moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,928
Soma uzi wake.. Ndo utajua kwa nn asirudi.
Soma uzi wake.. Ndo utajua kwa nn asirudi.
Soma uzi wake.. Ndo utajua kwa nn asirudi.


mwache arudi bwana hata kama ni chai, cha muhimu tuondoe stressDaaaahNitamalizia kesho na sehemu yenye makosa nitaipanga vzr kesho
Angalau thread yako ilete maana kidogo. .Nimegundua watu wa humu ndio wanaofanya wanaoanzisha thread wasimalizie story zao,hata kama anatunga si uzi ni wake,inafika kipindi thread inajaa page tatu au nne ukija kuangalia zote ni vijembe na kejeli kwa muanzisha thread
Hamna jombaa,tatizo jf siku hizi ujuaji umezidi sana,watu wanavimba sana wakiwa humu😃😃😃Angalau thread yako ilete maana kidogo. .
Isiwe ya kusadikika sana
Sawa BwasheeMan gunguka, ila nimesema hapo kuwa mimi siyo mtaalam wa kupangilia. Kwahyo hyo n stori ya kweli but mpangilio tu
Wala usirudi.
Usisahau kuni-tag mkuuNitamalizia kesho na sehemu yenye makosa nitaipanga vzr kesho
Jaribu siku moja kutembea kutoka pale kilipo kituo cha basi Gachuma, mpaka daraja la mto Mara kisha uje na masahihisho ya kauli yako kwamba hata akitembea kwa miguu. Au hata kutoka kwa gachuma mpaka kimusi ndani huko au muriba.Wewe ni muongo, kwa Tarime hakuna sehemu unaweza panda gari saa ukafika saa 1 hata ukitembea kwa mguu huwezi tumia muda huo.
Story ya kutunga.