mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Kila msomi alipenda kusoma..na ndio maana akawa msomi..Napenda kusoma, nikifanyakazi kwa miaka mitano sita napenda kujiendeleza, Leo nilikuwa najaza fomu yangu kuomba udhamini chuo kimoja Majuu. Nikakuta inatakiwa proficiency in English... miaka kumi iliyopita hayakuhitajika hayo mambo, nikisoma kwenye chuo kimojawapo hapakuwa na kuombwa kupeleka majaribio katika lugha hii ya kigeni(english). Wakati napitia pitia kuona ufafanuzi uombaji nikakuta Tanzania sio tena katika nchi ambazo awali haikuhitaji kuwa na proficiency katika kiingeleza...leo hii naona ni lazima utest.
Mimi naona haya ni madhara ya poromoko la elimu yetu hasa ukizingatia lugha hii inatumika kama lugha ya mawasiliano...
Lugha hii tunaisoma secondary , Vyuo vikuu nakadhalika. Hawa wazungu hawatuamini tena, bila shaka ni matokeo ya wasomi wanaoomba ama kwenda wanavyo fanya hovyo katika masomo na lugha ikiwaangusha.
Mh waziri hili linakuhusu sana