Nilimshauri mlokole aachane na free p na leo amekuja kunishukuru!

Nilimshauri mlokole aachane na free p na leo amekuja kunishukuru!

Hii ya wali roast na sprit plus free p ndio mpango mzima,mana vibint vya cku hizi vinapenda show off 2.cjui bebi twende kfc hawajui kizazi cha wahongaji kinaelekea kwisha
 
mtu akukatie ticket ya just kwenda r city na kurudi just for wkiend unazani atakuacha kirahisi hell noooo
mwanaume anakugharamia kama ana lengo na wewe thats is how,....maana anajua ama duin this kwa mtu ambae labda yatokee ya dunia lakini najua na lengo nae

nani mzembe huyo mtanzania wa kawaida akuambie likizo hii unataka nikupeleke wapi ukapumzike ni nani huyo kama ana lengo na wewe???

SAY NO TO FREE P la sivyo utaliwa kama karanga za kuonjeshwa fasta tu umemezwa
 
Hii ya wali roast na sprit plus free p ndio mpango mzima,mana vibint vya cku hizi vinapenda show off 2.cjui bebi twende kfc hawajui kizazi cha wahongaji kinaelekea kwisha

acha kuongopa kama una ela naamini utamfanyia makubwa mtu unaejua una lengo nae
SHOFF OFF NIKUWEKA PROFILE PIC YAKE KATIKA WASAP ILA KUKUNUNULIA KITU ULICHODHANI NI NDOTO KUKIPATA NI malengo ya mbali
 
acha kuongopa kama una ela naamini utamfanyia makubwa mtu unaejua una lengo nae
SHOFF OFF NIKUWEKA PROFILE PIC YAKE KATIKA WASAP ILA KUKUNUNULIA KITU ULICHODHANI NI NDOTO KUKIPATA NI malengo ya mbali

Mapenz mengi ya sasa ni usanii 2 moyoni kwake haupo,unakuta bidada ana vichwa kibao au mkaka nae anavichenchede kibao,kukupa gudtym c issue kma naona uko nami 4future ila kma macho juujuu nakupa free p maisha yanasonga.
 
Mapenz mengi ya sasa ni usanii 2 moyoni kwake haupo,unakuta bidada ana vichwa kibao au mkaka nae anavichenchede kibao,kukupa gudtym c issue kma naona uko nami 4future ila kma macho juujuu nakupa free p maisha yanasonga.

nashukuru umekubaliana na pointi yangu hapo juu

nanukuu KUKUPA GOOD TIME SIO ISSUE KAMA NAONA UKO NAMI FOR FUTURE ,halleluyaaaaa lara1 chek this oooh myyy God guys start getting the whole package NO FREE P DAMNNNNN!!!
 
Last edited by a moderator:
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooo!

Disclaimer.
Leo jumapili chonde chonde nipo kwenye Sabato, msinikwaze. Mada ya leo ni CAVEAT EMPTOR OR BUYER BE AWARE! Title iko very direct! Sasa basi kama mambo huyawezi, yanakukwaza, hayaendani na msimamo wako pita mbali na shetani! Kiranga chako kusoma ukitoka povu la omo shauri yako! Kujifanya we live in perfect society ni uongo! We live in dangerous times thats a fact! NI KAZI CHAFU LAKINI LAZIMA MTU AIFANYE!

Back to Topic.

Kuna mdada mmoja my old roomate back in the days, mama mchungaji, na kwao wana kanisa kabisaa ambalo wifi yake analiendeaha, na baba yake pia huko Njombe alikuwa na kanisa anaendesha pia so ni mlokole deep deep! Sio ule wa kuchovya chovya.

Huyu mtu hatukuwa marafiki in such lakini tulizoena sababu mizambi yetu tulikuwa tunamsimulia, anatuombea, anatushauri ila bila bila mwendo ule ule! Sasa kama mjuavyo na ulokole siku hizi uko modfied! Vijana walokole leo sio wale wa the DARK 90'S wana swagga men! They have class, standards, wako fashionable hivo though they are still conservative as the old ones lakini kidogooo wamechachuachachua!

Tatizo la mama mchungaji ni kuwa she is too much a believer! She believes in miracles which is good, she believes in living the world we dream of! She wants to live the scriptures, live the talk she is preaching!
Sasa hapo kidogo palileta mushkeli!

Manake ni mtu mwemaaaaa mnooooo! Sasa dunia ya leo ukiwa mwema mno napo unafanywa sandakalawe! People are animals by nature, homo sapiens is our origin wata ku abuse, take advantage of you! Hivo! Manake we una good intentions, unajitoa hoping to make the world a better place wenzio wanaona nyama imejileta!

Hakuwa mtu wa makuu so achune ili iweje? Alikuwa mtu wa kujitoa mnooo, akikaa na mwanaume ataona ndo mumewe, watapanga mambo makubwa, ashachangaga na mwanaumw kununua plot na gari akazulumiwa vyoteeeeee! Ndioooooo! Mwanaume akikwama anajitoaaa! Doooooh! Kuna siku bf wangu mie kaenda kumkopa yeye hela, akaja kunishauri mdogo wake navomfanyia shemeji si vizuri! Biashara ya bwana wangu ndio, kwanini namnyima hela wakati hela ninayo anajua! Nikamwabia weweeeee unanionaje kwanza? Ndugu zangu unawaona pale wanangoja mi niwatoe kimaisha? Hela yangu ina kazi! We mkopeshe atakulipa nauhakika, ila mie nikimkopesha nimetoa sadaka! Ndo kiendacho kwa bwana hakirudi hivooo! Lbda zirudi Free P za kufutia jasho! Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Alisikitika mnooo!

Baada ya kufanywa ndivo sivo mara kadhaa akaja kuniambia nimechokaaaaa! Yaani sina hamu! Niambie nifanyaje? Hands down! People are abusing my trust, taking advantage of my kindness, vandalising my charittyness, and inaniuma sanaaa, mno mno mno! All i wanted was to make a difference, be the idol woman, make the world a better place!

Nikamwambia stop dreaming! Reality check! We live in a corrupt world, the only way to survive is becoming corrupt your self! How can you change the game you hardly know its rules. The only way to control let alone change decit is by becomming the master of deceit your self. Moyo wa mtu kiza kinene. Ndo maana in only God we trust but in humans we speculate, investigate, provoke, spy, anythin to protect your self!
Tution ya elimination of free p osis ikanza! Nikamwambia assume wewe ni mwanaume sasa, ni binadamu, there is this girl anakushobokea, she may not be quite a shocker but still she is managable for human consumtion, dada anajiongezaa mwenyewe, kabla hujaamua anakutreat, ana roho nzuri, under your human nature hutompiga FREE P kwanza kujiburudisha tu, 2nd she was asking for it, 3rd it will be unecesarly rude to refuse, 4th you have nothin to loose anyway, 5th you dont know, maybe you should find out! Unaonaaa? Nondo zikaanza kumuingia ubongoni!

Nikamwambia be the same man, but this time the same girl lakini anataka Galaxy Note 3, anataka kudine sehemu zinazoeleweka, anataka kila kitu would you incurr an extra cost wakati hum feel? Si utampotezea tu? Umeonaaaa! Kuliwa bure ni kujitakia!?

The only time the guy goes an extra mile is when HE IS INTERESTED! Money is scarce! No guy anatoa hela yake kizembe kwa issue ambayo hajakubali viwango vyake! Sometime tunaomba hela kupima HOW FAR WILL HE GO FOR ME? How many extra miles? Am i just not a nyama iliyojileta yenyewe? These days you can never be sure! Aleeping with the enemy/devil is the name of the game these days! Unajiona woman of virtues, morals, etc unatoa for the sake of love unakuja kusikia "Demu yule nimemgegeda kwa sahani ya wali nyama, mchicha pembeni na sprite baridiiiii huwezi amini! She is that cheap! Ndo nilichmuoffer alokuja geto!" Hahahaaaaaaaaaaa! Nilicheka kwa huzuni!

Mwanaume akitoa HELA ujue kuna intrest ya ziada! Ni kipimo kizuri sanaa cha malengo yake! Kama ana malengo na wewe hawezi kiona issue kukuhudumia! Usimuamini mtu kirahisi! Akaniabia umeniambia outrageous theories lakini they make sense in the times we liv in! Nashukuru!

Leo kaja kunishikuru na Roba la kitu cha super kyelaa, akaniambia niliokoka na FREE P nyingi sanaaa! Niliokoa mda, kuingia mahusiano yasiyo na future, na nimempata wa ukweli nakualika kwenye mahari yangu 18th July! Aleleleleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Dada huyooooo anaolewaaaaa!akaniambia nakukaribisha kanisani kwetu uongee na wasichana, uwafumbue macho, though inabidi udown size na kuchachua content iendane na maadili ya kanisa, bt watapata mawili matatu ya msingi dunia ya leo! Its a new world, it needs new teachers, new minds, free spirts like you! Ambae anaweza ku connect na rika la vijana wa leo, speak their language. Tafadhali uje!

Ofcourse kwenye mahari lazima niende, but please preaching my mediocracy in church will be going to far! Though i feel sorry for the girls i wish they listen to their mothers and keep their legs closed till marriage!as old as it may sound but this cardinal principle is still 100%efficient n effective.

THE END

Unajua kuandika...its amazing jinsi unavyopanga maandishi yako ikiwa hujawahi somea journalism...maana wapo wenye taaluma hiyo ambao hawana uwezo wako...!!!
IQ yako ni kubwa sana... Ila usiende toa mada kanisani coz wewe waingalia dunia kiuhalisia,kule wapo kiimani sana!!! Ushauri wangu kwako....
 
nashukuru umekubaliana na pointi yangu hapo juu

nanukuu KUKUPA GOOD TIME SIO ISSUE KAMA NAONA UKO NAMI FOR FUTURE ,halleluyaaaaa lara1 chek this oooh myyy God guys start getting the whole package NO FREE P DAMNNNNN!!!

Hahahaaa ukija kwa show off halafu macho juu nakupa free p halafu nasepa,mpnz mengi y sasa ni full bongo movie yani jambazi anavua viatu asichafue tile n carpet ndio aibe
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ukija kwa show off halafu macho juu nakupa free p halafu nasepa,mpnz mengi y sasa ni full bongo movie yani jambazi anavua viatu asichafue tile n carpet ndio aibe

inategemea aiseee ila kama wote mna mlengo mmoja hata free p inakuwepo kiaina ila sio kiivyo
 
Mimi siku zote nasoma mstari baada ya mwingine hasahasa akiandika Lara 1. Utaratibu wako mzuri maana kila siku unaibuka na jipya ila basi uwe unapitisha japo neno la Bwana siku moja moja maana una wafuasi wengi sana!!
 
Aaaahhh umenikumbusha kumbe tunakopwa kulipa free p?
 
inategemea aiseee ila kama wote mna mlengo mmoja hata free p inakuwepo kiaina ila sio kiivyo

Akiwa na future utamjua tu ila akiwa macho juu nae unamjua,ila akija kwa future nami nampa 50% ya moyo wng mengine bdae tutamalizana
 
Akiwa na future utamjua tu ila akiwa macho juu nae unamjua,ila akija kwa future nami nampa 50% ya moyo wng mengine bdae tutamalizana

kiukweli siusemehi moyo ila bahati mbaya nzuri tayari niko ndani ya box mama yeyoo
ila ningekukamata wewe ungekuja kuanzisha uzi hapa damnnn
siwezi kupretend labda kama sijakupenda na nitakupa black an white kwamba hapana ila kama nakupenda zote 100 na wewe lazima utoe zote 100
mmmh ila MOYO WA MTU NI KIZA KINENE
 
Yani cjaelewa kabsaaa ....andikeni basi vnavyoeleweka
 
Back
Top Bottom