manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,748
Uliharibu, kijana alijificha kukuheshimu wewe ukamkurupusha aje eti ili uwaonye tu...Unaonya mtu keshaonja asali? We ungempa huyo manzi simu aongee we uchape lapa kama hujaona kitu...Tena huyo manzi si mtoto wa mjini kiivyo angekununulia watu wakupoteze kabisa maana hawezi amini hutomwambia chalii ake...Wewe umevamiwa na jambazi hajakujua vizuri hafu wewe unamwita jina eti John kumbe ni wewe...Unakula moto faster...