Nilikuwa nakula sana ndimi za ng'ombe

Nilikuwa nakula sana ndimi za ng'ombe

Nilishakupuuza kitambo, pumba unaandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ni pumba. Wewe kijijini ulimi zote hizo hata usishtukiwe kwa biashara chafu hivyo? Hata ng'ombe wasionyeshe dalili ya kuumwa maana ulimi ni kiumbe cha maumivu sana kikikatwa. Pili, hao wanakijiji wasikuulize kila siku unapata ulimi wapi maana ng'ombe kijijini kuchinjwa kwa wingi mpk upate ulimi zote hizo kuna maswali lazima yawepo. Toa pumba hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ww unatisha sana
Kipindi fulani nikiwa kijijini nilikuwa nimebuni kitoweo ambacho kwa kweli kulikuwa kinanipa sana nyama ila kupatikana kwake haikuwa kazi ndogo.

Nilikuwa nakata ndimi za ng'ombe na kunywa supu bila wenye ng'ombe kujua kama wanyama wao hawana ndimi. Siku moja nikiwa nimekaa wazo likaniijia namna gani naweza kupata vitoweo kwa ajili ya ugali. Niliwaza uvuvi ila kijijini hakukuwa na chanzo chochote cha maji ambacho kinaweza kufanya uvuvi.

Siku moja nikapata wazo na kukata ndimi za ng'ombe na nikafanya majaribio nikaona mafanikio ni makubwa sana. Nilichokuwa nafanya ni kwenda zizini kwa mtu usiku na kumfunga ng'ombe kwa kamba imara ili asinijeruhi (kwa wale ng'ombe wakorofi) nikishamfunga nabana taya zake kwa vidole kisha atatoa ulimi nje, akitoa tu naukata kwa kisu nusu ya ulimi nakuwa nimeikata na kisha nampaka chumvi na dawa moja hivi ya kienyeji ili asioze ulimi.

Basi nilikuwa nafanya hadi kupata ndimi 10 kwa usiku mmoja, ilikuwa ni kazi ya hatari ila nilikuwa napata sana pesa na kitoweo kwa ajili hiyo. Mafanikio yakawa makubwa na sasa nikaamua kuuza supu ya ulimi pale kijijini hakuna mtu alijua kuwa asilimia kadhaa ya ng'ombe wamekatwa ndimi kijijini pale. Basi nikawa napika jioni supu, usiku naenda kutafuta ndimi kwenye mazizi ya ng'ombe.

Ile kazi iliendelea baadae nikaona soko limekuwa baya nikaamua kuacha maana ndimi ziliadimika sana, kuna muda nikawa naenda hadi vijiji jirani kupata hizo ndimi kwa ajili ya biashara na kitoweo.

Vijana ajira ni akili yako sio akili za wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipati picha hao ng'ombe wapo Kama kuku wa nyama(broiler), mana kwa ng'ombe wa kwetu ninavyo wajua sidhani kama ni kweli labda kama ulikuwa unatumia ndumbaru (dawa)
 
Shule zinafunguliwa lini? Watu wanaandika tu mambo ya kipumbavu wakidhani sote tuna akili za kipumbavu kama hizi.

Unaona umeandika jambo la kufurahisha? Umeandika upumbuvuh.hata kama ulikuwa umewahi kukata mmoja huoni kama ni ukatili? Huoni ni ushetani? Huwa unapenda kupata sifa za kijinga kuwa unachekesha.this aint no fun at all.
 
Usitengeneze moyo wako uwe jalala la kubeba kila uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya leo si nzuri mtanesco,wala haichekeshi na kama kweli ulifanya hivo usirudie ,huo ni ukatili dhidi ya wanyama.😪 yani nikukute zizini kwangu tena usiku aisee utanitambua🙆‍♂️
 
Kipindi fulani nikiwa kijijini nilikuwa nimebuni kitoweo ambacho kwa kweli kulikuwa kinanipa sana nyama ila kupatikana kwake haikuwa kazi ndogo.

Nilikuwa nakata ndimi za ng'ombe na kunywa supu bila wenye ng'ombe kujua kama wanyama wao hawana ndimi. Siku moja nikiwa nimekaa wazo likaniijia namna gani naweza kupata vitoweo kwa ajili ya ugali. Niliwaza uvuvi ila kijijini hakukuwa na chanzo chochote cha maji ambacho kinaweza kufanya uvuvi.

Siku moja nikapata wazo na kukata ndimi za ng'ombe na nikafanya majaribio nikaona mafanikio ni makubwa sana. Nilichokuwa nafanya ni kwenda zizini kwa mtu usiku na kumfunga ng'ombe kwa kamba imara ili asinijeruhi (kwa wale ng'ombe wakorofi) nikishamfunga nabana taya zake kwa vidole kisha atatoa ulimi nje, akitoa tu naukata kwa kisu nusu ya ulimi nakuwa nimeikata na kisha nampaka chumvi na dawa moja hivi ya kienyeji ili asioze ulimi.

Basi nilikuwa nafanya hadi kupata ndimi 10 kwa usiku mmoja, ilikuwa ni kazi ya hatari ila nilikuwa napata sana pesa na kitoweo kwa ajili hiyo. Mafanikio yakawa makubwa na sasa nikaamua kuuza supu ya ulimi pale kijijini hakuna mtu alijua kuwa asilimia kadhaa ya ng'ombe wamekatwa ndimi kijijini pale. Basi nikawa napika jioni supu, usiku naenda kutafuta ndimi kwenye mazizi ya ng'ombe.

Ile kazi iliendelea baadae nikaona soko limekuwa baya nikaamua kuacha maana ndimi ziliadimika sana, kuna muda nikawa naenda hadi vijiji jirani kupata hizo ndimi kwa ajili ya biashara na kitoweo.

Vijana ajira ni akili yako sio akili za wanasiasa.
Yaani hata huoni aibu kusimulia mambo ya kipuuzi kama haya. Una uzoefu wa kumwaga damu, wewe hata mtu unaweza ukamuua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ng'ombe ni kiumbe kama viumbe wengine. ulichokua unafanya ni ukatili
 
Back
Top Bottom