witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,102
Hongera mkuuHahahaaa bado naendeleza libeneke ila ndio hivyo madogo wananisaidia kuuza mimi huwa nawaletea mzigo tu!!
Sisi ajira zimetufunga asee
Hongera mkuuHahahaaa bado naendeleza libeneke ila ndio hivyo madogo wananisaidia kuuza mimi huwa nawaletea mzigo tu!!
Kama hutaki achaMaisha yanaenda kasi sana mara paah...huu mwaka ndiyo unaishia.
Turudi kwenye mada wakuu,
unajua hawa maboss wa kibongo ni vichomi sana! Unamuomba akuongeze mshahara kutokana na kazi unayofanya, kazi inaonekana si rahisi na hujawahi kuharibu kazi hata siku moja.
Anakujibu vizuri tu "ntakuongezea but raise is a raise."
Unasubiri kuona kama ataongeza... miezi inakata holaa! daah!!! Unaendelea kumfwata mara kadhaa na kumwandikia barua lakini majibu ni yaleyale na hakuna nyongeza hata senti!
Mkataba umeisha anataka nikasign tena really! huyu boss hakika ni kichaa.
Hahahaha mdogo mdogo nimepiga kazi miaka 20 ni muda ulikuwa umefika wa kupumzika! Ukishafikisha >50 inabidi utafute kipato chako mwenyewe hata siku ukiondoka duniani familia inapo pa kushika!!Hongera mkuu
Sisi ajira zimetufunga asee
Oooops kumbe!Hahahaha mdogo mdogo nimepiga kazi miaka 20 ni muda ulikuwa umefika wa kupumzika! Ukishafikisha >50 inabidi utafute kipato chako mwenyewe hata siku ukiondoka duniani familia inapo pa kushika!!
Kama upo chini ya 10 yrs kwenye ajira ni bora uendelee kupiga ,yes maisha yanaenda kwa biashara hii hii ya mkaa,inalipa fresh!!Oooops kumbe!
Sisi ndo tumeingia ajirani vip kunalipa?
Absolutely rightUhaba wa kazi si kibali cha kuwanyonya na kuwanyanyasa wenye kazi.
Ngoja tutafute mtaji mkuu, ajira hailipi kabisaaKama upo chini ya 10 yrs kwenye ajira ni bora uendelee kupiga ,yes maisha yanaenda kwa biashara hii hii ya mkaa,inalipa fresh!!
Yes tafuta mtaji kwenye kazi na kujipanga kusoma mchezo.Ngoja tutafute mtaji mkuu, ajira hailipi kabisaa
naona akili za kitumwa humu ndani... raia wanasema serikali hii kuongezwa mshahara sahau, wengine makampuni hayana pesa! yaan wanaongea as if wanajua kumbe hamna kitu kichwani.Sasa ukiogopa hivyo hutakuja kuongezwa huo mshahara kamwe, nimekaa sehemu miaka 5 mpaka sasa na mshahara ambao nilianza nao ni ule ule lazima nimwambie Boss anifikirie kwani majukumu yameongezeka ni haki yangu aniongeze,
Binafsi nilimwambia MD na aliongeza maana nishafanya miaka 5 sasa
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Vijana wa kitanzania bwana. Unajiona wa maana hujui kuwa umaana huo huyo boss ndiyo amekufanya uwe hivyo. Serikalini tunakaa miaka mitatu hadi mitano bila nyongeza hata shilingi na bado watu hawaachi kazi. Hujui boss wako anapitia magumu yapi kukupa tu huo mshahara. Sekta binafsi tunapitia wakati mgumu sana kutoa mishahara. Wakati mwingine unatoa hela mfukoni kuwaonea huruma wafanyakazi lakini wao ni mabogas kama hawa.siongezi mkataba, hiyo subra nmevuta sana mkuu.
Kabisa chief kule hakuna kujibwetekaYes tafuta mtaji kwenye kazi na kujipanga kusoma mchezo.
Why chief?Don’t ask more salary from your boss
Mmmh hela yako mfukoni?Vijana wa kitanzania bwana. Unajiona wa maana hujui kuwa umaana huo huyo boss ndiyo amekufanya uwe hivyo. Serikalini tunakaa miaka mitatu hadi mitano bila nyongeza hata shilingi na bado watu hawaachi kazi. Hujui boss wako anapitia magumu yapi kukupa tu huo mshahara. Sekta binafsi tunapitia wakati mgumu sana kutoa mishahara. Wakati mwingine unatoa hela mfukoni kuwaonea huruma wafanyakazi lakini wao ni mabogas kama hawa.
Hata mwaka haujaisha umeomba mara tatu uongezewe mshahara. Kwanini humu negotiate kabla ya kuanza vizuri.
inasikitisha sana! kuomba kuongezwa mshahara ni upotevu wa fedha! huyo boss wa hovyo pia.Yes mara nyingi maboss wanaochukua fedha nyingi anaona kukuongezea wewe kama ni upotevu wa fedha au anaona kama utaongeza matumizi,enzi zetu tunafanya kazi boss wetu alikuwa anakunja kibindoni 6m mimi alamba 600k nikamwambia aniongezee alikuwa anabana balaa nikaona isiwe tabu,nikaachana nao ,kwasasa nachoma mkaa minjingu.
Ataona kuwa hauna sehemu ingine zaidi ya kuwa unamtegemea yeye. She should acknowledge your performance and hard work by making an inclement without your formal request.Why chief?
umejuaje km kaongezewa malimbikizo ya kodi? unazingua Ukwajuawamu hii ya 5 Serikalini, hakuna nyongeza iliyotolewa, ila Viwanda na maofisi mengi yamefungwa
ridhika na upatacho Boss wako kaongezewa malimbikizo ya Kodi ulizozikwepesha na mifuko ya kijamii.
Km kazi usichezee chezea mshahara
hahahahh! haya bhana.Inategemea na aina gani ya kazi pia.... Je, tokea umeingia kwenye taasisi umefanya jambo lipi Hadi boss wako akiliona anajua wewe umechangia kukuza au kuongeza kipato kwenye taasisi?
Sina mengi ila tafakari nafasi yako, umefanya nini, na unahisi ukijaribu kuweka tishio la kuondoka atakujibu nini..... Ukiona anakuambia sawa waweza kwenda jua huna msaada na hujawahi fanya la maana kwenye taasisi.....
Kabla ya kuondoka fikirisha ubongo kama unafamilia ya watoto na lundo la wategemezi
Ni hayo tu ....
Mr. Ben