mkuu unapiga Free P kwa lara 1 ?!
Mana hutaki tumguse.
Chungu lakini ndo dawa hivoooo! Ukweli unauma lakini ndo ukweli!
Wanaumiza bila ku2mia akili,wanasahau sie tuna uwezo wa kuwaumiza mara mia zaidi,wanahonga tunahongwa yaan inaumajee..alinifurahsha sana flora mbasha alivyowapa funzo,janaume linampa free p tuu kila sku afu linamuona mjnga,kaopolewa na wanaojua kutunza analialiaa tuu yaan do us we do them ndo mwendo mpaka akili ztawakaa tuheshimiane hawastahili kuchekewa hawa wametufundsha wenyewe game la kikatiri katiri
:majani7:Sijasoma journalism nachachua chachua tu! One day yes nitasoma japo kisertificate niwe a profesional writer! On the mean time bear with me my incompleteness!