Nilikuwa na wazo la kutengeneza smartphone

Nilikuwa na wazo la kutengeneza smartphone

jamani samahani kama ntawakwaza, ila mi nafikiri wasomi lazima wakati mwingine tuwe na mawazo constructive, elimu yetu itumike kwa kiwango ambacho kitaweza kuendeleza umma, hiv ukitengeneza simu ulishafikiria future profitble itakuwa kwa kiasi kipi..

au labda utasaidia watanzania kununua simu kwa bei ya chini
au labda watanzania watanufaika vipi na ajira kama utaenda china kufanya investment kama ulivyoshauriwa
au labda unfikiri mtaweza kukubalika kwa ubora upi wa product zenu..

najua ni mwanzo wenu ila jaribuni kufikiria mbele sana ...

mi ningeshauri mawazo yenu mazuri kama hayo jaribuni kuyaminimize at country level
ili yafanye super change..ninavyowaona mmekuwa too challenged .. jaribuni kuwa wabunifu
wa kifikra kwa kuumiza kichwa juu ya maswala ya kwenu kwanza .

mbona tanzania tuna matizo mengi sana .
sina uhakika kama simu ni tatizo kwa watanzania walio wengi wengi.
Au mwazo yenu ni kupenda kuona pesa ikiwa mkononi mwako na si kwa wengine

sio mbaya kama mkiunda jopo kama hilo kwenda kumshauri Magufuli jinsi gani ataweza kufanya management ya kujenga vitu kama fliyingover roads , kigamboni seacross brigde, mi nafikiri mtakuwa mmejinufaisha wenyewe pamoja na jamii.

asanteni ,​

sasa mtu kasome Telecom,electrical engineering etc kweli unafikiri hapo kwenye kujenga madaraja na hizo flyovers atasaidia kitu gani kweli
Wazo lako linachekesha kweli I see inaonesha Kweli umeichoka folleni ya Dar mpaka unawaza tu hizo flyovers
Hiyo kazi washakula watu wenye kujua kula national cake...dili limeuzwa kwa makaburu tayri sijui hawa watelecom na software wataenda kusaidia nn pale

Yaani ulichokisema ni Orijino Comedi subsegment ya La Proffeseri

Unamwambia mtu wa DAWASCO akakufanyie wiring kwenye nyumba yako teh teh teh!
 
hongera! waanze na visimu vya kawaida,kwa ile principle ya ""phone works as radio receiver & transimitter""then waendelee kuadvance kidogo kidogo
 
Habari zenu wakuu,

Nimepata hilo wazo, nakusanya vijana walosoma electric engineering, designing, telecom.

Tunakaa kama team tunadesign na kutengeneza simu.

Naombeni mawazo yenu wakuu kama hii idea itafanya kazi hapa Tanzania.

Asanteni

lengo lako la kutengeneza simu ni lipi? commercial ama? kama ni for commercial itakuchukua miaka mingi mno. sawa mtadesign na blabla zingine...
ila cost of production utaweza kutengeneza simu ngapi ili kurudisha gharama zako na labda upate faida?

utaweza kushindana na soko lililopo?
 
sasa mtu kasome Telecom,electrical engineering etc kweli unafikiri hapo kwenye kujenga madaraja na hizo flyovers atasaidia kitu gani kweli
Wazo lako linachekesha kweli I see inaonesha Kweli umeichoka folleni ya Dar mpaka unawaza tu hizo flyovers
Hiyo kazi washakula watu wenye kujua kula national cake...dili limeuzwa kwa makaburu tayri sijui hawa watelecom na software wataenda kusaidia nn pale

Yaani ulichokisema ni Orijino Comedi subsegment ya La Proffeseri

Unamwambia mtu wa DAWASCO akakufanyie wiring kwenye nyumba yako teh teh teh!

uzuri wa engineers ni kuwa wanakuwa universal kutokana na masoma wanayosoma mengi yanaingiliana ,niliona watu wa computer engineer wakileta project ya wiring system ,halafu it was best ever... ni part ya mambo wanayosoma na ndo uzuri wa engineers yani wako fiti mpaka kwenye maswala ya bussness ila nchi yetu iko nyuma kwenye kuwajali ndio maana walio wengi wanapotelea kwenye makampuni ya nje na kupotea kwenye sura ya taifa lao..

sijasema waunde jopo iloilo, ila nimesema waunde jopo kama ilo...
 
