Mimi iko poa poa sana
Leo nimefungua kinywa kwa ugali wa udaga na nswalu na kushushia na maji ya mtungini.....
Weye?
Hivi ndoa yenu ilikufa kabisa?
Yaani Eiyer unanyang'anywa mke na yule mnyamwezi unakubali!!!??
Niko kwa kitanda bado, ila nimekunywa juice ya embe.
Udaga na nswalu wapi na wapi? Mnyamwezi anakula udaga na nyama ya kuchoma au kamwiporu.
Sio mchafu mchafu kama ..........?
Bwana natania tu, vya pombe ndio wanakuwaga wachafu.
Jamani kulikuwa na emergency ngapi? Nakumbuka enzi za mzee wangu, akiwa zamu alikuwa anafuatwa na dreva in case kuna operation au emergency. Siku hizi ikoje?
Mi nilidhani umekunywa togwa
Huku kwetu kijijini hakuna juice
Mnyamwezi gani huyo?
Au ni mmasai?
Togwa si kiswahili, kizungu chake juice?
You wish eeh?
Hakuna anaeweza kuninyang'anya changu
Ukishaona umenyang'anywa jua hicho sio chako,uliazimishwa!
Yaani ilikufa, tukachoma na jivu tukatupia ziwa tanganyika.
Kwa mnyamwezi nimefika aisee, hadi najiuliza kwanini sikuachika siku niliyomtongoza Eiyer.
Togwa si kiswahili, kizungu chake juice?
Wala haiwezi kuniuma kwa sababu nikitaka tu namDEEP tu anakujaLakini haiumi si alikutongoza mwenyewe!!
Shauri yake kila siku ananipigia analalamika tu!Ila najua unaishi kwa presha, utaweza heka heka za akina lara 1 na Zahra White? :noidea::noidea:
Togwa ni togwa, juice Kiswahili chake ni Sharubati!
Unakamgegede au mkagegedane? si raha mwapata wote na anaweza pata raha zaidi yako, halafu eti ukaondoka unajisifu umemkomesha kumbe umempa rahaNa kesho nna mpango wa kuazima gari kwa jamaa nikamgegede kabisa!!!
Na kesho nna mpango wa kuazima gari kwa jamaa nikamgegede kabisa!!!
bwana asifiwe!Ndio maana mimi nimeamua kujikalia zangu parokiani na Husninyo wangu tukiwahudumia kondoo...lol!
CC: Himidini Mentor Heaven on Earth !