Nililala na fisi

Nililala na fisi

zoy

Senior Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
135
Reaction score
29
Hi wana mmu na jf kwa ujumla. Huu si uongo na wala si hadithi ni tukio la kweli lililonitokea mkoani katavi. Sina nia ya kumtisha wala kumchafua mtu.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na ninafanya kazi kwenye NGO moja jijini dar inayojihusisha na utunzaji mazingira. Wiki iliyopita nilipata safari ya kwenda mkoani katavi kwa ajili ya kutoa elimu ya mazingira kuzunguka ziwa tanganyika katika maeneo ya kalema na ikola.
Kama kawaida ya field tulipanga guest house 1 hapo kalema. Usiku nilienda kwenye bar 1 kupata 1 moto 1 baridi. Nikiwa hapo bar alikuja mtoto mmoja mzuri wa kike. Nilimuomba kampani yake na akakubali nilale nae.

Nilienda nae guest na kupiga viwili alaf tukalala hapo ndipo ilipotokea kituko. Nilishtuka saa 8 usiku na kumuamsha ili nishtue japo kimoja ila hakuwa anaitika zaidi ya kufumbua macho. Nilijua amezidiwa na usingizi, nilijitahidi kumshtua bt hakuwa anashtuka aliendelea kufumbua macho tu bila kuongea. Ikabidi nimpande hivyo hivyo na kumaliza. Yeye hakuwa anaongea wala kujitikisa kipindi chote mi namfanya. Nilipo maliza nikalala bt baada ya mda mdogo nilisikia kiupepo kinaingia ndani naye akashtuka na kujigeuza. Ilikuwa kama saa 10 hivi usiku. Akaniamsha na kunipa mzigo tena mpaka nikachoka alikuwa kama sijamdu.
Asubuhi nilienda kwenye mafunzo hapo ndipo nilimuelezea jamaa mmoja ambaye anaishi huko na tulikuwa tunashirikiana nae kwenye hilo zoezi la kutoa elimu ya mazingira. Jamaa kumbe anamjua huyo dada na akaniambia hiyo ndiyo tabia yake kwa sababu ni mshirikina huwa usiku ukilala nae anaenda kuwanga na pale huweka fisi kimazingara ndio maana nilipokuwa namuamsha hakuwa anashtuka wala nini.

Alishafukuzwa huko sumbawanga na mpanda mjini kwa ajili ya hiyo tabia yake.
Kuanzia siku ile naogopa kuchukua mzigo nikiwa field.

Nawashauri wanaume wenzangu tuwe makini tunapochukua wanawake hovyo.
 
Kwa hiyo fisi hajui kukata viuno? Ukitaka kujua kama umelala na fisi ukishaamka kabla ya kuoga jipitishe karibu na mbwa halafu uwe upande wa upepo unakotokea, kama mbwa atabweka kwa nguvu juu hapo anatatizwa na harufu ya fisi uliyoachiwa.
 
Hahahaaaa mzeee wewe umetembea na kicheche kilichoshindikana na Sumbawanga nzima!!!!!!!!! Next time utapata na maradhi sasa, kwahio huyo mnyama nae alifaidi vyake eee....ogiopa sana next time wanakusubiri umalize kisha ndio wanakuanza na wewe
 
Sidhani kama ni kweli, kwa maana kama huyo demu alikuwa mshirikina usingeweza kuamka usiku huo, kwani angekuwekea madawa ya usingzi mpaka saa atakayorudi, labda ni wenge la maji ya dhahabu!
 
Hi wana mmu na jf kwa ujumla. Huu si uongo na wala si hadithi ni tukio la kweli lililonitokea mkoani katavi. Sina nia ya kumtisha wala kumchafua mtu.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na ninafanya kazi kwenye NGO moja jijini dar inayojihusisha na utunzaji mazingira. Wiki iliyopita nilipata safari ya kwenda mkoani katavi kwa ajili ya kutoa elimu ya mazingira kuzunguka ziwa tanganyika katika maeneo ya kalema na ikola.
Kama kawaida ya field tulipanga guest house 1 hapo kalema. Usiku nilienda kwenye bar 1 kupata 1 moto 1 baridi. Nikiwa hapo bar alikuja mtoto mmoja mzuri wa kike. Nilimuomba kampani yake na akakubali nilale nae.

Nilienda nae guest na kupiga viwili alaf tukalala hapo ndipo ilipotokea kituko. Nilishtuka saa 8 usiku na kumuamsha ili nishtue japo kimoja ila hakuwa anaitika zaidi ya kufumbua macho. Nilijua amezidiwa na usingizi, nilijitahidi kumshtua bt hakuwa anashtuka aliendelea kufumbua macho tu bila kuongea. Ikabidi nimpande hivyo hivyo na kumaliza. Yeye hakuwa anaongea wala kujitikisa kipindi chote mi namfanya. Nilipo maliza nikalala bt baada ya mda mdogo nilisikia kiupepo kinaingia ndani naye akashtuka na kujigeuza. Ilikuwa kama saa 10 hivi usiku. Akaniamsha na kunipa mzigo tena mpaka nikachoka alikuwa kama sijamdu.
Asubuhi nilienda kwenye mafunzo hapo ndipo nilimuelezea jamaa mmoja ambaye anaishi huko na tulikuwa tunashirikiana nae kwenye hilo zoezi la kutoa elimu ya mazingira. Jamaa kumbe anamjua huyo dada na akaniambia hiyo ndiyo tabia yake kwa sababu ni mshirikina huwa usiku ukilala nae anaenda kuwanga na pale huweka fisi kimazingara ndio maana nilipokuwa namuamsha hakuwa anashtuka wala nini.

Alishafukuzwa huko sumbawanga na mpanda mjini kwa ajili ya hiyo tabia yake.
Kuanzia siku ile naogopa kuchukua mzigo nikiwa field.

Nawashauri wanaume wenzangu tuwe makini tunapochukua wanawake hovyo.

Aisee, mwaka jana nilikuwa huko huko Kalema (mimi nililala Ikola) mpaka Nkasi.
BTW huwa mnakuwa na hamu kweli au mnataka kuweka record tu kwamba nimekula mdada wa Karema etc.
 
Sasa yeye kwenda kuwanga na wewe kulala na fisi vinahusianaje hapa? Halafu huyo mchuuzi wa unyumba anajitambulisha kwa jina moja kila mahali? na rafiki yako nae anamjua kwa jina hilo na hawajathubutu kumkimbiza hapo mjini. Mweeh
 
hata shinyanga ilishawahi tokea, tena ni mke alikuwa anamfanyia hivyo mumewe.
angalia na wewe mpaka 40 iishe usije lala na fisi hahahahahaahahahah MSALIMIA JUNIOR V
 
Baba V namuonaga kama na yeye mwanga haswaa. Anamuwangia Paw wangu hadi basi. Uzuri omani yetu sio haba

Wewe katoto wewe... lazima nifanikiwe tu. Nshakula ban za kutosha sitakubali iwe hivihivi... we ngoja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom