St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,639
- 4,526
Mtani mtani mtani!! Heri ya Xmas! heheheh!
Katika pitapita zangu mitaa ya Mpitimbi nilikutana na jamaa yangu Ngonyani nami kwa heshima yangu ya kinyamwezi nikamsalimia shikamoo mjomba,akaninibu "Malihabi mjombi ,hujambi?"Akimaanisha marahaba mjomba hujambo.
heee tena ukamjibuje??????
heee tena ukamjibuje??????
Mtani nashukuru kwa heri ya X-mas na Iwe pia nawe wazima Visiga?
i hope hakuthubutu tena kumjibu, maana angejibiwa kubwa zaidi ya hilo
haa! wewe hapo te mie ingekuwa ni kicheko huku ningemuuliza kama amewahi kusikia simba sports club ya mwaka 1972
Je alikuelekeza anakoishi? Bombi mbiliKatika pitapita zangu mitaa ya Mpitimbi nilikutana na jamaa yangu Ngonyani nami kwa heshima yangu ya kinyamwezi nikamsalimia shikamoo mjomba,akaninibu "Malihabi mjombi ,hujambi?"Akimaanisha marahaba mjomba hujambo.
Katika pitapita zangu mitaa ya Mpitimbi nilikutana na jamaa yangu Ngonyani nami kwa heshima yangu ya kinyamwezi nikamsalimia shikamoo mjomba,akaninibu "Malihabi mjombi ,hujambi?"Akimaanisha marahaba mjomba hujambo.
mtani sooo ulifika mpaka pande za kumpitimbi! hongera sana mtani ukija safari nyingine nitafute nipo kijiji kinachofuta bada ya mpitimbi. utakuta tumekutayarishia pombe inaitwa MYAKAYA brewed using mayau (mihogo). msosi utakuta ugali na namgujulu(mboga ya manyonyoli) utauliza huko huko manyonyoli ndo nini. matunda mtani yapo ya kumwaga kuna masuku, madonga, machungwa mapapai mapwete mpaka hapo mtani nadhani utaridhika na kuomba upewe mdala(mchumba) wa kugega(kuoa) hahahaaaa
leo nimecheka sana mungu akupe maisha marefu
heee tena ukamjibuje??????
Katika pitapita zangu mitaa ya Mpitimbi nilikutana na jamaa yangu Ngonyani nami kwa heshima yangu ya kinyamwezi nikamsalimia shikamoo mjomba,akanijibu "Malihabi mjombi ,hujambi?"Akimaanisha marahaba mjomba hujambo.
I can't c anything funny!