Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,587
- 4,611
- Thread starter
- #41
hilo shirika au kampuni unalijua?Hilo shirika/kampuni haina hela.
Hivi ni vigumu kuelewa hilo?
Acha kazi uone mtaani kukokje!
pia umejuaje kama halina fedha?
hilo shirika au kampuni unalijua?Hilo shirika/kampuni haina hela.
Hivi ni vigumu kuelewa hilo?
Acha kazi uone mtaani kukokje!
hii idea ni matata, solute sana mkuu.Ukitaka nyongeza ya mshahara tafuta kazi sehemu nyingine halafu umletee Boss offer.. la sivo hapo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
Mpango wako mzuri.. kila la kheri nduguni bora atafute mwingine, kila mtu ashinde mechi zake.
Ndo waajiriwa wote wanavofanyaga hivihii idea ni matata, solute sana mkuu.
ushauri wako ni mzuri ila hauna maana, unaonekana hujielewi na hujitambui.Huenda maombi yako yamesikilizwa kwenye mkataba mpya! Nenda kausome,ukiridhika saini,usiporidhika acha.maneno mengi na blah blah hayana maana.unaonekana hujiamini kwenye maamuzi.kitu kingine ..kama utaamua kuachana na mkataba mpya na haina plan B, hali tete sana kitaa wakati huu kulinganisha na miaka michache iliyopita.labda kidogo uwe umetoka familia yenye ukwasi.na upo single.kama una watu wapo nyuma ya huo mshahara kiutegemezi.uheshimu sana,wakati unatafuta plan B ya kutimiza ndoto zako.
naamini ktk matumizi ya akili mkuu, wala usijali ktk maamuzi yangu.Namshauri asifanye maamuzi kwa hisia.
Aangalie kama ana malengo na mpango wa kueleweka kufikia hayo malengo baada ya kuacha kazi.
Nje ya hapo anakurupuka.
Don't quit it before you get the new one my friend. Life is real sucking in the street.Maisha yanaenda kasi sana mara paah...huu mwaka ndiyo unaishia.
Turudi kwenye mada wakuu,
unajua hawa maboss wa kibongo ni vichomi sana! Unamuomba akuongeze mshahara kutokana na kazi unayofanya, kazi inaonekana si rahisi na hujawahi kuharibu kazi hata siku moja.
Anakujibu vizuri tu "ntakuongezea but raise is a raise."
Unasubiri kuona kama ataongeza... miezi inakata holaa! daah!!! Unaendelea kumfwata mara kadhaa na kumwandikia barua lakini majibu ni yaleyale na hakuna nyongeza hata senti!
Mkataba umeisha anataka nikasign tena really! huyu boss hakika ni kichaa.
Dogo ulikuwa mujibu ama kujitolea Jarkata?naamini ktk matumizi ya akili mkuu, wala usijali ktk maamuzi yangu.
km ipo, ipo tu.
upo sahihi man, maana baada ya kuondoka boss wa kwanza akaja huyu mduanzi, mnoko tena mnafiki.
awamu hii ya 5 Serikalini, hakuna nyongeza iliyotolewa, ila Viwanda na maofisi mengi yamefungwasijawahi mlalamikia boss kuhusu mshahara, ni wajibu na haki kuomba kuongezewa mshahara. na huwa anakubali lakini hatekelezi!
Sasa ukiogopa hivyo hutakuja kuongezwa huo mshahara kamwe, nimekaa sehemu miaka 5 mpaka sasa na mshahara ambao nilianza nao ni ule ule lazima nimwambie Boss anifikirie kwani majukumu yameongezeka ni haki yangu aniongeze,Kwa miaka hii kuongezewa mshahara ni kama kutaka kuwaambia kampuni wakufanyie replacement
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mambo ya maofisini hayo, kazi kama zote malipo sasakazi tembo mshahara sungura! really? bora kukaa chonjo kuwapisha wengine wajionee.
Mkuu bado hujaacha ishu za mkaa?Yes mara nyingi maboss wanaochukua fedha nyingi anaona kukuongezea wewe kama ni upotevu wa fedha au anaona kama utaongeza matumizi,enzi zetu tunafanya kazi boss wetu alikuwa anakunja kibindoni 6m mimi alamba 600k nikamwambia aniongezee alikuwa anabana balaa nikaona isiwe tabu,nikaachana nao ,kwasasa nachoma mkaa minjingu.
sijawahi mlalamikia boss kuhusu mshahara, ni wajibu na haki kuomba kuongezewa mshahara. na huwa anakubali lakini hatekelezi!
Waunganishe wenzio nao wakajipatie ajirasiongezi mkataba, hiyo subra nmevuta sana mkuu.
Hahahaaa bado naendeleza libeneke ila ndio hivyo madogo wananisaidia kuuza mimi huwa nawaletea mzigo tu!!Mkuu bado hujaacha ishu za mkaa?