavyowachinja.

Now read this very carefully:

It is very educational. Mtu mmoja anachinja. Anamkanyaga kichwa na mguu,anamchinja shingo nusu,yaani 50% ya shingo linachinjwa,halafu attention inaondoka kwenye shingo. Anauchoma mwili na kisu,anachoma viuongo vya ndani; moyo makini kila kitu, bila kusahauu, anamgeuza mtu kumchoma figo. Wanamkata nyeti zake, sehemu za siri,na, mimi nilishindwa kuiona Hii Maramoja,lakini wale waliokuwa mire observant wameona kwamba wanamkata ulimi,wanayatoa macho,na kuondoka nayo. Halafu nilipigwa na mshangao, I was overcome with mirth, wakati yule muuaji mmoja anaamua kisu chake kinaanza kuisha mkali kwa ajili ya chinja chinja yote iliyotokea. Kwa hiyo unaanza kukinoa. Anashika visu viwili, one in each hand,anavinoa,one with the other. It is truly devilish. Mama akauliza,ni hasira gani inayowafanya hawa wafanye hivi.

Nikamwambia mama,tazama,haya hasira hawana,wanafanya mambo yote kwa utulivu kabisa. Unsurprisingly, mama walishindwa kuitazama ile kanda mpaka mwisho. Kwa hiyo sikumwoshesha zaidi. Nilitaka aione angalau kidogo ,ama atashindwa kuelewa jambo litakalotokea sasa hivi.

Balozi Mahiga umemsikia asubuhi katika kipindi cha Nipashe anasema Warundi "wamestaajabu" kuabiwa kuna matatizo katika nchi yao. Kwamba Warundi wameipa Tanzania jukumu la kuiondoa mashaka AU kuhusu hali ya usalama Burundi.
Andrew Nyerere tuwekee na sisi tuone. Au Nirushie kwenye PM.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Andrew Mama has nothing to do with this clip, unampa pressure mama, wanaotakiwa kuziona hizi clip ni kina Mahiga na consipiracy theory zao kuwa Burundi kuna amani,.
But im sure they know the truth.
 
Niliiona hiyo clip kwenye whatsapp group moja. Hakika nilistaajabu unyama na ukatili wa kiwango kile ukifanywa na vijana wadogo kabisa. Je, ni kweli kuwa Burundi ina amani kama walivyomueleza Dr. Mahiga??? Na, je AU wataamua kuingilia kati kwa kupeleka majeshi ya kulinda amani pasi na kujali maneno ya Serikali ya Bujumbura kuwa kuna amani???

Kwa hali ya uuaji wa aina ile nachelea kusema kunahitajika hatua za haraka maana wamama na raia wanalalamika (tunashuhudia BBC Swahili na Dira ya Dunia) wakilia kwa majonzi na huzuni kubwa waamkapo na kukuta maiti za vijana wao zikizagaa nje ya makazi yao!!!

Hakika unyama huu ukiachwa uendelee Warundi watapitia wakati mgumu sana. Cha ajabu ni kuwa Viongozi wa Afrika hawasemi wamuondoe Nkurunzinza (chanzo cha matatizo) wanahimiza majadiliano na peace keeping mission kwa muhalifu na muhujumu Katiba. Ndiyo nature ya viongozi wa sasa wa Afrika.
 
Hii kanda niliipata katika Facebook. Nikamwambia mama(hapa nazungumza kuhusu Mama Maria Nyerere) "Hii kanda inatisha. Sijui utaweza kuitazama kiasi gani.Kama hauwezi kuitazama zaidi, niambie,nitaizima. " Ni kanda ya dakika tano Nikaanza kumuonyesha. Hawa watu,they are quite young,wamewakamata mateka,wamewafunga mikono na miguu,wamewagag.wamesema vitambaa mdomoni,wanaanza kuwachinja mmoja mmoja na halafu kuwatupa katika mass grave,kaburi la halaiki.. Hivi ndiyo wanavyowachinja. Now read this very carefully. It is very educational. Mtu mmoja anachinja. Anamkanyaga kichwa na mguu,anamchinja shingo nusu,yaani 50% ya shingo linachinjwa,halafu attention inaondoka kwenye shingo. Anauchoma mwili na kisu,anachoma viuongo vya ndani;moyo,makini,kila kitu,bila kusahauu,anamgeuza mtu kumchoma figo. Wanamkata nyeti zake,sehemu za siri,na,mimi nilishindwa kuiona Hii mara moja,lakini wale waliokuwa mire observant wameona kwamba wanamkata ulimi,wanayatoa macho,na kuondoka nayo. Halafu nilipigwa na mshangao,I was overcome with mirth,wakati yule muuaji mmoja anaamua kisu chake kinaanza kuisha mkali kwa ajili ya chinja chinja yote iliyotokea. Kwa hiyo unaanza kukinoa. Anashika visu viwili,one in each hand,anavinoa,one with the other. It is truly devilish. Mama akauliza,ni hasira gani inayowafanya hawa wafanye hivi. Nikamwambia mama,tazama,haya hasira hawana,wanafanya mambo yote kwa utulivu kabisa. Unsurprisingly,mama alishindwa kuitazama ile kanda mpaka mwisho. Kwa hiyo sikumwoshesha zaidi. Nilitaka aione angalau kidogo ,am a atashindwa kuelewa jambo litakalotokea sasa hivi. BaloziMa HK IGA umemsikia asubuhi katika kipindi cha Nipashe anasema Warundi "wamestaajabu" kuabiwa kuna matatizo katika nchi yao. Kwamba Warundi wameipa Tanzania jukumu la kuiondoa mashaka AU kuhusu hali ya usalama Burundi.

MAMA wa TAIFA???.. kivipi??
 
Hii kanda niliipata katika Facebook. Nikamwambia mama(hapa nazungumza kuhusu Mama Maria Nyerere) "Hii kanda inatisha. Sijui utaweza kuitazama kiasi gani.Kama hauwezi kuitazama zaidi, niambie,nitaizima. " Ni kanda ya dakika tano Nikaanza kumuonyesha. Hawa watu,they are quite young,wamewakamata mateka,wamewafunga mikono na miguu,wamewagag.wamewaweka vitambaa mdomoni,wanaanza kuwachinja mmoja mmoja na halafu kuwatupa katika mass grave,kaburi la halaiki.. Hivi ndiyo wanavyowachinja. Now read this very carefully. It is very educational. Mtu mmoja anachinja. Anamkanyaga kichwa na mguu,anamchinja shingo nusu,yaani 50% ya shingo linachinjwa,halafu attention inaondoka kwenye shingo. Anauchoma mwili na kisu,anachoma viuongo vya ndani;moyo,ini,kila kitu,bila kusahauu,anamgeuza mtu kumchoma figo. Wanamkata nyeti zake,sehemu za siri,na,mimi nilishindwa kuiona hii mara moja,lakini wale waliokuwa more observant wameona kwamba wanamkata ulimi,wanayatoa macho,na kuondoka nayo. Halafu nilipigwa na mshangao,I was overcome with mirth,wakati yule muuaji mmoja anaamua kisu chake kinaanza kuisha makali kwa ajili ya chinja chinja yote iliyotokea. Kwa hiyo anaanza kukinoa. Anashika visu viwili,one in each hand,anavinoa,one with the other. It is truly devilish. Mama akauliza,ni hasira gani inayowafanya hawa wafanye hivi. Nikamwambia mama,tazama,hata hasira hawana,wanafanya mambo yote kwa utulivu kabisa. Unsurprisingly,mama alishindwa kuitazama ile kanda mpaka mwisho. Kwa hiyo sikumwoshesha zaidi. Nilitaka aione angalau kidogo ,ama atashindwa kuelewa jambo litakalotokea sasa hivi. Balozi.Mahiga umemsikia asubuhi katika kipindi cha Nipashe anasema Warundi "wamestaajabu" kuabiwa kuna matatizo katika nchi yao. Kwamba Warundi wameipa Tanzania jukumu la kuiondoa mashaka AU kuhusu hali ya usalama Burundi.

