Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Siku vijana mtakapoacha kujifungamanisha na maagano ya mahusiano ya wanawake wasiojielewa ndipo watakapoanza kupata akili ya maisha yanataka nini.

Siku vijana tutakapoacha kuentertain wanawake wenye watoto ndipo mtakapoanza kuona idadi ya Single mothers ikishuka maana watajua wanaume hawaoi wanawake wenye watoto na wanaume wengine so watakuwa makini sana na nani wanampa nyuchi zao wazae nae.

Leo wanajiachia maana wanajua kuna mabwege yapo katika jamii yatatumia pesa na mali zao kulea watoto wasio damu zao ili waonekane mashujaa katika jamii hii isiyowatambua umuhimu wao wala kuwajali kwa lolote kiuhalisia.

Mbona wanawake wanajua wanaume wanataka wanawake warembo na ndio maana unaona wanawake wanapambana kutwa kucha tena kwa gharama kubwa kujiweka sopu sopu ili waweze kucompete kwenye soko la kudanga.

Kwann vijana msijiwekee standards kuwa hamtaoa na kuweka ndani mwanamke asiye na bikra, hayo ya kuwa na mtoto au kuwa alishalala na wanaume zaidi ya sita automatically mabinti watayatokomeza hayatakuwapo maana itakuwa tishio kwa future yao. Ila wanayafanya sababu jamii haijawa strict nao juu ya hilo na inawaambia kitanda hakizai haramu, hawara hatangazwi na kauli zingine za kipumbavu.

Kimsingi wanawake wanaofanya haya matukio wanajua kuwa kuna kundi la wanaume wanakubaliana nao na wapo tayari kulower standards zao ili kuwa nao, hawajui kuucheza huu mchezo kwa advantage zao.

Imagine mwanamke ana mtoto wewe unakwenda kuoa ili iweje,ili mtoto awe wako au unataka kuprove nini kwenye nafsi yako kwamba unajua kucare au?!

Mbona mwanamke anaweza kukukataa wewe kwa standards zao walizojiwekea na jamii haiwahukumu kwann wewe uogope kuifokea jamii pale itakapokuhumu kwa kuweka standards zako?

Wanawake wao hawataki mwanaume mfupi wanataka mrefu, wanataka mwenye gari,nyumba,mwenye mshahara mkubwa au biashara inayompa pesa nyingi, wanataka handsome, and trust me mwanamke akikukuta hauna hata kimojawapo hawezi kukukubali hata iweje,ila wewe ulivyo fala sasa anakujia mwanamke hana bikra, ameshalalwa na wanaume zaidi ya 1,ametoa ujauzito mara kadhaa, hana pesa kusema atakuwa na mchango kwenye uchumi wako,na mbaya zaidi ana mtoto,mwili wake umeshaanza kuchakaa kwa maana ya matiti yamelala,mafuta yameanza kujaa sehemu za mwili ambazo hazitakiwi kujaa, ana stress za mahusiano yaliyopita,ana mawenge ya fikra,hana mbinu za kiuchumi za kushirikiana nae mtoboe maisha,na bado ana mabwana ana wasiliana nao,wewe ulivyo fala unampigia goti KUMUOMBA ridhaa, tena kwa unyenyekevu ya kuwa nae kimaisha aje kuwa mkeo na wa ndoa, mrithi wa mali zako yeye na watoto au mtoto wake aliyempata na mwanaume mwingine, na kutumia pesa zako kuendesha maisha yake, sio yenu.

Niambie kama sio upumbavu huu enyi watoto wa kiume mnaojiita marijali wa kubebelea mizigo ya wengine. Unamkosea MUNGU aliyeagiza mwanamke Bikra ndio apewe heshima ya mke, unawakosea mabinti wenye bikra zao waliojitunza wakimuomba MUNGU awape mume wanaestahiki awaongoze katika njia njema ya maisha wajijenge na kuwa imara kimaisha, mbaya zaidi unawakosea wazazi wako kukuleta duniani ujenge legacy ya kiume unajenga upumbavu, unaikosea jamii kwa kushusha standards za mwanaume.
 
