Nililala na fisi

Nililala na fisi

angalia na wewe mpaka 40 iishe usije lala na fisi hahahahahaahahahah MSALIMIA JUNIOR V

Hathubutu mtu..., hawaogopi kuhamishiwa vifanyio kwenye paji la uso!!?
 
Hee, KUSIMAMIA tena jamani? Ndiyo kukoje huko? Naweza wapi kupata shule ya KARUFUNDI haka?

Just Imagine mtu KAMSIMAMIA fisi na anacharaza mwendo kwelikweli kama yuko kwenye Kimlima cha Kitonga, damn 🙂
Umefanya vizuri kufikisha hii habari jf watu wote wajue una tabia ya kuendesha basikeli za kulipia kwa masaa, tena unaendesha kwa bidii huku ukisimamia.
 
Hi wana mmu na jf kwa ujumla. Huu si uongo na wala si hadithi ni tukio la kweli lililonitokea mkoani katavi. Sina nia ya kumtisha wala kumchafua mtu.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na ninafanya kazi kwenye NGO moja jijini dar inayojihusisha na utunzaji mazingira. Wiki iliyopita nilipata safari ya kwenda mkoani katavi kwa ajili ya kutoa elimu ya mazingira kuzunguka ziwa tanganyika katika maeneo ya kalema na ikola.
Kama kawaida ya field tulipanga guest house 1 hapo kalema. Usiku nilienda kwenye bar 1 kupata 1 moto 1 baridi. Nikiwa hapo bar alikuja mtoto mmoja mzuri wa kike. Nilimuomba kampani yake na akakubali nilale nae.

Nilienda nae guest na kupiga viwili alaf tukalala hapo ndipo ilipotokea kituko. Nilishtuka saa 8 usiku na kumuamsha ili nishtue japo kimoja ila hakuwa anaitika zaidi ya kufumbua macho. Nilijua amezidiwa na usingizi, nilijitahidi kumshtua bt hakuwa anashtuka aliendelea kufumbua macho tu bila kuongea. Ikabidi nimpande hivyo hivyo na kumaliza. Yeye hakuwa anaongea wala kujitikisa kipindi chote mi namfanya. Nilipo maliza nikalala bt baada ya mda mdogo nilisikia kiupepo kinaingia ndani naye akashtuka na kujigeuza. Ilikuwa kama saa 10 hivi usiku. Akaniamsha na kunipa mzigo tena mpaka nikachoka alikuwa kama sijamdu.
Asubuhi nilienda kwenye mafunzo hapo ndipo nilimuelezea jamaa mmoja ambaye anaishi huko na tulikuwa tunashirikiana nae kwenye hilo zoezi la kutoa elimu ya mazingira. Jamaa kumbe anamjua huyo dada na akaniambia hiyo ndiyo tabia yake kwa sababu ni mshirikina huwa usiku ukilala nae anaenda kuwanga na pale huweka fisi kimazingara ndio maana nilipokuwa namuamsha hakuwa anashtuka wala nini.

Alishafukuzwa huko sumbawanga na mpanda mjini kwa ajili ya hiyo tabia yake.
Kuanzia siku ile naogopa kuchukua mzigo nikiwa field.

Nawashauri wanaume wenzangu tuwe makini tunapochukua wanawake hovyo.
Kwani wakati unamstua na alikuwa astuki na ukagonga, ULIONA KA UNAGONGA FISI AU NDO fix zako tuu... YAANI WE UGONGE HADI UMALIZE HALAFU MTU MWINGINE AMBAYE HATA HAKUWEPO ENEO LA TUKIO AJE ASEME HUYO ALIKUWA FISI....!!!! NA WEWE UKAMAAMINI....Aaaaa bana hebu nirudishie chenji yangu bana.....
 
Dada yangu, hii ni kama Gongo na wanyaji wake au Bange na wavutaji wake.

Utasikia wanaambiana "Baangu ile Bange ya pale Kahe otea mbali." Sasa hapo M-Kahe anaanza kupata wasiwasi na neno OTEA maana wanasifika sana kwa KUOTEA moto jioni na asubuhi "usiotee moto kama M-Kahe."
Kwa huku Sikonge, kuna Gongo kali sana pale kwa Wa-Matandula, kijiji cha Mlogoro kabla hujaingia Sikonge mjini.

Utasikia hadi wanaimba "Malaya sitadi tumepata Wamatandula, Idimbwa gisi lyegela, lyakuva kulaka-dimbula".
Aisee, mwaka jana nilikuwa huko huko Kalema (mimi nililala Ikola) mpaka Nkasi.
BTW huwa mnakuwa na hamu kweli au mnataka kuweka record tu kwamba nimekula mdada wa Karema etc.
 
Una bahati, hivi hajakunyoa mavuzi na kuchukua mbegu zako? Sasa huyo fisi uliyemfila (maana bidada alitoweka kwenda kuwanga ukabaki na fisi) ana utamu wowote? Ebu tujuze basi, usiwe na haibu.
 
Hi wana mmu na jf kwa ujumla. Huu si uongo na wala si hadithi ni tukio la kweli lililonitokea mkoani katavi. Sina nia ya kumtisha wala kumchafua mtu.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na ninafanya kazi kwenye NGO moja jijini dar inayojihusisha na utunzaji mazingira. Wiki iliyopita nilipata safari ya kwenda mkoani katavi kwa ajili ya kutoa elimu ya mazingira kuzunguka ziwa tanganyika katika maeneo ya kalema na ikola.
Kama kawaida ya field tulipanga guest house 1 hapo kalema. Usiku nilienda kwenye bar 1 kupata 1 moto 1 baridi. Nikiwa hapo bar alikuja mtoto mmoja mzuri wa kike. Nilimuomba kampani yake na akakubali nilale nae.

Nilienda nae guest na kupiga viwili alaf tukalala hapo ndipo ilipotokea kituko. Nilishtuka saa 8 usiku na kumuamsha ili nishtue japo kimoja ila hakuwa anaitika zaidi ya kufumbua macho. Nilijua amezidiwa na usingizi, nilijitahidi kumshtua bt hakuwa anashtuka aliendelea kufumbua macho tu bila kuongea. Ikabidi nimpande hivyo hivyo na kumaliza. Yeye hakuwa anaongea wala kujitikisa kipindi chote mi namfanya. Nilipo maliza nikalala bt baada ya mda mdogo nilisikia kiupepo kinaingia ndani naye akashtuka na kujigeuza. Ilikuwa kama saa 10 hivi usiku. Akaniamsha na kunipa mzigo tena mpaka nikachoka alikuwa kama sijamdu.
Asubuhi nilienda kwenye mafunzo hapo ndipo nilimuelezea jamaa mmoja ambaye anaishi huko na tulikuwa tunashirikiana nae kwenye hilo zoezi la kutoa elimu ya mazingira. Jamaa kumbe anamjua huyo dada na akaniambia hiyo ndiyo tabia yake kwa sababu ni mshirikina huwa usiku ukilala nae anaenda kuwanga na pale huweka fisi kimazingara ndio maana nilipokuwa namuamsha hakuwa anashtuka wala nini.

Alishafukuzwa huko sumbawanga na mpanda mjini kwa ajili ya hiyo tabia yake.
Kuanzia siku ile naogopa kuchukua mzigo nikiwa field.

Nawashauri wanaume wenzangu tuwe makini tunapochukua wanawake hovyo.

Aaaa kumbe ni hadith za kijiweni za wewe na mzinifu mwenzako?
 
1. Huyo demu uliyobeba atakua na uzuri gani kama ulishindwa kumtofautisha na fisi wakati unam do! 2. Halafu hayo macho aliyokua akifumbua tu bila kuongea kitu yalikua ya kibinadamu au ya kifisi au hujui tofauti?
 
Kweli tuko tofauti! Kila mtu na fani yake ati! Asante kwa tahadhari!
 
Wewe ulisikia chochote cha kifisi fisi? Ulisikia harufu au manyoya? Kama hukusikia vyote hivyo unajali nini? Umesikia mautamu yako kama kawaida na wala hukujua kama ni fisi hadi ulipoenda kuambiwa huko nje sasa kuna tatizo gani hapo?

Na ukweli ni kwamba hukulala na fisi, ulilala na mtu au kama ni fisi basi alibadilishwa akafanana na mtu kwa wakati huo kwa hiyo alikuwa ni mtu period!

Si alikuwa na maumbile ya kukojolea ya mwanadamu wa kike? Baada ya mapombe yako si ndio ulichohitaji hicho, sasa je?
 
Ipeleke hii GUINESS WORLD OF CHAMPIONS utavunja rekodi ya aina yake. Kweli peleka hii utakuwa bilionea
 
Kwani wakati unamstua na alikuwa astuki na ukagonga, ULIONA KA UNAGONGA FISI AU NDO fix zako tuu... YAANI WE UGONGE HADI UMALIZE HALAFU MTU MWINGINE AMBAYE HATA HAKUWEPO ENEO LA TUKIO AJE ASEME HUYO ALIKUWA FISI....!!!! NA WEWE UKAMAAMINI....Aaaaa bana hebu nirudishie chenji yangu bana.....

Bro umenifurahisha sana eti nikurudishie chenji yako. Bro hiyo kitu ni kweli na si hadithi za kijiweni. Huyu dada kila mtu hapo kijijini anamjua. Nilipokuwa nam du hakuamka,hakutikisika wala kujibu. Hiyo ndio tabia yake huyo dada. Nilimueleza jamaa yangu akamjua huyo dada sababu kila mtu anaijua hiyo tabia yake.
 
Ipeleke hii GUINESS WORLD OF CHAMPIONS utavunja rekodi ya aina yake. Kweli peleka hii utakuwa bilionea

Yap nitajitahidi niipeleke bt sijui procedure za kufanya ili nipeleke hilo tukio.
 
1. Huyo demu uliyobeba atakua na uzuri gani kama ulishindwa kumtofautisha na fisi wakati unam do! 2. Halafu hayo macho aliyokua akifumbua tu bila kuongea kitu yalikua ya kibinadamu au ya kifisi au hujui tofauti?

Alikuwa hafumbui sana ila yalikuwa ni makali.
 
Una bahati, hivi hajakunyoa mavuzi na kuchukua mbegu zako? Sasa huyo fisi uliyemfila (maana bidada alitoweka kwenda kuwanga ukabaki na fisi) ana utamu wowote? Ebu tujuze basi, usiwe na haibu.

Inawezekana atakuwa amechukua mbegu zangu ila hakuninyoa mavuzi. Alikuwa mtamu sana sijawahi gusa kitu kama kile. Hata mama chanja wangu hayupo hivyo. Ana mashine mnato ile mbaya.
 
Kwani wakati unamstua na alikuwa astuki na ukagonga, ULIONA KA UNAGONGA FISI AU NDO fix zako tuu... YAANI WE UGONGE HADI UMALIZE HALAFU MTU MWINGINE AMBAYE HATA HAKUWEPO ENEO LA TUKIO AJE ASEME HUYO ALIKUWA FISI....!!!! NA WEWE UKAMAAMINI....Aaaaa bana hebu nirudishie chenji yangu bana.....

Ni kweli ndugu nilipokuwa nagonga alikuwa na sura ya kibinadamu ila alinitisha pale alipokuwa haongei wala hageuki thus why nikamuadithia jamaa yangu. Huyu du ni popular kijijini hapa kutokana na tabia hyo.
 
Back
Top Bottom