Nilikosa kazi ya Uhasibu serikalini kisa Dr.W. P. Slaa

Pole sana but it is a learning situation, next time ukiulizwa your role mode especially katika interview make sure unatoa mfano WA Mtu ambaye Yuko katika field either yako au unayo ombea kazi but my experience tellS me to mention my that my role model is my self/yourself
 
Huyu mtoa mada OKW inawezekana story anayopiga ni fix,na nia yake ya kuadithia ni kucheza na saikolojia ya akili za watu,kubadili akili za watu especially wafanyakazi wa umma wawe waoga kushiriki katika mambo ya upinzani manake watafukuzwa au kukosa kazi hongera umejitahidi.
 
Katika hali ya kusikitika sana mwanzoni mwa mwaka huu nilipata na mkasa huu kama changamoto ktk profession yangu. Nikiwa mbele ya jopo la usaili(serikalini) la watu 6, huku wakipitia CV, pamoja na vyeti vya ''ukweli'' walipenda kujua ''who is my role model''. Kwa haraka nikataja watu wa3 ie Nyerere, Mandela na Dr.Slaa, lakini nikawaomba nijikite zaidi kwa Dr. Slaa kwa sababu namshuhudia tofauti na Nyerere ambaye nimeishia kumsoma tu kwenye vitabu maana 1999 wakati ndo kwanza nilikuwa la 4. Nilimchambua mzee huyu ''Dr.Slaa'' vizuri hasa ktk nyanja ya uongozi imara kwa kuwapa vijana nafasi na hamasa kubwa ktk ushiriki wa kujenga taifa lao pamoja na kuleta mageuzi ya sector zote.

Wana jopo walishtuka, na mmoja aliniambia wazi kuwa pamoja G.P.A 4.2, material niliyo-deliver mbele yao, wanasikitika kusema kuwa ''JINA LA DR.SLAA LIMEHARIBU KILA KITU'', hivyo nisitegemee simu. Niliwashukuru na kuwaomba watambue mchango wa Dr. Slaa hata bila ya uwepo wangu ktk ofisi yao

Pole kama ni kweli.

Kama unaamini wewe ni kichwa na unajua uhasibu naomba mpelekee Max Melo CV yako. Naye atajua wapi pa kuipeleka nawe utaitwa kwenye usahili na utapata kazi.
 
NASITA KUAMINI KAMA HABARI HII Ni YA KWELI KABISA..
ila hakuna ubaya wa kuwa mkweli na kusimamia kile unachoamini.

Kama huyajui yanayotendeka kwenye wizara na idara za serikali ndio utayashangaa anayoyasema mtoa maada. Kuna watu wananyimwa kazi kwa kutokuwa na University Certificate wakati wame-submit Academic Transcript; kuna watu wamenyimwa kazi eti kwa kuwa hawana vyeti vya darasa la saba (wakati job requirement ni Masters) n.k.

Ndio maana mimi sifanyi na wala sina mpango wa kufanya kazi serikalini (especially serikali hii dhaifu).
 
Katika hali ya kusikitika sana mwanzoni mwa mwaka huu nilipata na mkasa huu kama changamoto ktk profession yangu. Nikiwa mbele ya jopo la usaili(serikalini) la watu 6, huku wakipitia CV, pamoja na vyeti vya ''ukweli'' walipenda kujua ''who is my role model''. Kwa haraka nikataja watu wa3 ie Nyerere, Mandela na Dr.Slaa, lakini nikawaomba nijikite zaidi kwa Dr. Slaa kwa sababu namshuhudia tofauti na Nyerere ambaye nimeishia kumsoma tu kwenye vitabu maana 1999 wakati ndo kwanza nilikuwa la 4. Nilimchambua mzee huyu ''Dr.Slaa'' vizuri hasa ktk nyanja ya uongozi imara kwa kuwapa vijana nafasi na hamasa kubwa ktk ushiriki wa kujenga taifa lao pamoja na kuleta mageuzi ya sector zote.

Wana jopo walishtuka, na mmoja aliniambia wazi kuwa pamoja G.P.A 4.2, material niliyo-deliver mbele yao, wanasikitika kusema kuwa ''JINA LA DR.SLAA LIMEHARIBU KILA KITU'', hivyo nisitegemee simu. Niliwashukuru na kuwaomba watambue mchango wa Dr. Slaa hata bila ya uwepo wangu ktk ofisi yao
Hukukosea, kwani hata Martin Luther King alidharauriwa na kuonekana kituko, lakini leo kila mtu ana fahari kufanya reference ya yale aliyoyapigania, watanzania ni wajinga na mbumbu hawamuelewi Dr wajukuu ndiyo wataka kuja kumuelewa na watayachapa makabuli ya babu zao kwa kushindwa kumuelewa Dr na kuchkua hatua ya mabadiliko.
 
