Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,617
- Thread starter
- #21
Eti Mbwa mkali.Mimi nimekulia kijijini; Hii story yako ipelekwe jukwa LA mzaha!
KILA MFUGAJI HAKOSI KUWA NA MBWA! MBWA WAKALI,
we pimbi hao MBWA wasikuone hadi unapanua mdomo ng'ombe? Au hao ng'ombe walikupa ulimi kama denda?
ETI HADI NG'OMBE WAKAADIMIKA NDIMI!
Thubutu, labda ng'ombe Wa mabua!
Kwanza kila zizi kuna ng'ombe kichaa!
Shwain pimbi mkubwa weye uache urongo wako!
Hao mbwa wakali walikuwa wana mahusiano gani na hizo ndimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
umenotice