Nilikuwa Natambika, sina lolote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilikuwa Natambika, sina lolote!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ndyoko, Nov 26, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 160
  Kwa mliomkosa kumuona mama Tunu Pinda, baada ya kuimba imba kipogoro chake cha Uponera, eti akaishia kuwaambia wanawake wenzake kwa kusema 'Nilikuwa natambika sina lolote', na jinsi hiyo tv ya magamba walivyoipa air time hiyo session, mie nikabaki hoi! wake wa wakubwazetu hao!
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Watu hamcheleweshi! Lol
   
 3. S

  ScreenMaster Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari inaisha, na thread juu!...huh!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  mi mwenyewe nimeshangaa kweli. Dah!
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 160
  Basi mi naacha kuwa update sasa! Maana hiyo mijitu ya antivirus si imeamua kuenjoy yenyewe bila kutujali sisi wa huku bush!!
   
 6. L

  LIPUALIPUA Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujui lolote kazi kukufuatilia mambo ya watu.
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,171
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa hapo juu naona amekula BAN, sijui ameharibu wapi tena. Jf Bana..
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,531
  Likes Received: 9,958
  Trophy Points: 280
  hao ndio wakuu wa nchi hii
   
 9. u

  uwoya Senior Member

  #9
  Dec 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Cha ajabu/muhimu ni nini hadi iletwe hapa?
   
Loading...