jamani samahani kama ntawakwaza, ila mi nafikiri wasomi lazima wakati mwingine tuwe na mawazo constructive, elimu yetu itumike kwa kiwango ambacho kitaweza kuendeleza umma, hiv ukitengeneza simu ulishafikiria future profitble itakuwa kwa kiasi kipi..
au labda utasaidia watanzania kununua simu kwa bei ya chini
au labda watanzania watanufaika vipi na ajira kama utaenda china kufanya investment kama ulivyoshauriwa
au labda unfikiri mtaweza kukubalika kwa ubora upi wa product zenu..
najua ni mwanzo wenu ila jaribuni kufikiria mbele sana ...
mi ningeshauri mawazo yenu mazuri kama hayo jaribuni kuyaminimize at country level
ili yafanye super change..ninavyowaona mmekuwa
too challenged .. jaribuni kuwa wabunifu
wa kifikra kwa kuumiza kichwa juu ya maswala ya kwenu kwanza .
mbona tanzania tuna matizo mengi sana .
sina uhakika kama simu ni tatizo kwa watanzania walio wengi wengi.
Au mwazo yenu ni kupenda kuona pesa ikiwa mkononi mwako na si kwa wengine
sio mbaya kama mkiunda jopo kama hilo kwenda kumshauri Magufuli jinsi gani ataweza kufanya management ya kujenga vitu kama
fliyingover roads ,
kigamboni seacross brigde, mi nafikiri mtakuwa mmejinufaisha wenyewe pamoja na jamii.
asanteni ,