Nilikuwa simjui Leo nimemjua!

Nilikuwa simjui Leo nimemjua!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,569
Reaction score
89,206
images.jpeg


Heshima kwako ndungulile umetuweza..🤣
 
Internet inaenda kuwa janga la kitaifa kuliko wale wanao bet
Hili inabidi liangaliwe kwa ukaribu sana

Simu yangu ikiisha bando siwezi kukaa nusu saa bila kununua bando lingine kwa hiyo hata walivyopandisha inatuathiri zaidi kwa sababu tumeshakuwa adicted hatuwezi kupunguza matumizi

Haya ni matokeo ya viongozi makanjanja wanaofanya mambo kuwakomoa wananchi wao hawajui kwanini wako kwenye nafasi hizo walizopewa
 
Huyu jamaa yaani katuua bila huruma,hajatuangalia usoni ye kachinja tu yan kutoka GB 1 hadi mb 400!
 
"Tuma na Nayakutolea imekuwa updated kuwa Nayabando"
 
#BREAKINGNEWS Serikali imesitisha gharama mpya za vifurushi hadi hapo baadae.Imeangiza vifurushi vya zamani kuendela kutumika.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/RlhRJLkXi2
 
Huyu jamaa yaani katuua bila huruma,hajatuangalia usoni ye kachinja tu yan kutoka GB 1 hadi mb 400!

Huyu jamaa mnamuonea tu, mnatakiwa muwalaumu wawakilishi wenu kule bungeni waliopitisha sheria ya ongezeko la ushuru kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom