Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Duh,sasa hiyo si itakuwa ni hatari sana kwa usalama wa Taifa hilo la Guam,hao wanajeshi wakitumwa na Rais wao je wamfanyie kitu mbaya huyo Rais wa Guam si patakuwa hapatoshi hapo???

Ina maana hilo Taifa la Guam kwenye maadhimisho ya sikukuu zao za kitaifa kumbe wale makondoo wao wanaopasuaga matofali kwa meno kumbe wanafanyaga maigizo tu,uwezo hata wa kulinda banda la kuku la huyo kiongozi wa Guam hawana na ndio maana hawaaminiki

Balaa zito sana hili!!
 
Kumbe kuna watu mnapigania watu hadi kuulizana unampigania nani?. Mimi ni mzalendo wa kweli wa nchi yangu, simpiganii mtu bali naipigania nchi yangu kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
P.
Hakuna nchi bila watu!
Na siku zote kusimama na mwenye nguvu dhidi ya mnyonge ndiko kupigania tumbo maana Kuna mategemeo ya kupewa chochote!
 
No sijawahi kuwa na xl, ninayoitumia is now just parked nje kwangu. Nilikuwa naipigia trips za Arusha, Iringa, Dodoma etc.
Wakati ule wa Moro, nilikuwa nafanya Maonyesho ya Nane Nane Moro, mimi nakaa Dar, asubuhi naenda jioni narudi Far Moro ni just 90 min, Dar-Dodoma 4 hrs. Dar Moshi 5 hrs.
P
mkuu bdo upo palepale masana road...njia ya goba
 
Kwa sasa you are no longer the former one.You are selling the nation for your lust of power and your stomach.Or you had your orders on what to do when you were questioned at parliament or state house.
Hakika wasomi wa bongo ni wafia tumbo
Mkuu Future Hunter,
freedoms zote zina mipaka, ila the only freedom isiyo na mipaka, ni the freedom to think ndio absolute freedom, mtu uko huru to think na kuwaza chochote kuhusu yoyote au jambo lolote, hivyo nayaheshimu mawazo yako.

Ni kweli kaka paschal kinachonitatiza ni vile umepiga u turn kali mno.Ulikuwa mjenga hoja mzuri ukikosoa pa kukosoa na kupongeza pa kupongeza lakin sasa iwe nyeupe au nyeusi wewe unapiga makofi tu.
Huyu sio paschal tunaemfahamu aisee.
 
Mkuu Future Hunter,
freedoms zote zina mipaka, ila the only freedom isiyo na mipaka, ni the freedom to think ndio absolute freedom, mtu uko huru to think na kuwaza chochote kuhusu yoyote au jambo lolote, hivyo nayaheshimu mawazo yako.
P
Hii ni dharau sana kwa jeshi letu, yaani wao hawawezi hii kazi ya kumlinda amirijeshi wao, wanachoweza ni kubangua koro-show kwa meno. What a shame!!!!!!!
 
Hakuna nchi bila watu!
Na siku zote kusimama na mwenye nguvu dhidi ya mnyonge ndiko kupigania tumbo maana Kuna mategemeo ya kupewa chochote!
Kwa wazalendo wa kweli, wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa, ni taifa kwanza, halafu ndipo watu wanafuatia.

Naunga hoja ya kusimama na wanyonge dhidi ya wenye nguvu, ila inapotokea wenye nguvu ndio wenye maslahi makubwa kwa taifa kuliko wanyonge, then unatanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa.

Hicho ndicho kilichofanywa na the Tiger nations kuwachapa mijeledi wanyonge kwa kuwafanyisha kazi kwa lazima, matokeo ndio haya sasa. Hata Tanzania, tulifikia mahali pa kuhitaji dikiteta mzalendo kuchapa mijeledi ili tuende, faida tutakuja kuiona mbele ya safari.
P
 
Futa imani zote ulizobakiza kuhusu mtu huyu.
Katika kusimama na ukweli, usiogope kugombana na wenzako katika jambo ambalo mtakuja kupatana pale ambapo faida ya jambo mlilogombania itaonekana na mtakuja kupatana, hivyo tugombane tuu, kwa sasa futa imani zote kuhusu mimi.
P
 
Kwa wazalendo wa kweli, wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa, ni taifa kwanza, halafu ndipo watu wanafuatia.

Naunga hoja ya kusimama na wanyonge dhidi ya wenye nguvu, ila inapotokea wenye nguvu ndio wenye maslahi makubwa kwa taifa kuliko wanyonge, then unatanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa.

Hicho ndicho kilichofanywa na the Tiger nations kuwachapa mijeledi wanyonge kwa kuwafanyisha kazi kwa lazima, matokeo ndio haya sasa. Hata Tanzania, tulifikia mahali pa kuhitaji dikiteta mzalendo kuchapa mijeledi ili tuende, faida tutakuja kuiona mbele ya safari.
P
Kama mbele ya Safari hakuna hiyo faida, nani atalipia machozi yanayomwagika?
 
Ukiona mtu anatoa shutuma dhidi yako na huzijibu wala kuzipinga basi "watasha" tunasema "there is a hidden truth, somewhere"..Yule dada (waliyempachika jina la Kahaba) kule Kwa Trump alisema kuwa Mkuu si Mtanzania (ni Mhutu aliyekuja na Mama yake kabla hajaolewa na kuzaa watoto wengine na Mzee Joseph)....Lakini Pia alishutumu Kwa "Uhakika wa Kiapo" kuwa Mkuu Analindwa Na "Watutsi" badala ya "Wabantu Wazawa wenzetu" ..shutuma zote hizi Nzito hazikujibiwa eidha kwa kuzipinga kwa ushahidi wa kweli au wa uongo hasa ikizingatiwa yule dada kule ng'ambo ana ushawishi mkubwa na "wafuasi" wengi wanaomwamini hivyo kuleta sintofahamu nyingi kwao.....Mkuu britanicca Kwenye hili Ukweli upo Mahali Fulani maana Waswahili husema "Lisemwalo Lipo".
 
Sidhani kama watanzania waliopewa dhamana ya ilinzi wa nchi na wananchi watakuwa wazembe kiasi hicho kurusu wageni wapenye maeneo nyeti.... No!

Kwani waTanzania siku hizi ni akina nani mkuu?

Kuna waTanzania zaidi ya mTanzania nambali wani? Huyo akisema 'chochote' kilicho ndani ya uwezo wa waTanzania kinakuwa, hata kama hawakipendi..

Kuna mTanzania au waTanzania wowote walio zaidi yake sasa hivi?

Kwa hiyo nadhani inabidi sasa tukubali aliyoyawasilisha mleta hoja britanicca. Hadi sasa bado hajakanusha lolote kuhusu hoja yake.
 
Kwani waTanzania siku hizi ni akina nani mkuu?

Kuna waTanzania zaidi ya mTanzania nambali wani? Huyo akisema 'chochote' kilicho ndani ya uwezo wa waTnzania kinakuwa.

Kuna mTanzania au waTanzania wowote walio zaidi yake sasa hivi?

Kwa hiyo nadhani inabidi sasa tukubali aliyoyawasilisha mleta hoja. Hadi sasa bado hajakanusha lolote kuhusu hoja yake.
Mkuu labda unirekebishe kama nakosea!
Nafahamu watanzania ni mimi na wewe ila WALIOPEWA DHAMANA YA ULINZI sio mimi na wewe. Mimi na wewe tunashiriki sehem ndogo sana kwenye ulinzi wa nchi hii!

Hapo nilimaanisha kwamba/au niulize kwamba. Inamaana hakuna mfumo wa ulinzi ambao haumuhusishi rais? Mfumo ambao unajitegemea kiasi kwamba hata mkuu wa nchi akionekana anazingua una nguvu ya kudhibiti!
 
Kwa wazalendo wa kweli, wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa, ni taifa kwanza, halafu ndipo watu wanafuatia.

Naunga hoja ya kusimama na wanyonge dhidi ya wenye nguvu, ila inapotokea wenye nguvu ndio wenye maslahi makubwa kwa taifa kuliko wanyonge, then unatanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa.

Hicho ndicho kilichofanywa na the Tiger nations kuwachapa mijeledi wanyonge kwa kuwafanyisha kazi kwa lazima, matokeo ndio haya sasa. Hata Tanzania, tulifikia mahali pa kuhitaji dikiteta mzalendo kuchapa mijeledi ili tuende, faida tutakuja kuiona mbele ya safari.
P
Kwa hio pasco..tanzania tuna DIKTETA mzalendo?
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom