Nilikuwa Natambika, sina lolote!

Nilikuwa Natambika, sina lolote!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,653
Kwa mliomkosa kumuona mama Tunu Pinda, baada ya kuimba imba kipogoro chake cha Uponera, eti akaishia kuwaambia wanawake wenzake kwa kusema 'Nilikuwa natambika sina lolote', na jinsi hiyo tv ya magamba walivyoipa air time hiyo session, mie nikabaki hoi! wake wa wakubwazetu hao!
 
Huyu jamaa hapo juu naona amekula BAN, sijui ameharibu wapi tena. Jf Bana..
 
Back
Top Bottom