Nilikosea au nlikuwa sahihi?

Nilikosea au nlikuwa sahihi?

Huyo Mama yako mdogo ana kichaa, sijaona kosa ulilolifanya. Nachoshangaa ni mama yako mdogo kukukasirikia kutokana na makosa ya mumewe ambae ni dhahiri hampendi kabisa lakini bado anawaste feelings zake kwa kukuchukia wakati alipaswa kushukuru kwa kumuumbua.
 
Nnachokiamini ni wivu tu unaomsumbua mamaako na hajiamini.Stress zitakuwa zinachangia kumfanya akuwazie negatively.Chakufanya kuwa karibu nae na mpe support ya kila namna kwa kumfanya rafiki nadhani hapo ataanza kukuelewa kwakuwa mtakuwa mnashare experience za maisha
 
Okay,nashukuru kwa ushauri wako.
 
Sio kwamba kila anaenitongoza nasema lahasha but hapa ilinibidi niseme baada ya huyu bamdogo kuanza hadi kunifuata nyumbani na kuwatuma watoto waje waniite na haambilik yani sio mwelewa kabisa.

kwahiyo Huyo baba yako mdogo hafahamiki kwenu? Na hao watoto anaowatuma ni wa kwenu ama jirani? Nitarudi kwa Maswali Zaidi
 
muache akasirike atachoka mwenyewe atarudi kma kawa bora ukivyosema dumuzi mkubwa ba mdogo
 
kutongozwa unasema kwa bibi,utamaduni wa Muafrika wa jando na unyago bado unanafasi kubwa sna kwa vijana wa Leo!
 
Illuminata mpe tu kashakula kuku anataka na yai lake,
 
kwanza ulikuwa sahihi, pili acha/ punguza safari za kwenda kwa bibi ambapo unamkuta mamdogo, kifupi jiweke mbali na macho ya mamdogo, kitendo cha kwenda mara kwa mara inaashiria kama unaenda kumuonyeshea kumbe sivyo
 
Owk bro thanks kwa ushauri wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom