Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
11,001
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
11,001 2,000
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
 
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Messages
5,229
Points
2,000
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2011
5,229 2,000
Duh,sasa hiyo si itakuwa ni hatari sana kwa usalama wa Taifa hilo la Guam,hao wanajeshi wakitumwa na Rais wao je wamfanyie kitu mbaya huyo Rais wa Guam si patakuwa hapatoshi hapo???

Ina maana hilo Taifa la Guam kwenye maadhimisho ya sikukuu zao za kitaifa kumbe wale makondoo wao wanaopasuaga matofali kwa meno kumbe wanafanyaga maigizo tu,uwezo hata wa kulinda banda la kuku la huyo kiongozi wa Guam hawana na ndio maana hawaaminiki

Balaa zito sana hili!!
 
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Messages
3,631
Points
2,000
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2012
3,631 2,000
Kumbe kuna watu mnapigania watu hadi kuulizana unampigania nani?. Mimi ni mzalendo wa kweli wa nchi yangu, simpiganii mtu bali naipigania nchi yangu kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
P.
Hakuna nchi bila watu!
Na siku zote kusimama na mwenye nguvu dhidi ya mnyonge ndiko kupigania tumbo maana Kuna mategemeo ya kupewa chochote!
 
maatope

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
1,553
Points
1,500
Age
28
maatope

maatope

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
1,553 1,500
Kama naanza kupata picha vile! Japo sijaiamini sana hii picha ila siielewi.. Juzi kati kama week 3 zilizopita nilikuwa naenda maeneo yangu ya kusaka tonge (bandarini). Nilikua na mchongo mmoja ulinilazimu kutoka home asubuh sana.
Muda wa saa 12 asubuh nilipokua mitaa ya uhasibu jirani na kambi ya mgulani... Niliona wajeda kadhaa wenye kwanda zilizochafuka na mabegi makubwa wakiingia kwenye ndinga moja la maana ila wajeda walikua wana bendera za Rwanda mabegani mwao. Nilishangaa kdg ila nikachukulia poa tu,
Mpaka leo nachukulia poa naamin labda kulikuwa na training fulani ya ushirikiano wa nchi hizo...

Anyway naamin hivyo na tuaminini hivyo.. Sidhani kama watanzania waliopewa dhamana ya ilinzi wa nchi na wananchi watakuwa wazembe kiasi hicho kurusu wageni wapenye maeneo nyeti.... No!
UNGA MKONO JUHUDI
 
M

mwarya hamadous

Senior Member
Joined
Oct 22, 2016
Messages
195
Points
250
M

mwarya hamadous

Senior Member
Joined Oct 22, 2016
195 250
No sijawahi kuwa na xl, ninayoitumia is now just parked nje kwangu. Nilikuwa naipigia trips za Arusha, Iringa, Dodoma etc.
Wakati ule wa Moro, nilikuwa nafanya Maonyesho ya Nane Nane Moro, mimi nakaa Dar, asubuhi naenda jioni narudi Far Moro ni just 90 min, Dar-Dodoma 4 hrs. Dar Moshi 5 hrs.
P
mkuu bdo upo palepale masana road...njia ya goba
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,191
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,191 2,000
Kwa sasa you are no longer the former one.You are selling the nation for your lust of power and your stomach.Or you had your orders on what to do when you were questioned at parliament or state house.
Hakika wasomi wa bongo ni wafia tumbo
Mkuu Future Hunter,
freedoms zote zina mipaka, ila the only freedom isiyo na mipaka, ni the freedom to think ndio absolute freedom, mtu uko huru to think na kuwaza chochote kuhusu yoyote au jambo lolote, hivyo nayaheshimu mawazo yako.
P
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,191
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,191 2,000
mkuu bdo upo palepale masana road...njia ya goba
Pale nilihonga kwa yule cheupe, mimi nimehamia Tandale kwa Mtogole, ila ile piki piki yangu bado inapaki pale pale nje Mbezi karibu na Masana.
Siunajua sisi Wasukuma, ukijiweka mahali, ukiondoka unaacha kila kitu.
P
 
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Messages
1,118
Points
2,000
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2018
1,118 2,000
Mkuu Future Hunter,
freedoms zote zina mipaka, ila the only freedom isiyo na mipaka, ni the freedom to think ndio absolute freedom, mtu uko huru to think na kuwaza chochote kuhusu yoyote au jambo lolote, hivyo nayaheshimu mawazo yako.
P
Ni kweli kaka paschal kinachonitatiza ni vile umepiga u turn kali mno.Ulikuwa mjenga hoja mzuri ukikosoa pa kukosoa na kupongeza pa kupongeza lakin sasa iwe nyeupe au nyeusi wewe unapiga makofi tu.
Huyu sio paschal tunaemfahamu aisee.
 
K

kaskas

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
155
Points
250
K

kaskas

Senior Member
Joined Nov 1, 2010
155 250
Mkuu Future Hunter,
freedoms zote zina mipaka, ila the only freedom isiyo na mipaka, ni the freedom to think ndio absolute freedom, mtu uko huru to think na kuwaza chochote kuhusu yoyote au jambo lolote, hivyo nayaheshimu mawazo yako.
P
Hii ni dharau sana kwa jeshi letu, yaani wao hawawezi hii kazi ya kumlinda amirijeshi wao, wanachoweza ni kubangua koro-show kwa meno. What a shame!!!!!!!
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
7,521
Points
2,000
Age
40
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
7,521 2,000
Ni kweli kaka paschal kinachonitatiza ni vile umepiga u turn kali mno.Ulikuwa mjenga hoja mzuri ukikosoa pa kukosoa na kupongeza pa kupongeza lakin sasa iwe nyeupe au nyeusi wewe unapiga makofi tu.
Huyu sio paschal tunaemfahamu aisee.
Futa imani zote ulizobakiza kuhusu mtu huyu.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,191
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,191 2,000
Hakuna nchi bila watu!
Na siku zote kusimama na mwenye nguvu dhidi ya mnyonge ndiko kupigania tumbo maana Kuna mategemeo ya kupewa chochote!
Kwa wazalendo wa kweli, wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa, ni taifa kwanza, halafu ndipo watu wanafuatia.

Naunga hoja ya kusimama na wanyonge dhidi ya wenye nguvu, ila inapotokea wenye nguvu ndio wenye maslahi makubwa kwa taifa kuliko wanyonge, then unatanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa.

Hicho ndicho kilichofanywa na the Tiger nations kuwachapa mijeledi wanyonge kwa kuwafanyisha kazi kwa lazima, matokeo ndio haya sasa. Hata Tanzania, tulifikia mahali pa kuhitaji dikiteta mzalendo kuchapa mijeledi ili tuende, faida tutakuja kuiona mbele ya safari.
P
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,191
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,191 2,000
Futa imani zote ulizobakiza kuhusu mtu huyu.
Katika kusimama na ukweli, usiogope kugombana na wenzako katika jambo ambalo mtakuja kupatana pale ambapo faida ya jambo mlilogombania itaonekana na mtakuja kupatana, hivyo tugombane tuu, kwa sasa futa imani zote kuhusu mimi.
P
 
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Messages
3,631
Points
2,000
Paul Alex

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2012
3,631 2,000
Kwa wazalendo wa kweli, wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa, ni taifa kwanza, halafu ndipo watu wanafuatia.

Naunga hoja ya kusimama na wanyonge dhidi ya wenye nguvu, ila inapotokea wenye nguvu ndio wenye maslahi makubwa kwa taifa kuliko wanyonge, then unatanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa.

Hicho ndicho kilichofanywa na the Tiger nations kuwachapa mijeledi wanyonge kwa kuwafanyisha kazi kwa lazima, matokeo ndio haya sasa. Hata Tanzania, tulifikia mahali pa kuhitaji dikiteta mzalendo kuchapa mijeledi ili tuende, faida tutakuja kuiona mbele ya safari.
P
Kama mbele ya Safari hakuna hiyo faida, nani atalipia machozi yanayomwagika?
 
Forum statistics

Threads 1,295,455
Members 498,335
Posts 31,212,585
Top