Kua uyaone..

NACKO

JF-Expert Member
Oct 27, 2022
471
859
Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu, UMUGHAKA kwenye moja ya nyuzi zako hapa JF, nikaona niwape kisa hiki na mimi ya yale niliowahi pitia japo kwa ufupi.

Nikiwa mlowo kipindi hicho ipo bado ndani ya mkoa wa Mbeya, tuliingia dukani mimi na binamu zangu wawili kucheki mahitaji ya shule, muuzaji alikuwa mzee wa makamo mwanaume, amekaa kwenye kiti cha plastic wote tukamsalimia mzee then tukaomba atupatie counter books 📚 tisa.

Mzee akiwa anahangaika na ngazi kupanda kutuchukulia mzigo wetu kwenye shelvu za juu, ghafla nikamwona mmama mmoja amekaa kwenye kiti kinginge cha mbao kilichopo kwenye moja ya kona ya duka kwa utulivu wa hali juu mno, ndani ya mavazi ya rangi ya damu ya mzee mchanganyiko na nyeusi, nikadhani hatukumuona hapo kabla sababu ya haraka zetu, nikamsalimia yule mama shikamoo mama, hakujibu. Ajabu ni kuwa wale binamu zangu wawili wakaniuliza unamsalimia nani, ndipo na yule mzee kusikia hivyo akageuka na kukuta hamna mteja yeyote zaidi yetu, na yeye tena akaniuliza, hiyo mama shikamoo unampatia nani, muda huo ameshachukua zile counter books 📚 anazihesabu, nikajibu kirahisi tu,...si yule mama pale kwenye kona,...mzee alihamaki isivyo kawaida na binamu zangu wakaanza kucheka na kusema umechanganyikiwa mbona hamna mtu yeyote pale kwenye kona, nilishituka! ..lakini ajabu bado nilikuwa nikiendelea kumuona.

Alitupatia mzigo wetu chap tukampa pesa na kusepa, tukiwa tunaondoka mzee aliniita , we kijana mrefu njoo hapa, nikarudi, akauliza wewe ni mwenyeji wa hapa nikajibu hapana, kwenu wapi?... nikamtajia...akaniambia tu, naomba usije tena dukani hapa, sikutaka mambo mengi kwani tayari nami niliingiwa na hofu na hata hivyo nilikuwa chaliii sana kwa kipindi hicho niliondoka chap.

Siku kama tatu mbeleni hakufungua duka, kwani mjomba alikuwa akienda kumcheki kuhoji nini kilitokea mpaka akafikia maamuzi hayo. Mjomba na huyo muuzaji walikuwa wakifahamiana kiasi, na hivyo baada mjomba kusimuliwa mkasa huu alitaka kujua zaidi.

Haya mambo ni bahati mbaya sana huwezi kuthibitisha kirahisi mbele ya umma,..but it's just (KUA UYAONE)
 
Yawezekana una kipaji cha kuona watu waliojificha katika ulimwengu wa roho. Endelea kushughulikia jambo hilo laweza kuwa dili kubwa.
 
Hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom