babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Mkeo alicheat pia aliweka thread hapa zamani sana.we umechelewa mno kuileta mwaka mpy
wanaume bwana dah sio wakuamini kabisa...
mtuache tupumue sasa!
tupo clean always!Na wanawake ni wa kuamini?
Mara saba nilimdanganya kuwa nina vikao vya ofisi na hivyo nitachelewa kurudi home, mara tatu nilimdanganya kuwa nasafiri kikazi ila kwa kweli nilikua kwenye hotel kadha wa kadha hapa hapa, mara mbili nilimdanganya kuwa naumwa na nahitaji kupumzika, hivyo nikabaki home na HG nikamtafuna wakati yeye akiwa kazini, mara tano nilimdanganya kuwa niko LUNCH kumbe nilitoka na Secretary wa Ofisi pale nanihii pale, mara nne nilimdanganya kuwa gari imeharibika wakati narudi toka Job kumbe nilikua na Binti wa Jirani tukila "RAHA", mara saba nilidanganya kuwa naenda sokoni na mdogo wake, kumbe tulichanganya na safari za gesti pia....
Mara kadhaa nilitoka na Rafiki yake mke wangu ambae ni Jirani yetu, sababu zilikua nyingi ikiwepo yeye (Jirani) kuja kuomba msaada wa gari nimempeleke Hospital but ukweli hakukua na ugonjwa wala mgonjwa zaidi ya kuishia Gesti/Hotel. Kuna katoto kashule kalikuja Likizo kwangu, ni ndugu wa mke wangu kwa Baba yake mdogo, nikawa natoka nako kimtindo, mara kibao nilijifanya nimechelewa kwenye foleni but ukweli nilikua kwenye mambo yangu, wengine sikukumbuki.
Nimejitahidi kuona mke wangu alini-cheat wapi sijaona hivyo nimeamua kutubu na kuomba msamaha kwa Jamii inisamehe na kunipokea mie mkosaji....Je wewe ulim-cheat Mpenzio? kwanini usitubu japo komoyomoyo tu na kubadilisha mwenendo wako? Mie nimetubu, jiunge na Mimi leo tuanze maisha mapya kwenye familia zetu, Heri ya mwaka Mpwa 2013. (Hainihusu mimi Elli) Jipime mwenyewe
tupo clean always!
Soma mistari ya mwisho, nimetoa angalizo kwa kujitolea mfano Mpwa ila sio mimi...ningekutolea mfano najua ungekua mkali sana ndio maana nikajitolea mfano mwenyewe...sio kitu halisia
Mara saba nilimdanganya kuwa nina vikao vya ofisi na hivyo nitachelewa kurudi home, mara tatu nilimdanganya kuwa nasafiri kikazi ila kwa kweli nilikua kwenye hotel kadha wa kadha hapa hapa, mara mbili nilimdanganya kuwa naumwa na nahitaji kupumzika, hivyo nikabaki home na HG nikamtafuna wakati yeye akiwa kazini, mara tano nilimdanganya kuwa niko LUNCH kumbe nilitoka na Secretary wa Ofisi pale nanihii pale, mara nne nilimdanganya kuwa gari imeharibika wakati narudi toka Job kumbe nilikua na Binti wa Jirani tukila "RAHA", mara saba nilidanganya kuwa naenda sokoni na mdogo wake, kumbe tulichanganya na safari za gesti pia....
Mara kadhaa nilitoka na Rafiki yake mke wangu ambae ni Jirani yetu, sababu zilikua nyingi ikiwepo yeye (Jirani) kuja kuomba msaada wa gari nimempeleke Hospital but ukweli hakukua na ugonjwa wala mgonjwa zaidi ya kuishia Gesti/Hotel. Kuna katoto kashule kalikuja Likizo kwangu, ni ndugu wa mke wangu kwa Baba yake mdogo, nikawa natoka nako kimtindo, mara kibao nilijifanya nimechelewa kwenye foleni but ukweli nilikua kwenye mambo yangu, wengine sikukumbuki.
Nimejitahidi kuona mke wangu alini-cheat wapi sijaona hivyo nimeamua kutubu na kuomba msamaha kwa Jamii inisamehe na kunipokea mie mkosaji....Je wewe ulim-cheat Mpenzio? kwanini usitubu japo komoyomoyo tu na kubadilisha mwenendo wako? Mie nimetubu, jiunge na Mimi leo tuanze maisha mapya kwenye familia zetu, Heri ya mwaka Mpwa 2013. (Hainihusu mimi Elli) Jipime mwenyewe
sio wanaume wote......wapo wanawake nao wenye tabia hizo shukuru Mungu wewe kama hauko ivyowanaume bwana dah sio wakuamini kabisa...
mtuache tupumue sasa!
Mara saba nilimdanganya kuwa
nina vikao vya ofisi na hivyo nitachelewa kurudi home, mara tatu
nilimdanganya kuwa nasafiri kikazi ila kwa kweli nilikua kwenye hotel
kadha wa kadha hapa hapa, mara mbili nilimdanganya kuwa naumwa na
nahitaji kupumzika, hivyo nikabaki home na HG nikamtafuna wakati yeye
akiwa kazini, mara tano nilimdanganya kuwa niko LUNCH kumbe nilitoka na
Secretary wa Ofisi pale nanihii pale, mara nne nilimdanganya kuwa gari
imeharibika wakati narudi toka Job kumbe nilikua na Binti wa Jirani
tukila "RAHA", mara saba nilidanganya kuwa naenda sokoni na mdogo wake,
kumbe tulichanganya na safari za gesti pia....
Mara kadhaa nilitoka na Rafiki yake mke wangu ambae ni Jirani yetu,
sababu zilikua nyingi ikiwepo yeye (Jirani) kuja kuomba msaada wa gari
nimempeleke Hospital but ukweli hakukua na ugonjwa wala mgonjwa zaidi ya
kuishia Gesti/Hotel. Kuna katoto kashule kalikuja Likizo kwangu, ni
ndugu wa mke wangu kwa Baba yake mdogo, nikawa natoka nako kimtindo,
mara kibao nilijifanya nimechelewa kwenye foleni but ukweli nilikua
kwenye mambo yangu, wengine sikukumbuki.
Nimejitahidi kuona mke wangu alini-cheat wapi sijaona hivyo nimeamua
kutubu na kuomba msamaha kwa Jamii inisamehe na kunipokea mie
mkosaji....Je wewe ulim-cheat Mpenzio? kwanini usitubu japo komoyomoyo
tu na kubadilisha mwenendo wako? Mie nimetubu, jiunge na Mimi leo tuanze
maisha mapya kwenye familia zetu, Heri ya mwaka Mpwa 2013. (Hainihusu
mimi Elli) Jipime mwenyewe
Kumbe ni wengi sanaMimi binafsi nimemdanganya mara 2 kuwa kuna mahali naenda kufanya kazi kumbe natoka na jirani mara 2 naenda shamba kumbe naenda kutanua viwanja mara 1 kuwa naenda kununua vitu Dar kumbe nilisafiri na dem tukaenda kujirusha Dar
kwani hio ni tobaMwenye kutubu huwa anatubu kwa Mungu sio kwenye JF.
Mpwa nimecheka sana, dhambi haina level ya juu wala ya chini, ndogo wala kubwa hubaki kuwa dhambi tu....hata hivyo sio mimi bhana ni changamoto kwetu sote
Mpwa ulini-quote vibaya, nilisema ni level ya juu kabisa ya dharau na siyo dhambi! Nje ya hapo, heri ya mwaka mpya wa 2013!!!