Nilikuwa nakutega tu!!

mkuu madaktari hawana hela mbona..............

huyo dada limbukeni............

Hawana hela ya kuhonga lakini anakuwa na uhakika wa hata akiolewa anakuwa secured na flow of môney, uhakika wa ndugu kutibiwa mapema bila foleni, kujaliwa nk. Pia it sounds good kuwaambia rafiki zake bf wake ni dr kuliko muuza duka la mhindi but in reality muuza duka anapata casht faster kuliko dr
 
Hivi "madokita" mlishaongezewa mshahara?
 
wakati mwingine huwa wanafikiria atakutambulisha vipi kwa mashosti zake... "baby yangu ni muuza duka kwa wahindi kariakoo" wenyewe wanasema 'aka bibie Inahuu!!'
hahahahaha! job true true
 

well said Dr. Sometimes is not bout money na status pia ina matter. Dr, Lawyer, engineer, lecturer, prof, etc.
Kuwa na bwana Yahaya napo ni mtihani,
 
Nimecheka kwa sauti hapa..lolz
Yaani hajui hata kudash?...anaingia mzima mzima?
Anyways..hii ndio dunia ..the winner takes all!
 
Sio pesa tu kuna suala la personality pia. Kumbuka personality zinatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine na japokuwa pesa mbele lakini wadada wengi wa mjini wangependa kuwa na mtu wenyewe wanaita presentable.

Si unajua tena, kwenye kutambulisha it goes something like this:-
Mrembo: bebii.... this is my very close friend Lizzy and Lizzy this is my hubby Dokta Nyalotsi

Sasa pata picha kama ni muuza duka mhindi, anaiweka vipi.
 
Reactions: keh


ok! ni zaidi ya pesa kwa madokta...........

usingehitimisha na hii sasa mkuu.........
Lakini bado najiuliza, kukiwa hakuna uhakika wa hela hupendwi? Ina maana ni money for service? Duh, kazi tunayo..!
 
Mwanaume pesa, hayo mambo ya eti mwanamke akupende kama ulivyo yalikuwa enzi za analojia
 
Reactions: keh
usisahau kuazima gari mkuu hapo ndo utakuwa umeua akija kushtuka baadaye sana,usisahau kunywa konyagi ili umkomoe vzuri
 
Na kesho nna mpango wa kuazima gari kwa jamaa nikamgegede kabisa!!!

Kwanza aliekwambia Dr. wana hela ni nani? wenye hela hawasemi. Njoo nikuazime la kwangu maana kama dr. huna hata gari bado ni majanga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…