nilimuomba akanipa na amezidi kunipa

nilimuomba akanipa na amezidi kunipa

:bored: nahisi upo ndotoni.....amka ukanawe uso
 
Haya ni kweli lakini yamenitokea na nampenda ananipenda bado yupo na jamaa ake lakini......mimi ni ME
 
Usisahau kumpa na 0713 ili spidi ya safari iongezeke.
 
. . Ulimuomba akakupa, watakaoomba wengine nao watapewa, waombe tu watapewa. . .
 
Mwanzoni aliniambia ana mtu japo kwa jinsi nilivyomchukulia sikupata imani na maelezo yake nikamuomba akanipa...baadaye nikagundua kweli ana mtu lakini tayari keshanipa mara nyingi tu sasa basi nimezama ndani sana na kurudi nona uvivu nimemuomba tumalize safari wote anaelekea kukubali... Je hapo kuna athari zozote wajemeni??
NB mtu mwenyewe simjui hanijui lakini ukweli ni kwamba yupo live bila chenga

Na wewe utaachwa kama alivyoachwa mwenzako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom