Chungu lakini ndo dawa hivoooo! Ukweli unauma lakini ndo ukweli!
Somo lako limetuonyesha jinsi ulivyo mbinafsi kwa kuamini chako ni chako cha mume cha wote, pole km unae mme imekula kwake.
Hahahahaaaaaaaa! P ni kiungo cha mwanaume cha kuhifadhia mbegu za uzazi!
tatizo vingereza vingi kwenye mada zako.chagua lugha moja utumie sio kuleta uzungu uzungu tu hapa.
if i were you, sasa ivi tayari ningekuwa nimeanza kuingiza pesa, u give what people want, angalia kina mange, i cant stay on those websites lakini zina trafic ya kufa mtu..... think about itInshaalah! Nitakuja kuandika nilipwe one day! Was thinking of writing for a magazine, but my content is way too original! Ila times are changing one day yes!