Hata ningekuwa mimi nisingekupa kazi, wewe mtu gani huna role model wa fani yako?

Ni sawa na interview ya medical doctor unasema role model Michael Jackson
 
Katika hali ya kusikitika sana mwanzoni mwa mwaka huu nilipata na mkasa huu kama changamoto ktk profession yangu. Nikiwa mbele ya jopo la usaili(serikalini) la watu 6, huku wakipitia CV, pamoja na vyeti vya ''ukweli'' walipenda kujua ''who is my role model''. Kwa haraka nikataja watu wa3 ie Nyerere, Mandela na Dr.Slaa, lakini nikawaomba nijikite zaidi kwa Dr. Slaa kwa sababu namshuhudia tofauti na Nyerere ambaye nimeishia kumsoma tu kwenye vitabu maana 1999 wakati ndo kwanza nilikuwa la 4. Nilimchambua mzee huyu ''Dr.Slaa'' vizuri hasa ktk nyanja ya uongozi imara kwa kuwapa vijana nafasi na hamasa kubwa ktk ushiriki wa kujenga taifa lao pamoja na kuleta mageuzi ya sector zote.

Wana jopo walishtuka, na mmoja aliniambia wazi kuwa pamoja G.P.A 4.2, material niliyo-deliver mbele yao, wanasikitika kusema kuwa ''JINA LA DR.SLAA LIMEHARIBU KILA KITU'', hivyo nisitegemee simu. Niliwashukuru na kuwaomba watambue mchango wa Dr. Slaa hata bila ya uwepo wangu ktk ofisi yao

Safi ndugu..hata kama wewe ndie mhitaji wa kazi bado una haki ya kuona uonalo na si waonalao wengine.Hata mimi nina scenarios za kishenzi ktk Interviews.Ilifika mahalai nikawa najiamini na interview nikawa nasema ninaloona ni shaihi.Huu ujinga wa wanaosahiliwa na wanao sahili kufuata mawazo ya wajinga wataoao ajira.

Nashukuru kuwa tupo wengi tunaofanya interview bila hofu za kijinga,kwani wanachotaka wao ni utendaji madhubuti + vitu vipya ambavyo vinakutofautisha na wengine sasa kwa nini wakulimiti kwenye fikra zao za kupewa na recruitment agents?

Siku zaja kwenye ajira watafuta kazi nao watakuwa na edge kutokana na value yao.Na hakuna tena hofu za kijinga wapewazo watu kuwa linapokuja swali la kiasi cha mshahara basi sijui wajibu nini.Mimi huwa nawapa live wakishindwa nawapa live vilevile kwamba kama hawawezi afford si lazima sana.Luckily nikawa napata kazi zaidi ya kuwa appease.Hadi nikaachana na kazi za kuajiriwa.Tunatofautiana kwa level za disperations.
 
Sikuona kama ni tatizo kwa kuwa nilimchambua ktk nyanja ya Uongozi zaidi, hata mwasibu lazima awe kiongozi......hata kama ningesema Utoh bado ningekuwa pale pale kwenye uongozi, Utoh huwa harambi voucher anaongoza

Wala hakuna Tatizo, mbona Bolt alikuwa na role model mpira wa miguu na wengine wengi.Isuue ni kwamba kuna mambo mengi hayana fani..vitu kama kuafanya kitu with passion, kufanya kazi kwa bidii na busara kubwa haina proffession wala chochote.
 
sasa wewe nawe, si ungesema Utoh, uhasibu na siasa wapi na wapi?
Vijana wa leo wanakosa kazi kutokana na kusoma sana lakini kutoelimika.

Nani atamuajiri mnazi wa Dr Slaa ndani ya serikali ya CCM?
Dr Slaa si mtendaji, si mkaguzi si mfanyakazi mahali popote, rele model wako akiwa politician basi kijana atakuwa atatafuta kazi kila baada ya miaka mitano.
 
sasa wewe nawe, si ungesema Utoh, uhasibu na siasa wapi na wapi?

