Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,172
- 34,289
ndio naomba humo humoMaombi hayapandi juu ya mfungi?😂😂

umechelewa mkuu tayar nimeolewaBasi mimi nitakuoa wewe
umechelewa mkuu tayar nimeolewa
sina housegirl kakaNipe basi house girl wako nianze naye maisha ya familia
Omba akupe mchongo utakaokuwa unakuingizia hiyo 50k kila saaðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ mkuu elf hamsini katika mamilioni jaman
Basi nialike futari maana umeamua kuninyima vyotesina housegirl kaka
Lau kama ukinibariki…….Sukuzaliwa kwenye familia ya kitajiri, wala familia yetu haikuwa fukara. Baba yangu alikuwa ni mhandisi wa mitambo, na mama yangu alikuwa ni katibu mukhtasi ofisi ya mkuu wa mkoa.
Nilisoma hadi cha sita, sikutaka kuendelea na chuo licha ya kwamba nilipata ufaulu wa daraja la pili, wengi waliniona ni mwehu au kichà a.
Niliingia mtaani kuanza kutafuta pesa. Nilijaribu kilimo na ufugaji, nilijaribu biashara za minadani na pia nilifungua duka la rejareja .
Mwaka 2016 TRA walikuja dukani wakitaka niwaonyeshe mahesabu yangu na malipo yangu ya kodi. Nilifanya hivyo, wakayapitia na wakaniambia eti wananidai 275,000,000/-
Wakaweka kufuli lao wakasema hadi nilipe hiyo pesa ambayo kwa walati huo hata sikuwa nimewahi kuishika.
Benki nilikuwa na mkopo wa 50 milioni, ambapo niliweka rehani nyumba yangu. Biashara ikafa na nyumba ikapiga mnada.
Nililia sana, nikaona kulia hakusaidii kitu, nikaona nifunge na kuomba. Nikafunga siku tatu nzima, usiku na mchana bila kula wala kunywa, nilimuomba Mungu awe kiongozi wangu, anipe biashara na anitajirishe, pia anipe watu sahihi wa kufanya nao biashara.
Mungu alijibu kilio changu, nilipata jamaa kutoka Shelisheli wanataka mpunga kwa wingi. Wakaniamini, wakanipa milioni 100 niwakusanyie mpunga. Niliifanya kazi kwa uaminifu mkubwa. Kazi ilipoisha walinipa hela nzuri na huo ukawa ndio mwanzo wangu kushika mamilioni ya fedha.
Mpaka sasa kwangu hayo mambo yamekuwa ni ya kawaida sana.
Hakika ukimuomba Mungu kwa imani, na ukiamini kwamba anaweza kukubadilishia maisha yako hakika atafanya.
Ila kaa ukijua, kadiri unavyofanikiwa ndivyo idadi ya maadui invyoongezeka, na vita kubwakubwa zinainuka kila siku.
tayariMbona hujibu ujumbe wangu?
😂😂😂😂😂😂😂karibu ukaribie busatini usogeeBasi nialike futari maana umeamua kuninyima vyote
Ushuhuda mzuri sana. Mungu husikia kilio cha wamchao. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI hongera sanaSukuzaliwa kwenye familia ya kitajiri, wala familia yetu haikuwa fukara. Baba yangu alikuwa ni mhandisi wa mitambo, na mama yangu alikuwa ni katibu mukhtasi ofisi ya mkuu wa mkoa.
Nilisoma hadi cha sita, sikutaka kuendelea na chuo licha ya kwamba nilipata ufaulu wa daraja la pili, wengi waliniona ni mwehu au kichà a.
Niliingia mtaani kuanza kutafuta pesa. Nilijaribu kilimo na ufugaji, nilijaribu biashara za minadani na pia nilifungua duka la rejareja .
Mwaka 2016 TRA walikuja dukani wakitaka niwaonyeshe mahesabu yangu na malipo yangu ya kodi. Nilifanya hivyo, wakayapitia na wakaniambia eti wananidai 275,000,000/-
Wakaweka kufuli lao wakasema hadi nilipe hiyo pesa ambayo kwa walati huo hata sikuwa nimewahi kuishika.
Benki nilikuwa na mkopo wa 50 milioni, ambapo niliweka rehani nyumba yangu. Biashara ikafa na nyumba ikapiga mnada.
Nililia sana, nikaona kulia hakusaidii kitu, nikaona nifunge na kuomba. Nikafunga siku tatu nzima, usiku na mchana bila kula wala kunywa, nilimuomba Mungu awe kiongozi wangu, anipe biashara na anitajirishe, pia anipe watu sahihi wa kufanya nao biashara.
Mungu alijibu kilio changu, nilipata jamaa kutoka Shelisheli wanataka mpunga kwa wingi. Wakaniamini, wakanipa milioni 100 niwakusanyie mpunga. Niliifanya kazi kwa uaminifu mkubwa. Kazi ilipoisha walinipa hela nzuri na huo ukawa ndio mwanzo wangu kushika mamilioni ya fedha.
Mpaka sasa kwangu hayo mambo yamekuwa ni ya kawaida sana.
Hakika ukimuomba Mungu kwa imani, na ukiamini kwamba anaweza kukubadilishia maisha yako hakika atafanya.
Ila kaa ukijua, kadiri unavyofanikiwa ndivyo idadi ya maadui invyoongezeka, na vita kubwakubwa zinainuka kila siku.
Hao rafiki yangu Bujibuji Simba Nyamaume huwaita mafyalafyala, yaani watu wanaokula hovyoKuna watu wanakuambia kufunga ni kutokula mchana ikifika usiku wanajishindilia heavily
Hii story either umeifupisha sana au kuna vitu vya msingi umeruka. Anyways yote heriSukuzaliwa kwenye familia ya kitajiri, wala familia yetu haikuwa fukara. Baba yangu alikuwa ni mhandisi wa mitambo, na mama yangu alikuwa ni katibu mukhtasi ofisi ya mkuu wa mkoa.
Nilisoma hadi cha sita, sikutaka kuendelea na chuo licha ya kwamba nilipata ufaulu wa daraja la pili, wengi waliniona ni mwehu au kichà a.
Niliingia mtaani kuanza kutafuta pesa. Nilijaribu kilimo na ufugaji, nilijaribu biashara za minadani na pia nilifungua duka la rejareja .
Mwaka 2016 TRA walikuja dukani wakitaka niwaonyeshe mahesabu yangu na malipo yangu ya kodi. Nilifanya hivyo, wakayapitia na wakaniambia eti wananidai 275,000,000/-
Wakaweka kufuli lao wakasema hadi nilipe hiyo pesa ambayo kwa walati huo hata sikuwa nimewahi kuishika.
Benki nilikuwa na mkopo wa 50 milioni, ambapo niliweka rehani nyumba yangu. Biashara ikafa na nyumba ikapiga mnada.
Nililia sana, nikaona kulia hakusaidii kitu, nikaona nifunge na kuomba. Nikafunga siku tatu nzima, usiku na mchana bila kula wala kunywa, nilimuomba Mungu awe kiongozi wangu, anipe biashara na anitajirishe, pia anipe watu sahihi wa kufanya nao biashara.
Mungu alijibu kilio changu, nilipata jamaa kutoka Shelisheli wanataka mpunga kwa wingi. Wakaniamini, wakanipa milioni 100 niwakusanyie mpunga. Niliifanya kazi kwa uaminifu mkubwa. Kazi ilipoisha walinipa hela nzuri na huo ukawa ndio mwanzo wangu kushika mamilioni ya fedha.
Mpaka sasa kwangu hayo mambo yamekuwa ni ya kawaida sana.
Hakika ukimuomba Mungu kwa imani, na ukiamini kwamba anaweza kukubadilishia maisha yako hakika atafanya.
Ila kaa ukijua, kadiri unavyofanikiwa ndivyo idadi ya maadui invyoongezeka, na vita kubwakubwa zinainuka kila siku.
Ndio najua leo kuwa nawe mkorofi😂Hao rafiki yangu Bujibuji Simba Nyamaume huwaita mafyalafyala, yaani watu wanaokula hovyo