Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,154
- 11,212
Uvumilivu si ndo huo apo kaamua kupiga kimya asubiri zipatikaneUngempa mtihani tu mdogo ungemwambia huna. Halafu ndio ungepima je ana uvumilivu huo.
Uvumilivu si ndo huo apo kaamua kupiga kimya asubiri zipatikaneUngempa mtihani tu mdogo ungemwambia huna. Halafu ndio ungepima je ana uvumilivu huo.
so, mawasiliano yangu mimi na wewe ni hadi kwenye pesa?Uvumilivu si ndo huo apo kaamua kupiga kimya asubiri zipatikane
ingawa kuna muda huo huo wengine ni wadangaji, utakuta hapo amesha piga virungu watu kumiHakika!! Mdada aliona kama jamaa ten inamkosa au anakuwa mchoyo ka ten tu je maisha ya mbele yakoje
Kuna muhaya mmoja nimetemana nae kisa 15K tu,
Nikatongoza kama leo, siku ya pili yake ana shida na 15k kabla ata sijamchakata nilimwambia tu mimi SINA tena kwa herufi kubwa,
Tofauti ya yeye ni kwamba huwa ananitafuta lakini mimi sina tena mzuka nae.
Ndio namjua hivyo mkuu vipi muhaya mwenzake umemaindiKabila linahusikaje hapo??? Acha ujinga
Sio pesa na yeye alikuwa na vigezo vyake vya kuangalia real man kwake ako vipiso, mawasiliano yangu mimi na wewe ni hadi kwenye pesa?
Watajua wenyewe si wamejiingiza wenyewe kingi 😀 😀 😀ingawa kuna muda huo huo wengine ni wadangaji, utakuta hapo amesha piga virungu watu kumi
kumbe real man anaangaliwa kwenye maswala ya wallet. Au kwa mtazamo wake real man ni yule anayetoa pesa kila akiombwa.Sio pesa na yeye alikuwa na vigezo vyake vya kuangalia real man kwake ako vipi
Huyo ndo mwanaume sasa sio kulialia apa kisa efu 10kumbe real man anaangaliwa kwenye maswala ya wallet. Au kwa mtazamo wake real man ni yule anayetoa pesa kila akiombwa.
NomaBoy : baby mambo, leo unakuja,kama tulivyoongea jana?
Girl : Ndiyo my..
But baby Nikwambie kitu...
Boy : sema mpnz
Girl : Sasa mimi nitakujaje, nywele zipo hovyo sijaosha, wala kuset.. Alafu baby kucha zangu sijasafisha..
Nitumie pesa kidogo Kama 30,000/= hivi niende saloon..
Boy : Poa usijali subiri...
M-PESA : imethibitishwa 30,000/= salio lako jipya la M-PESA ni shilling 30,250/=....
Boy : Umeiona mpnz?
Girl: kimya
Boy : Mmh mbona hujibu?
Girl : Ooh sorry, my nimeiona, nilikuwa namuandalia baba chakula, ndiyo amerudi muda huu toka safari...
Mmh alafu sijui Kama ntaweza kutoka baby coz baba alivyorudi amenisema, juzi nilivyochelewa kurudi home, mama kamwambia kila kitu...
100(customer care Vodacom) : Karibu katika huduma ya watu waliotuma pesa kimakosa kupitia M-PESA...
Boy : Samahani nimetuma shillingi 30,000/= kwenda number xxxxx, naomba mnisaidie kuirudisha tafadhali...
100(customer care Vodacom) : OK subiri ombi lako linashughulikiwa na utarejeshewa kiasi hicho ndani ya masaa 24...
Girl (SMS imeingia toka M-PESA) : Imedhibitishwa kiasi cha shilling 30,000/= kilichotumwa kimakosa kimerudishwa, salio lako jipya la M-PESA ni shilling 250/=
Girl : Sasa baby ndiyo nini hivyo... [emoji7][emoji7]
Boy. Sio Mimi ni voda ao wamenionea uruma unavyo nichuna. [emoji23]
Girl. Aah baby voda gani wako ivyo
Girl.alafu Baba kalala nakuja nitumie basi
Boy. We njoo ila nishatumie iko buku jelo now[emoji23]
Mimi siyo mtu wa mchezo mchezo ati...
Sipendagi ujinga mimi...!!
Atazimia kabisa [emoji1787][emoji1787]Sasa mkuu ukipigiwa simu anaomba shillingi 120,000 ya perfume au mafuta ya kujipaka si ndio utapata ukichaa
vice versa ni mbaya.Huyo ndo mwanaume sasa sio kulialia apa kisa efu 10
wewe ni malaya
demu ulomtongoza nae malaya
tofauti yenu ni 1
malaya wewe unataka huduma ndipo ulipie
malaya yule anataka malipo ndipo huduma
Mmeshindwana maana malaya hawaaminiani
na ndio kilichotokea kwako na kwake.
nishawahi fanya huu ujingaBoy : baby mambo, leo unakuja,kama tulivyoongea jana?