Ungemwambia na mama Maria Nyerere pia kua ndo CCM inatupeleka uko pia, au uliacha kumwambia makusudi?
 
Mi nadhani matatizo ya Burundi yanatokana na wanasiasa kung'ang'ania madaraka....

Kamata nkurunzinza na wapambe wake...nyonga kabisa au Piga risasi wafe tena hayo yafanyike hadharani.....

Baada ya hapo mfanye maridhiano......
 
Mauji kama haya ndio yamepelekea AU kuamua kushusha jeshi Burundi kuzuia mauji ya halaiki. Ushauri wa Tanzania ni wa kupuuza.
 
Hii kanda niliipata katika Facebook. Nikamwambia mama(hapa nazungumza kuhusu Mama Maria Nyerere) "Hii kanda inatisha. Sijui utaweza kuitazama kiasi gani.Kama hauwezi kuitazama zaidi, niambie,nitaizima. " Ni kanda ya dakika tano Nikaanza kumuonyesha. Hawa watu,they are quite young,wamewakamata mateka,wamewafunga mikono na miguu,wamewagag.wamewaweka vitambaa mdomoni,wanaanza kuwachinja mmoja mmoja na halafu kuwatupa katika mass grave,kaburi la halaiki.. Hivi ndiyo wanavyowachinja. Now read this very carefully. It is very educational. Mtu mmoja anachinja. Anamkanyaga kichwa na mguu,anamchinja shingo nusu,yaani 50% ya shingo linachinjwa,halafu attention inaondoka kwenye shingo. Anauchoma mwili na kisu,anachoma viuongo vya ndani;moyo,ini,kila kitu,bila kusahauu,anamgeuza mtu kumchoma figo. Wanamkata nyeti zake,sehemu za siri,na,mimi nilishindwa kuiona hii mara moja,lakini wale waliokuwa more observant wameona kwamba wanamkata ulimi,wanayatoa macho,na kuondoka nayo. Halafu nilipigwa na mshangao,I was overcome with mirth,wakati yule muuaji mmoja anaamua kisu chake kinaanza kuisha makali kwa ajili ya chinja chinja yote iliyotokea. Kwa hiyo anaanza kukinoa. Anashika visu viwili,one in each hand,anavinoa,one with the other. It is truly devilish. Mama akauliza,ni hasira gani inayowafanya hawa wafanye hivi. Nikamwambia mama,tazama,hata hasira hawana,wanafanya mambo yote kwa utulivu kabisa. Unsurprisingly,mama alishindwa kuitazama ile kanda mpaka mwisho. Kwa hiyo sikumwoshesha zaidi. Nilitaka aione angalau kidogo ,ama atashindwa kuelewa jambo litakalotokea sasa hivi. Balozi.Mahiga umemsikia asubuhi katika kipindi cha Nipashe anasema Warundi "wamestaajabu" kuabiwa kuna matatizo katika nchi yao. Kwamba Warundi wameipa Tanzania jukumu la kuiondoa mashaka AU kuhusu hali ya usalama Burundi.

Andrew bwana, kwa hiyo balozi mahiga humuamini? Ila unataka tukuamini wewe na tuvideo twako twa fb na pengine mmefanya editing. I once told you Burundi hakuna vita ila kuna wahuni kama vile ambavyo Tanzania kuna watu wanachinjachinja watu, vipi na hapa Tanzania tulete majeshi ya AU?
 
Ipo siku wapendwa ndugu zangu watutsi watatawala hata USA,Russia, England.. They were made to rule not to be ruled no matter how few they are..
 
Mi nadhani matatizo ya Burundi yanatokana na wanasiasa kung'ang'ania madaraka....

Kamata nkurunzinza na wapambe wake...nyonga kabisa au Piga risasi wafe tena hayo yafanyike hadharani.....

Baada ya hapo mfanye maridhiano......
Ebu pitia hapa ujikumbushe historia ya Burundi unaweza kuchangia cha maana

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Burundian_Civil_War
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom