Nilikuwa nakutega tu!!

wakati mwingine huwa wanafikiria atakutambulisha vipi kwa mashosti zake... "baby yangu ni muuza duka kwa wahindi kariakoo" wenyewe wanasema 'aka bibie Inahuu!!'

Haihuu babu
 
Wasi wasi wake tu, mbona wauza duka kwa mhindi wanahonga hadi basi, ukimpata utakuwa na bidhaa zote za ZEKI na mapochopocho kibaooooooooooo Madaktari michosho tuuuuuuuu!
 
Wasi wasi wake tu, mbona wauza duka kwa mhindi wanahonga hadi basi, ukimpata utakuwa na bidhaa zote za ZEKI na mapochopocho kibaooooooooooo Madaktari michosho tuuuuuuuu!

Huyo daktari hukumpa ile kitu napenda mpaka akadata. Kuna wengine wanadatishwa mpaka akipigiwa simu anaacha mponjwa na kukufuata.!
 
Na hivi madaktari wengi hawajipendi (rough rough) muonekano wako ulimlazimisha akuulize wafanya kazi gani.
Ingukuwa smart (simaanishi kichwani) asingekuuliza angekuuliza kwa vitendo na kudeduce kuwa unazo au za kuunga na gundi ya mnyaa.

I lik this
 
hahahaha wanawake wa namna hii wako wengi.

hila najiuliza nini kilimfanya aamini kuwa unafanya kazi kwenye duka la mahindi.
 
Na hivi madaktari wengi hawajipendi (rough rough) muonekano wako ulimlazimisha akuulize wafanya kazi gani.
Ingukuwa smart (simaanishi kichwani) asingekuuliza angekuuliza kwa vitendo na kudeduce kuwa unazo au za kuunga na gundi ya mnyaa.

samahani sana , hao madaktari wengi ambao wapo rough rough umekutana nao wapi?
 
mkuu madaktari hawana hela mbona..............

huyo dada limbukeni............
 
aise hiyo piga chini fasta, yaani hapo hakuna future wala nn
 
Ndio maana mabishoo wanawagonga kweli sababu wakipa hela tu wanaazima na gari wanaenda kuu. Dem akijastuka kashaliwa na mishen town hela yakusubiria Kama mvua za vuli
 
Huyo dada yupo kibusness zaidi

Kuwa muuza duka hakumfanyi mtu asipendwe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…