Ninachoona hapa kuna battle kati ya wanaume waliotelekeza wanawake waliowazalisha na hawapendi wanawake hao waolewe na mtu mwingine bali wabaki na mateso versus wanaume wenye nia njema ya kubeba majukumu lakini wanataka kusimamia uanaume wao kikamilifu ikiwemo all about mtoto aliyeamua kumbeba kama wa kwake. Haya magumu tumejitengenezea sisi wanadamu. Heshima, hekima laiti vingezingatiwa, tusingefika hapa leo. Mtu asie na shukrani ni mzigo kwa jamii daima.
Unaongea point hadi nikisoma nadinda.
 
Huwezi kuwa mwanaume mwenye msimamo alafu muda huohuo ukaoa single mother. Haijawahi kutokea. Labda awe MKE wa pili au watatu Huko. Lakini kabisakabisa mwanaume anaoa MKE mmoja alafu huyohuyo ni single mother. Ninakuambia hawezi kuwa na msimamo.

Hata Mama zetu wanalijua Hilo. Ukimletea Mwanamke Single mother Kwa kweli Mama zetu hutudharau
Hawasemagi tu ila mioyoni wanakuwa na maswali sana kuwa hivi hili toto ndilo nililea mimi hili toto mbona limekuwa jinga hivi.
 
Baba mzazi wa mtoto ni Muislam je mtoto yeye amelelewa kwenye dini gani?
Kutokana na maelezo mtoto alianza kulelewa na baba wa kambo akiwa na miezi 6 na amefariki akiwa mkubwa. Je mtoto hakubatizwa?
Hili ni swali la msingi sana na sijui kama wamehoji hawa waandishi wa habari uchwara.

Miezi sita ni kichanga kabisa ambacho ndio kinaanza kukaa so ni sawa na kusema jamaa huyu ndie baba mzazi wa mtoto.

Huo ni umri ambao hata ubatizo unakuwa bado.
 
Siku vijana mtakapoacha kujifungamanisha na maagano ya mahusiano ya wanawake wasiojielewa ndipo watakapoanza kupata akili ya maisha yanataka nini.

Siku vijana tutakapoacha kuentertain wanawake wenye watoto ndipo mtakapoanza kuona idadi ya Single mothers ikishuka maana watajua wanaume hawaoi wanawake wenye watoto na wanaume wengine so watakuwa makini sana na nani wanampa nyuchi zao wazae nae.

Leo wanajiachia maana wanajua kuna mabwege yapo katika jamii yatatumia pesa na mali zao kulea watoto wasio damu zao ili waonekane mashujaa katika jamii hii isiyowatambua umuhimu wao wala kuwajali kwa lolote kiuhalisia.

Mbona wanawake wanajua wanaume wanataka wanawake warembo na ndio maana unaona wanawake wanapambana kutwa kucha tena kwa gharama kubwa kujiweka sopu sopu ili waweze kucompete kwenye soko la kudanga.

Kwann vijana msijiwekee standards kuwa hamtaoa na kuweka ndani mwanamke asiye na bikra, hayo ya kuwa na mtoto au kuwa alishalala na wanaume zaidi ya sita automatically mabinti watayatokomeza hayatakuwapo maana itakuwa tishio kwa future yao. Ila wanayafanya sababu jamii haijawa strict nao juu ya hilo na inawaambia kitanda hakizai haramu, hawara hatangazwi na kauli zingine za kipumbavu.

Kimsingi wanawake wanaofanya haya matukio wanajua kuwa kuna kundi la wanaume wanakubaliana nao na wapo tayari kulower standards zao ili kuwa nao, hawajui kuucheza huu mchezo kwa advantage zao.

Imagine mwanamke ana mtoto wewe unakwenda kuoa ili iweje,ili mtoto awe wako au unataka kuprove nini kwenye nafsi yako kwamba unajua kucare au?!

Mbona mwanamke anaweza kukukataa wewe kwa standards zao walizojiwekea na jamii haiwahukumu kwann wewe uogope kuifokea jamii pale itakapokuhumu kwa kuweka standards zako?

Wanawake wao hawataki mwanaume mfupi wanataka mrefu, wanataka mwenye gari,nyumba,mwenye mshahara mkubwa au biashara inayompa pesa nyingi, wanataka handsome, and trust me mwanamke akikukuta hauna hata kimojawapo hawezi kukukubali hata iweje,ila wewe ulivyo fala sasa anakujia mwanamke hana bikra, ameshalalwa na wanaume zaidi ya 1,ametoa ujauzito mara kadhaa, hana pesa kusema atakuwa na mchango kwenye uchumi wako,na mbaya zaidi ana mtoto,mwili wake umeshaanza kuchakaa kwa maana ya matiti yamelala,mafuta yameanza kujaa sehemu za mwili ambazo hazitakiwi kujaa, ana stress za mahusiano yaliyopita,ana mawenge ya fikra,hana mbinu za kiuchumi za kushirikiana nae mtoboe maisha,na bado ana mabwana ana wasiliana nao,wewe ulivyo fala unampigia goti KUMUOMBA ridhaa, tena kwa unyenyekevu ya kuwa nae kimaisha aje kuwa mkeo na wa ndoa, mrithi wa mali zako yeye na watoto au mtoto wake aliyempata na mwanaume mwingine, na kutumia pesa zako kuendesha maisha yake, sio yenu.

Niambie kama sio upumbavu huu enyi watoto wa kiume mnaojiita marijali wa kubebelea mizigo ya wengine. Unamkosea MUNGU aliyeagiza mwanamke Bikra ndio apewe heshima ya mke, unawakosea mabinti wenye bikra zao waliojitunza wakimuomba MUNGU awape mume wanaestahiki awaongoze katika njia njema ya maisha wajijenge na kuwa imara kimaisha, mbaya zaidi unawakosea wazazi wako kukuleta duniani ujenge legacy ya kiume unajenga upumbavu, unaikosea jamii kwa kushusha standards za mwanaume.
Aiseee,hili andiko lako ni dawa chungu

Tatzo singo mama kwasasa hawakwepeki maana wamekuwa wengi,mfano ukitaka mwanamke mzur mwenye uzur wake unakuta wana tayar wameshashusha engine,ukitaka mwanamke anaejua harakati na mapambano katika maisha ndo hao hao singo mama,ukitaka wacha mungu nako wamejaa hao hao singo mama

Kiujumla kuwakwepa ni ngumu,mimi mama angu huwa ananishangaa sana kuoa singo mama ila ndo hvyo ni huruma yangu tu nilijikuta nipo nae
 
Huyo mwanamke kama ana ndugu apeleke msiba kwa ndugu zake.
Kama hana jamaa mji huo aongee na kamati ya msikiti wowote ulio karibu nae wamzike mtoto wake.
Ninachojua waislam hawana mzingo mrefu kwenye msiba....
 
Huwezi kuwa mwanaume mwenye msimamo alafu muda huohuo ukaoa single mother. Haijawahi kutokea. Labda awe MKE wa pili au watatu Huko. Lakini kabisakabisa mwanaume anaoa MKE mmoja alafu huyohuyo ni single mother. Ninakuambia hawezi kuwa na msimamo.

Hata Mama zetu wanalijua Hilo. Ukimletea Mwanamke Single mother Kwa kweli Mama zetu hutudharau
Kwel kabisa,mama hudharau mno,haya yamenitokea

Mama amechelewa sana kumkubali mke wangu
 
HUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki

Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu

Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje

Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.

