Nilimshauri mlokole aachane na free p na leo amekuja kunishukuru!

Nilimshauri mlokole aachane na free p na leo amekuja kunishukuru!

kwaiyo huwa unaanikaga kila kitu unachoshaurigi.....mamaaa masifa.com,kiswahili unajua ila ili usifiwe unatia mbwembwe,kama ni kiingereza andika kiingereza,HAKUNA MJINGA HUMU DADA
Sababu UNAJUA SANAAAAAA waonaje uanzishe thread yako wewe binafsi ili usifiwe wewe maana kusifiwa mie kunakuuma sanaaa!
FYI NITAANDIKA LUHHA YOYOTE NAYOTAKA, MY THREAD, MY WAY HUPENDI ANZISHA YAKO,
 
kwaiyo huwa unaanikaga kila kitu unachoshaurigi.....mamaaa masifa.com,kiswahili unajua ila ili usifiwe unatia mbwembwe,kama ni kiingereza andika kiingereza,HAKUNA MJINGA HUMU DADA

kuchanganya herufi kubwa na ndogo kwenye uandishi ni kubwata tu.

huwezi kumpangia mtu namna anavyotaka kuwasilisha mada zake, kama hupendi skip nukta.
 
Hii theory ya kuwekeza na boyfriend mie siielewagi aisee... heri ulivyompa darasa.... yaani unachanga na kunujua gari na kiwanja na boyfriend hahahahahah hati zinakuwa na jina la nani?
 
kwaiyo huwa unaanikaga kila kitu unachoshaurigi.....mamaaa masifa.com,kiswahili unajua ila ili usifiwe unatia mbwembwe,kama ni kiingereza andika kiingereza,HAKUNA MJINGA HUMU DADA

Bibie sam love sisi wengine tunapenda uandishi uliotukuka wa bibie Lara 1.
 
Hii theory ya kuwekeza na boyfriend mie siielewagi aisee... heri ulivyompa darasa.... yaani unachanga na kunujua gari na kiwanja na boyfriend hahahahahah hati zinakuwa na jina la nani?
Wana wake wanapokuwa kwenye mapenzi huwa wana jisahau na wengi hudhani hayana mwisho!
 
Sababu UNAJUA SANAAAAAA waonaje uanzishe thread yako wewe binafsi ili usifiwe wewe maana kusifiwa mie kunakuuma sanaaa!
FYI NITAANDIKA LUHHA YOYOTE NAYOTAKA, MY THREAD, MY WAY HUPENDI ANZISHA YAKO,

watakushobokea wajinga wenzako ila wenye akili tutakwambia ukweli kama hujui kiswahili andika kiingereza tu si kuchanganya ili uonekane mjuaji na hao wasiojua wenzako kumbe huna lolote.......watakusifia waliofeli tu
 
MKUU wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa nchini (PCB), Meja Jenerali mstaafu, Anatoly Kamazima, amestaafu kuitumikia taasisi hiyo baada ya kuiongoza kwa karibu miaka 16.

Habari zilizopatikana kutoka ndani ya taasisi hiyo zinaeleza kuwa Kamazima ameamua kustaafu kutumikia taasisi hiyo baada ya kufikisha umri wa miaka 60.

Tayari Ijumaa iliyopita aliwaaga wafanyakazi wa taasisi hiyo waliopo makao makuu ya PCB eneo la Upanga jijini Dar es Salaam. Kamazina amefikisha umri wa miaka 60 ambao aliufikia jana (Novemba 5).

Habari hizo zinaeleza kuwa tayari ameshatoa taarifa za uamuzi wake wa kustaafu Ikulu.

Wakati akiwaaga wafanyakazi wa makao makuu ya taasisi hiyo Ijumaa mchana, Kamazima alisema amefikisha umri wa kustaafu na kwamba hivi sasa anasubiri maelekezo kutoka Ikulu.

Chanzo cha habari kutoka ndani ya PCB kinaeleza kuwa kabla ya kuwaaga wafanyakazi wote wa taasisi hiyo saa 7.00 mchana, saa 4.00 asubuhi siku hiyo aliwaaga wakuu wa idara.

Kamazima aliteuliwa kuongoza taasisi hiyo mwaka 1990 akichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Zakaria Maftah kati ya mwaka 1975 hadi 1990.

Watu wengine ambao waliwahi kuongoza taasisi hiyo na miaka yao katika mabano ni
S. Rutayangirwa (1974-1975) na Geofrey Sawaya (1973-1974). ??Taasisi ya kuzuia rushwa ilianzishwa kwa mujibu wa sheria namba 16 ya mwaka 1971.

maoni yangu:

Licha ya taasisi hii kuwepo nchini kwa muda wote huu, haikuweza kufanya kazi zake kwa uhuru mkubwa na hivyo kushindwa kuonesha matunda ya jitihada za za kuzuia rushwa.

Chini ya uongozi wa Kamazima, rushwa ilikithiri katika kila eneo na hasa ile rushwa kubwa "grand corruption" kama ilivyooneshwa katika mikataba mbalimbali ya IPTL, Songo, Simu, Majenereta n.k .