Kweli mkuu hasa kwa kuruhusu mjadala wa Report za ukaguzi na kuwa public good wakati ilikuwa ni top secret. Jueni kuwa kwa kazi za taasisi za serikali, seniors wote ni Pro SSM!!!!! Angesifia tu SSM na utendaji wake hasa utekelezaji wa ilani ya chama angepata 100%. Ila pia suala kama hilo unalenga kwa kitu kinachohusiana na kazi unayofanya!! Itaonesha kuwa utapenda kujifunza kwa role model related to your proffesion na si kwa KOVA wakati wewe si unataka cheo cha viwanda vya uongo!!
 
Kwa nini usiende Makao ya Makuu ya Chadema wangekupa kazi.
 
Sikuona kama ni tatizo kwa kuwa nilimchambua ktk nyanja ya Uongozi zaidi, hata mwasibu lazima awe kiongozi......hata kama ningesema Utoh bado ningekuwa pale pale kwenye uongozi, Utoh huwa harambi voucher anaongoza

Wewe mkereketwa wa cdm ulienda kuomba kazi pale ccm Lumumba, umeipata stahiki yako
 
Katika hali ya kusikitika sana mwanzoni mwa mwaka huu nilipata na mkasa huu kama changamoto ktk profession yangu. Nikiwa mbele ya jopo la usaili(serikalini) la watu 6, huku wakipitia CV, pamoja na vyeti vya ''ukweli'' walipenda kujua ''who is my role model''. Kwa haraka nikataja watu wa3 ie Nyerere, Mandela na Dr.Slaa, lakini nikawaomba nijikite zaidi kwa Dr. Slaa kwa sababu namshuhudia tofauti na Nyerere ambaye nimeishia kumsoma tu kwenye vitabu maana 1999 wakati ndo kwanza nilikuwa la 4. Nilimchambua mzee huyu ''Dr.Slaa'' vizuri hasa ktk nyanja ya uongozi imara kwa kuwapa vijana nafasi na hamasa kubwa ktk ushiriki wa kujenga taifa lao pamoja na kuleta mageuzi ya sector zote.

Wana jopo walishtuka, na mmoja aliniambia wazi kuwa pamoja G.P.A 4.2, material niliyo-deliver mbele yao, wanasikitika kusema kuwa ''JINA LA DR.SLAA LIMEHARIBU KILA KITU'', hivyo nisitegemee simu. Niliwashukuru na kuwaomba watambue mchango wa Dr. Slaa hata bila ya uwepo wangu ktk ofisi yao

Mwaka 1999 uko darasa la nne? Hivyo mwaka 2002 ndio ulimaliza darasa la saba. Kikawaida uliingia kwenye mkumbo wa miaka 7 darasa la kwanza so mwaka 2002 ulimaliza darasa la 7 ukiwa na miaka 13 ukizidi sana 14. Hapo ulipo bila shaka una miaka 23 - 24.
Dah, mkuu una bahati sana kumaliza chuo ukiwa na umri mdogo na GPA nzuri.
Kweli humu jukwaani wato wapo tofauti sana.
 
Katika hali ya kusikitika sana mwanzoni mwa mwaka huu nilipata na mkasa huu kama changamoto ktk profession yangu. Nikiwa mbele ya jopo la usaili(serikalini) la watu 6, huku wakipitia CV, pamoja na vyeti vya ''ukweli'' walipenda kujua ''who is my role model''. Kwa haraka nikataja watu wa3 ie Nyerere, Mandela na Dr.Slaa, lakini nikawaomba nijikite zaidi kwa Dr. Slaa kwa sababu namshuhudia tofauti na Nyerere ambaye nimeishia kumsoma tu kwenye vitabu maana 1999 wakati ndo kwanza nilikuwa la 4. Nilimchambua mzee huyu ''Dr.Slaa'' vizuri hasa ktk nyanja ya uongozi imara kwa kuwapa vijana nafasi na hamasa kubwa ktk ushiriki wa kujenga taifa lao pamoja na kuleta mageuzi ya sector zote.

Wana jopo walishtuka, na mmoja aliniambia wazi kuwa pamoja G.P.A 4.2, material niliyo-deliver mbele yao, wanasikitika kusema kuwa ''JINA LA DR.SLAA LIMEHARIBU KILA KITU'', hivyo nisitegemee simu. Niliwashukuru na kuwaomba watambue mchango wa Dr. Slaa hata bila ya uwepo wangu ktk ofisi yao

Majina yako feki, hilo la Boban limekuponza maana wana hofu utapuliza wakati wa kazi. Pia, uliowataja siyo wahasibu hivyo wakajua ubongo wako umetikisika kidogo.
 
Back
Top Bottom