Nilikufa halafu badaye nikafufuka...

Umeongopa uliposema ukatka tarme mjin asbuh ukafka sa 1 bado ukalla Kijiji jiran m nakumbka mwaka 2007 ninewah kutembea toka tarime mjini adi nyamongo niktoka sa 4 asbuh kufka sa 10 nikawa nimefika Tena hapo nilkua napmzka njian istoshe nilptia barabara kuu ckupta chocho
 
Yaani ulikufa lakini bado ulikua unajua yanayoendelea Duniani sio?
 
Hatua za mtoto na mtu mzina tofauti,,kuna sehemu nikiwa mdogo tulikua tunaenda kucheza,,nikipaona mbali pengine mita 500,.
Baada ya miaka kibao nimerudi hicho kijiji,,hiyo nyumba ipo bado,,lakini kumbe kutoka kwa bibi hadi hapo ni chini ya mita 70 tu.
 
Mkuu... Nmeisoma hii na nmeipenda maana kuna jambo nimejifunza
 
Upelekwe mirembe wewe Kama huna Cha kupost soma tuu walizo post wenzako mauza uza story ndefu Haina mantiki yeyo umejitungia tuu kwani ufufuke we YESU humu kila mtu na story yake ya maisha anayo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…