Hivyo, kustaafu kwa Kamazima, kumefika wakati muafaka kabisa kwa nchi yetu. Hasa kwa vile sheria iliyounda taasisi hiyo iko mbioni kuangaliwa zaidi ili kuipa meno. Hivyo, kwa furaha kubwa tunapokea kustaafu kwa Kamazima kwa matumaini makubwa!!

Nani atachukua nafasi yake? Je atakuwa tayari kupiga vita gonjwa hili kwa kila namna!!!?

Haswaa..Mimi I say that everyday!this world would not have been this much worse kama wanaume wasingetumia vbaya mamlaka yao Ku take advantage of women,walidhan watabak wajnga kulia lia milele?!!hahahaa vbao vmegeuka Leo wanalia wao cheki Emannuel mbasha"ezden mwanamuke jeshi kubwaa siyo mutu ya kushndana nae..tatzo hawa wanaume they don't deserve humanity ukiwathamini buree watakudharilisha ushangaee,nd naturally mwanaume anaekupenda hawez kukutumia bure yaan ukiona hvyo ujue wewe kwake disposable tuu that's why deterioration yako haimuhusuu
 
lara moko tatizo la huyu dada yako ni kugawa uroda tu. Kama angekuwa mlokole strict bado angechomoka tu maana no mapenzi hadi ndoa.
 
sinaga bifu ila namwambia ukweli uyu mkeo atumie kiswahili tu au kiingereza tu

tatizo hiyo moral authority umeipata wapi ya kumlazimisha do and donts? best option kwako wewe mpotezee tu ikiwezakana muhadd kwenye ignore list yako very simple.
 
lara yaani leo umenchoma kisu kimegusa mfupa mamdogo....!yani huyo dada km mimi vile ila siku niliyokuja kushikwa sikio nikaapa 'no money no honey'so huyu niliyekula nae kiapo kwanza nlitazama maslahi kwanza mapenzi yalikuja yenyewe si tajiri lakini silali na njaa na kariakoo siendi na ndala...!ahsante kwa somo la leo ngoja nikupe tano
 
Sio ishu kabisa ku-quote thread ndefu hivo....Unatutesa sisi tunaotumia simu..

.......hivi kaandika nini !?.......niliposhindwa kuelewa yale mayowe ya mwanzo tu, nikajua huko chini siambulii kitu, msaada tafadhali Nyakageni
 
Last edited by a moderator:
Sijatumwa hata na shetani! Watu wenyewe ndo wamekuwa mashetani! Hivi wanaume mngekuwa na stara hamuonji onji, mna maamuzi ukiridhia ubaposa na kuoa, unadhani tungefikia hapa?

We unadhani wanaume waliomtenda vibaya mam mchungaji na mie nilie ropoka nani haswaa KAMBADILISHA MAMA MCHUNGAJI? Matendo aliyotendewa ni kama yaliuozesha mbuyu, mi kutia maneo ikawa shoka moja mbuyu chini!
What really changed her was not me but the world! I might have blown the whistle but gradual detoriaration was already done!



Haswaa..Mimi I say that everyday!this world would not have been this much worse kama wanaume wasingetumia vbaya mamlaka yao Ku take advantage of women,walidhan watabak wajnga kulia lia milele?!!hahahaa vbao vmegeuka Leo wanalia wao cheki Emannuel mbasha"ezden mwanamuke jeshi kubwaa siyo mutu ya kushndana nae..tatzo hawa wanaume they don't deserve humanity ukiwathamini buree watakudharilisha ushangaee,nd naturally mwanaume anaekupenda hawez kukutumia bure yaan ukiona hvyo ujue wewe kwake disposable tuu that's why deterioration yako haimuhusuu
 
Haswaa..Mimi I say that everyday!this world would not have been this much worse kama wanaume wasingetumia vbaya mamlaka yao Ku take advantage of women,walidhan watabak wajnga kulia lia milele?!!hahahaa vbao vmegeuka Leo wanalia wao cheki Emannuel mbasha"ezden mwanamuke jeshi kubwaa siyo mutu ya kushndana nae..tatzo hawa wanaume they don't deserve humanity ukiwathamini buree watakudharilisha ushangaee,nd naturally mwanaume anaekupenda hawez kukutumia bure yaan ukiona hvyo ujue wewe kwake disposable tuu that's why deterioration yako haimuhusuu

kweli kabisa asa hivi if they do us we do them kwishaa kazi...wanaume wanaumiza sana...!
 
lara yaani leo umenchoma kisu kimegusa mfupa mamdogo....!yani huyo dada km mimi vile ila siku niliyokuja kushikwa sikio nikaapa 'no money no honey'so huyu niliyekula nae kiapo kwanza nlitazama maslahi kwanza mapenzi yalikuja yenyewe si tajiri lakini silali na njaa na kariakoo siendi na ndala...!ahsante kwa somo la leo ngoja nikupe tano

Yaan ata kama sio pedee but kdogo alichonacho awe tiari kunigharamia nacho,nione jasho lake mpaka la mwisho linatoka for me"! tunaanzia hapo kwanza mengne yanafuata..wanaume wenyewe hawa kutwa kutunanga umu "ooh lazma tuwe nao wengi blablahh..wanaonaga sifa hawajua impacts zake ndo wanatugeuza tuishi nao hivi then wanaona ligi ngumu uku walianzsha waoo..hvyohvyo genivores
 
Back
Top Bottom