Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,215
Wakuu nilileta uzi wa bi Dada Mmoja jirani nilimpenda sana ila tabia yake ikanifanya tuachane,mpaka tunaachana alisema hawezi kuniacha kunipenda,baadae akaongeza tusikasirikiane Maajabu yeye amekua mtu wa kunisema vibaya mtaani na hata nikimpa hi anakausha ila kuja kuangalia mpira kwangu hataki kuacha kuja,ili kumfanya asije nikaanza kumdai kiingilio akawa hana pesa ,ila akawa natoa akijiskia asipojikia hatoi,siku moja akamuuliza mtozaji kiingilio kwa nini fulan hatoi kiingilio,mechi iliofuata nikamwambia dogo asimdai kiingilio,mpira umeisha akawa anajisifu nje najipendekeza kwa kutomdai kiingilio,nikaona shenzi awe anatoa ,jana kaja kuangalia mpira kadaiwa hana hela huyo akaondoka zake,bwana wake alimwambia Aache kuja kuangalia mpira kwangu ili waangalie wote kwa jirani yangu siku ya pili akaja kwangu,SWALI LANGU HUYU DEMU ANATAKA NINI KWANGU?.yeye katengeneza mazingira tuachane ila kwa nini anifanyie visa na kuninunia?