Hahahaha
Yani cjaelewa kabsaaa ....andikeni basi vnavyoeleweka
Unajua kuandika...its amazing jinsi unavyopanga maandishi yako ikiwa hujawahi somea journalism...maana wapo wenye taaluma hiyo ambao hawana uwezo wako...!!!
IQ yako ni kubwa sana... Ila usiende toa mada kanisani coz wewe waingalia dunia kiuhalisia,kule wapo kiimani sana!!! Ushauri wangu kwako....
sijui kwanini damu yangu haipatani na lala wani,
arggh!
Yani cjaelewa kabsaaa ....andikeni basi vnavyoeleweka
Free ndio! Bureeeeeee!
sijui kwanini damu yangu haipatani na lala wani,
arggh!
Free ndio! Bureeeeeee!
Sijatumwa hata na shetani! Watu wenyewe ndo wamekuwa mashetani! Hivi wanaume mngekuwa na stara hamuonji onji, mna maamuzi ukiridhia ubaposa na kuoa, unadhani tungefikia hapa?lara 1 Utakuwa Umetumwa Na Shetani Siyo Bure!Ukimchezea Hivyo Mtoto Wa SHEKHE In The Presence Of KADHI,Utakatwa KICHWA!
lara 1 kama una blog au ungekuwa na blog sasa hivi ungekuwa na hela, huku unaandika bure out there u can make money with this, you are goldmine
free advice from a brother