Nilimuomba boss wangu aniongezee mshahara na hakufanya hivyo japo nilimfuata mara 3 ndani ya huu mwaka 2020

Sasa wewe hapo kwenye mkataba mpya ndio pana nyongeza uliyokuwa unaidai. Wewe umesain mkataba,halafu katikati unaibuka unadai nyongeza,hukuona wakati unasain mkataba mwanzo?. Kwenye mkataba huu sasa uwe makini ile nyongeza uliyokuwa unaidai kama imewekwa. Usisain bila kuusoma kwa makini. Usiangalia tu kwenye hela,hasa nyongeza ya mshahara. Kagua vizuri usije ukawa umeongezewa mshahara na kazi wamekuandikia ni kukesha

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
😆😆😆 kukesha sio poa
 
Vijana wa kitanzania bwana. Unajiona wa maana hujui kuwa umaana huo huyo boss ndiyo amekufanya uwe hivyo. Serikalini tunakaa miaka mitatu hadi mitano bila nyongeza hata shilingi na bado watu hawaachi kazi. Hujui boss wako anapitia magumu yapi kukupa tu huo mshahara. Sekta binafsi tunapitia wakati mgumu sana kutoa mishahara. Wakati mwingine unatoa hela mfukoni kuwaonea huruma wafanyakazi lakini wao ni mabogas kama hawa.

Hata mwaka haujaisha umeomba mara tatu uongezewe mshahara. Kwanini humu negotiate kabla ya kuanza vizuri.
umeongea pumba.
 
umejuaje km kaongezewa malimbikizo ya kodi? unazingua Ukwaju
pole dogo Mkuu, baada ya Uchaguzi zilifuata sms toka TRA za kukumbushwa Kodi, Malimbikizo, Kodi za majengo nk, watu tumelia kila kona na nyuzi nyingi zipo mumu humu kachungulie na kuchangia, walipa kodi bora tufunge halafu tuone hiyo mishahara mtaipataje, yaani kuandika tu barua ya muflis /Bankrupt
 
Back
Top Bottom