Daktari wa Meno,
Nafikiri wewe ngosha ulikuwa au bado unayo mambo ya kishirikina je umetubu? Fanya hima muda umekwisha.

Ukinionea sawa utakua umeamuanimepata mtu wa kuonea jf😂😂
Yani we unaomba tu samahani!!
Ha ha! Hapa itakuwa sijapata ila nimepatikana! Naomba niongeze na mwendo hizo samahani duh!🏃🏃🏃
Aiseeeee Story yako nzuri inaizidi ya ALFU LELA ULELA MFALME JUHA.Kipindi fulani nikiwa kijijini nilikuwa nimebuni kitoweo ambacho kwa kweli kulikuwa kinanipa sana nyama ila kupatikana kwake haikuwa kazi ndogo.
Nilikuwa nakata ndimi za ng'ombe na kunywa supu bila wenye ng'ombe kujua kama wanyama wao hawana ndimi. Siku moja nikiwa nimekaa wazo likaniijia namna gani naweza kupata vitoweo kwa ajili ya ugali. Niliwaza uvuvi ila kijijini hakukuwa na chanzo chochote cha maji ambacho kinaweza kufanya uvuvi.
Siku moja nikapata wazo na kukata ndimi za ng'ombe na nikafanya majaribio nikaona mafanikio ni makubwa sana. Nilichokuwa nafanya ni kwenda zizini kwa mtu usiku na kumfunga ng'ombe kwa kamba imara ili asinijeruhi (kwa wale ng'ombe wakorofi) nikishamfunga nabana taya zake kwa vidole kisha atatoa ulimi nje, akitoa tu naukata kwa kisu nusu ya ulimi nakuwa nimeikata na kisha nampaka chumvi na dawa moja hivi ya kienyeji ili asioze ulimi.
Basi nilikuwa nafanya hadi kupata ndimi 10 kwa usiku mmoja, ilikuwa ni kazi ya hatari ila nilikuwa napata sana pesa na kitoweo kwa ajili hiyo. Mafanikio yakawa makubwa na sasa nikaamua kuuza supu ya ulimi pale kijijini hakuna mtu alijua kuwa asilimia kadhaa ya ng'ombe wamekatwa ndimi kijijini pale. Basi nikawa napika jioni supu, usiku naenda kutafuta ndimi kwenye mazizi ya ng'ombe.
Ile kazi iliendelea baadae nikaona soko limekuwa baya nikaamua kuacha maana ndimi ziliadimika sana, kuna muda nikawa naenda hadi vijiji jirani kupata hizo ndimi kwa ajili ya biashara na kitoweo.
Vijana ajira ni akili yako sio akili za wanasiasa.
Kwanza hapo kwenye supu ya ulimi mie hoi...hivi ipo supu ya namna hiyo?watu wanakula ulimi?
Ndimi hizo unamaanisha social media...big upKipindi fulani nikiwa kijijini nilikuwa nimebuni kitoweo ambacho kwa kweli kulikuwa kinanipa sana nyama ila kupatikana kwake haikuwa kazi ndogo.
Nilikuwa nakata ndimi za ng'ombe na kunywa supu bila wenye ng'ombe kujua kama wanyama wao hawana ndimi. Siku moja nikiwa nimekaa wazo likaniijia namna gani naweza kupata vitoweo kwa ajili ya ugali. Niliwaza uvuvi ila kijijini hakukuwa na chanzo chochote cha maji ambacho kinaweza kufanya uvuvi.
Siku moja nikapata wazo na kukata ndimi za ng'ombe na nikafanya majaribio nikaona mafanikio ni makubwa sana. Nilichokuwa nafanya ni kwenda zizini kwa mtu usiku na kumfunga ng'ombe kwa kamba imara ili asinijeruhi (kwa wale ng'ombe wakorofi) nikishamfunga nabana taya zake kwa vidole kisha atatoa ulimi nje, akitoa tu naukata kwa kisu nusu ya ulimi nakuwa nimeikata na kisha nampaka chumvi na dawa moja hivi ya kienyeji ili asioze ulimi.
Basi nilikuwa nafanya hadi kupata ndimi 10 kwa usiku mmoja, ilikuwa ni kazi ya hatari ila nilikuwa napata sana pesa na kitoweo kwa ajili hiyo. Mafanikio yakawa makubwa na sasa nikaamua kuuza supu ya ulimi pale kijijini hakuna mtu alijua kuwa asilimia kadhaa ya ng'ombe wamekatwa ndimi kijijini pale. Basi nikawa napika jioni supu, usiku naenda kutafuta ndimi kwenye mazizi ya ng'ombe.
Ile kazi iliendelea baadae nikaona soko limekuwa baya nikaamua kuacha maana ndimi ziliadimika sana, kuna muda nikawa naenda hadi vijiji jirani kupata hizo ndimi kwa ajili ya biashara na kitoweo.
Vijana ajira ni akili yako sio akili za wanasiasa.
Ujumbe hupo msatri wa mwisho.Mkuu kwa hapa umefeli unakata ulimi wa viumbe ulikuwa unawapa mateso makubwa sana ungegundulika nnchi zilizo endelea ungekuwa na mashtaka mawili la wizi na ungeshitakiwa na watetezi wa haki za wanyama kukata ulimi unawaacha na mateso hao hao Ng'ombe.
Na assume tungekukata wewe ulimi hayo maumivu vipi na isitoshe ungekuwa unakulaje?
Hii story ya leo umefeli, ila unajitaidi kutunga leta zingine tuta support unajitaidi ila kwa hii ya leo hapana
Kipindi fulani nikiwa kijijini nilikuwa nimebuni kitoweo ambacho kwa kweli kulikuwa kinanipa sana nyama ila kupatikana kwake haikuwa kazi ndogo.
Nilikuwa nakata ndimi za ng'ombe na kunywa supu bila wenye ng'ombe kujua kama wanyama wao hawana ndimi. Siku moja nikiwa nimekaa wazo likaniijia namna gani naweza kupata vitoweo kwa ajili ya ugali. Niliwaza uvuvi ila kijijini hakukuwa na chanzo chochote cha maji ambacho kinaweza kufanya uvuvi.
Siku moja nikapata wazo na kukata ndimi za ng'ombe na nikafanya majaribio nikaona mafanikio ni makubwa sana. Nilichokuwa nafanya ni kwenda zizini kwa mtu usiku na kumfunga ng'ombe kwa kamba imara ili asinijeruhi (kwa wale ng'ombe wakorofi) nikishamfunga nabana taya zake kwa vidole kisha atatoa ulimi nje, akitoa tu naukata kwa kisu nusu ya ulimi nakuwa nimeikata na kisha nampaka chumvi na dawa moja hivi ya kienyeji ili asioze ulimi.
Basi nilikuwa nafanya hadi kupata ndimi 10 kwa usiku mmoja, ilikuwa ni kazi ya hatari ila nilikuwa napata sana pesa na kitoweo kwa ajili hiyo. Mafanikio yakawa makubwa na sasa nikaamua kuuza supu ya ulimi pale kijijini hakuna mtu alijua kuwa asilimia kadhaa ya ng'ombe wamekatwa ndimi kijijini pale. Basi nikawa napika jioni supu, usiku naenda kutafuta ndimi kwenye mazizi ya ng'ombe.
Ile kazi iliendelea baadae nikaona soko limekuwa baya nikaamua kuacha maana ndimi ziliadimika sana, kuna muda nikawa naenda hadi vijiji jirani kupata hizo ndimi kwa ajili ya biashara na kitoweo.
Vijana ajira ni akili yako sio akili za wanasiasa.
Usiogope haujanikwaza hata tone tatizo umeogopa it's just a joke hakuna u serious pale..Ukinionea sawa utakua umeamua
Sipendi kukwaza mtu ndo maana cha kwanza hua natanguliza samahani
kamata mizii menKipindi fulani nikiwa kijijini nilikuwa nimebuni kitoweo ambacho kwa kweli kulikuwa kinanipa sana nyama ila kupatikana kwake haikuwa kazi ndogo.
Nilikuwa nakata ndimi za ng'ombe na kunywa supu bila wenye ng'ombe kujua kama wanyama wao hawana ndimi. Siku moja nikiwa nimekaa wazo likaniijia namna gani naweza kupata vitoweo kwa ajili ya ugali. Niliwaza uvuvi ila kijijini hakukuwa na chanzo chochote cha maji ambacho kinaweza kufanya uvuvi.
Siku moja nikapata wazo na kukata ndimi za ng'ombe na nikafanya majaribio nikaona mafanikio ni makubwa sana. Nilichokuwa nafanya ni kwenda zizini kwa mtu usiku na kumfunga ng'ombe kwa kamba imara ili asinijeruhi (kwa wale ng'ombe wakorofi) nikishamfunga nabana taya zake kwa vidole kisha atatoa ulimi nje, akitoa tu naukata kwa kisu nusu ya ulimi nakuwa nimeikata na kisha nampaka chumvi na dawa moja hivi ya kienyeji ili asioze ulimi.
Basi nilikuwa nafanya hadi kupata ndimi 10 kwa usiku mmoja, ilikuwa ni kazi ya hatari ila nilikuwa napata sana pesa na kitoweo kwa ajili hiyo. Mafanikio yakawa makubwa na sasa nikaamua kuuza supu ya ulimi pale kijijini hakuna mtu alijua kuwa asilimia kadhaa ya ng'ombe wamekatwa ndimi kijijini pale. Basi nikawa napika jioni supu, usiku naenda kutafuta ndimi kwenye mazizi ya ng'ombe.
Ile kazi iliendelea baadae nikaona soko limekuwa baya nikaamua kuacha maana ndimi ziliadimika sana, kuna muda nikawa naenda hadi vijiji jirani kupata hizo ndimi kwa ajili ya biashara na kitoweo.
Vijana ajira ni akili yako sio akili za wanasiasa.
dahhh, nimecheka sanaMimi nimekulia kijijini; Hii story yako ipelekwe jukwa LA mzaha!
KILA MFUGAJI HAKOSI KUWA NA MBWA! MBWA WAKALI,
we pimbi hao MBWA wasikuone hadi unapanua mdomo ng'ombe? Au hao ng'ombe walikupa ulimi kama denda?
ETI HADI NG'OMBE WAKAADIMIKA NDIMI!
Thubutu, labda ng'ombe Wa mabua!
Kwanza kila zizi kuna ng'ombe kichaa!
Shwain pimbi mkubwa weye uache urongo wako!

.Yes kinakufanya uwe jambazi tu kama majambaz wengineUsiogope haujanikwaza hata tone tatizo umeogopa it's just a joke hakuna u serious pale..
Ila ahsante kwa kukubali nikuonee😂
Nnavyopenda sifa nyuma ya key body mpaka utaomba pooo..😜
So watakanambia kale ka komenti ndo kananifanya mi nisiwe intro..?? Unanionea bure!
🙄🙄Yes kinakufanya uwe jambazi tu kama majambaz wengine