Penye nia pana njia, mi nachoamini upo serious na hili jambo, uwezo unao basi tafta kikundi cha wenzako wenye weredi sawa na wako, kuanza kutengeneza smartphone ni lengo kubwa na la muda mrefu, hivyo waweza anza ni vitu vidogo vidogo kama Apps, na parts za hardware za smartphone huku mkiendelee kufanya research na development, mwisho wa siku mnaweza fikia lengo kubwa, usikate tamaa, simamia unachokiamini set strategies za kufikia lengo kuu
 
start small. Tengenezeni GSM Mobile Kwanza (Call, SMS, Phonebook et al).
Kwa smartphone nawashauri m design outlook na features kisha muagize hardware abroad (hatuna kiwanda hapa, too bad). Kisha kama kuna wataalam wa cover wawatengenezee na mfanye branding.

Sio project ndogo ila inawezekana.

Onyo: Hakikisha una issue nyingine ya kukuingizia hela ya kuishi!
 
hongera! waanze na visimu vya kawaida,kwa ile principle ya ""phone works as radio receiver & transimitter""then waendelee kuadvance kidogo kidogo

Muda hauko upande wao, yaani waanze kudeal na teknolojia ya zamani badala ya teknolojia ya sasa.
 
Jiandaeni kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kutengeneza vitu hatari vya kunasa mawasiliano ya government bila kibali cha TCRA. Kuna kijana mmoja aliwahi kuvumbua bastola badala ya kuchukuliwa na serikali na kusaidiwa awe mwanasayansi mkubwa ili na sisi siku moja tuuze silaha kama URUSI aliishia kufunguliwa mashtaka ya kumiliki silaha kinyume na taratibu.
 
Hapana hajavumbua bastola ameclone tu. Tusipeane sifa zisizostahiki
 
Hapana hajavumbua bastola ameclone tu. Tusipeane sifa zisizostahiki
Mkuu nimetoa angalizo tu, avumbue ama atengeneze hicho bado ni kipaji. Kwani kuna mtanzania gani mpaka sasa anaweza hata kutengezeza pikipiki brand yake mwenyewe zaidi ya kufanya matengenezo tu halafu kila mwaka Vyuo vikuu vyetu vina vinatamba kuongeza udahili wa wanafunzi wa Uzamivu katika UHANDISI.
 
Inawezekana, ila mchungunguze n vtu gan vinakosekana kwenye sm zilizopo na kuboresha, na jinsi ya kupata vifaa rahs vya kutengeneza sim, kupata ushaur wa wataalamu wa sm na kuandaa mazingira ya wateja/ wanunuzi
 
Habari zenu wakuu,

Nimepata hilo wazo, nakusanya vijana walosoma electric engineering, designing, telecom.

Tunakaa kama team tunadesign na kutengeneza simu.

Naombeni mawazo yenu wakuu kama hii idea itafanya kazi hapa Tanzania.

Asanteni

Idea itafanya kazi kama kawa. Suala ni kwamba muweke focus kwenye MALENGO (final product) mnayotaka kufikia mwisho wa siku. Hakuna kinachoshindikana kama kuna nia ya dhati.
 
It always seems impossible until it's done
 
Kuanzisha kutengeneza smartphone hauhitaji hayo mapesa ya chief, ingekuwa Ni hivyo kusingekuwa na viwanda vinavyoanza sasaivi, hizo parts Kuna kampuni zinatengeneza ninyi mnaweza kuwa mnanunua kutokana na design yenu, sema cha muhimu uje na kitu flan special ambacho kinakutofautisha. Jambo la msingi jua kila kitu huanza kidogo na baadae hukua hata hzo kampun kubwa hazikuanza zikiwa kubwa.
Bakhesa mwenyewe alianza kidogo look where is he today

http://en.m.wikipedia.org/wiki/Said_Salim_Bakhresa
Sent from my Nokia Lumia
 
Back
Top Bottom