Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
ukimwambia hutaki zoea anasemajeKuna Mshkaji mtaa wa tatu ndio anamkamua na Nilimwambia najua kila kitu kuhusu mahusiano yao na akakataa sijuw nimfanyaje
ukimwambia hutaki zoea anasemajeKuna Mshkaji mtaa wa tatu ndio anamkamua na Nilimwambia najua kila kitu kuhusu mahusiano yao na akakataa sijuw nimfanyaje
Maneno ya shombo na kujipitishapitisha mbele ya macho yanguSasa mwanamke umeachana nae anakusumbua akili ya nn
Sipigi nae storyukimwambia hutaki zoea anasemaje
Maneno ya shombo na kujipitishapitisha mbele ya macho yangu
Yani ulishamwambia sitaki mazoea kila mtu ashike lake?Sipigi nae story
Mmmmhhh we acha mwanamke aliniteka AKILI sanaSasa mwanamke umeachana nae anakusumbua akili ya nn