--

View attachment 2665378

Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.

Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.

Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.

Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Ndiyo maana Uislam unakataza mwanamke wa Kiislm kuolewa na mwanamme asiye Muislam.

Hakuna ndoa hapo Kiislam, wameishi kwa kuzini tu. Landa mwanamke awe aliukana Uislam wake.

Mtoto anabaki kuwa Muislam mpaka apatapo akili ya kuamua mwenyewe. Huyo mtoto ni Muislam.

Amelikoroga, Masheikh wa Kiislam wamsaidie, ni ujinga wake tu. Msome Dhahabu Nyeusi, bofya chini hapo, anauelezea ujinga wa Mwafrika:

Huyo mwanamke kama ana ndugu apeleke msiba kwa ndugu zake.
Kama hana jamaa mji huo aongee na kamati ya msikiti wowote ulio karibu nae wamzike mtoto wake.
Ninachojua waislam hawana mzingo mrefu kwenye msiba....
Hakukuwa na sababu yakuita polisi msiba wowote ukitokea kama aliyekufa ni muislam masheh huwa wanakuja kudai maiti yao jambo la msingi angeongea nao wakafanyie maziko huko kwao kwa mama mkwe au kwa mjomba na sio kwangu sizani kama ingeshindikana ni jambo dogo tu la kutumia busara sizani ata upande wa waislamu huwa watakubali msiba wa mkristo ufanyike kwenye nyumba ya muislam
 
Aiseee,hili andiko lako ni dawa chungu

Tatzo singo mama kwasasa hawakwepeki maana wamekuwa wengi,mfano ukitaka mwanamke mzur mwenye uzur wake unakuta wana tayar wameshashusha engine,ukitaka mwanamke anaejua harakati na mapambano katika maisha ndo hao hao singo mama,ukitaka wacha mungu nako wamejaa hao hao singo mama

Kiujumla kuwakwepa ni ngumu,mimi mama angu huwa ananishangaa sana kuoa singo mama ila ndo hvyo ni huruma yangu tu nilijikuta nipo nae
Nadhani ni kukosa umakini tu katika kutafuta mwenzi wa maisha. Jipe mwaka m'moja. Tenga bajeti na ulenge kutafuta mwanamke ambaye anavigezo vifuatavyo,

1. Awe ni bikra
2. Atokee familia bora(sijamaanisha familia tajiri)
3. Awe msafi wa tabia na mwili.
4. Awe anaelewa Maisha na kama haelewi basi awe tayari kujifunza.
5. Awe na umbile au muonekano utakao kuvutia wewe binafsi sio jamii.
6. Awe na upendo kwa maana asiwe mtu wa kukutumia kwa shida zake.
7. Awe na discipline ya pesa.
8. Ajue thamani ya baba, mwanaume na ajue role za baba ili asiingilie.
9. Atambue mfumo dume, ajue namna gani unafanya kazi aachane na hawa feminist uchwara wanaoubrand kama mfumo kandamizi wachawi wakubwa wale.
10. Atambue umuhimu wa nafasi ya mwanamke kwenye maisha ya mwanaume na ajue majukumu ya mwanamke.
 
Ukomaavu wa akili au nazi?! Yaani unataka jamaa awe kichwa nazi?Unafahamu nini kuhusu mamlaka ya mwanaume, unajua nini kuhusu utawala wa mwanaume katika himaya yake na vyote vilivyopo eneo lake?
Ww ndio hujui kitu dogo piga kimya kuna mamlaka na maisha angekua na mamlaka asingeoa mke wa mtu yaani mwanaume timamu ukaoe mtu aliezaa na mwanaume mwingine. Ashakubali ujinga basi avumilie kuwa na mamlaka ndio ukatae msiba usifanyike kwako. Alafu nyie mnaojidai mnajua mamlaka ndio mnaendeshwa na mademu wabovu kinoma
 
Back
Top Bottom