Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,663
- 102,352
Samehe.Katika hayo jitahidi usifanye mazoea na "demu" anayeishi "getho".Unaelewa sijui?Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.
Kiwango cha pesa sitokitaja π, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.
Nifanyeje?
maswali gani tena haya πDemu hakopeshwi. Oya huyo kahamia wapi?
hela ya kwenda hii, kwa sisi majobless afu nisameheπSamehe.Katika hayo jitahidi usifanye mazoea na "demu" anayeishi "getho".Unaelewa sijui?
Ndiyo matatizo ya kutohudhuria vikao. Kwa taarifa tu ni kwamba mwanamke hakopeshwiMwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.
Kiwango cha pesa sitokitaja π, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.
Nifanyeje?
machungu hayatopungua kwa mbususuKama ni mwezi wa 3 bado mapema sana kumhukumu kwamba anataka kukupa mbususu. ACHA MAWAZO POTOFU. Hata angekuwa mwanaume kwa huo muda ingewezakana bado hajalipa. Ila kama ulishawahi kumuomba mzigo nakushauri uendelee kuomba tu mzigo upunguze machungu kwasababu hautalipwa. Kuwa makini siku nyingine kwenye hela upande wa wanawake.
usiogope ππmaswali gani tena haya π
sio makazi rasmi, sisi ni wanachuo si unajua tena....usiogope ππ
Sasa wewe mdaidai upewe kesi umemshika zegembe hadharani.hela ya kwenda hii, kwa sisi majobless afu nisameheπ
Kumbe demu mwanachuo imeisha hiyo π π π πsio makazi rasmi, sisi ni wanachuo si unajua tena....
sio rahisi kaa unavofikiri bro....Kumbe demu mwanachuo imeisha hiyo π π π π
ntakua shoga nikifanya hivoUwe kama umempa tu
Sasa huyo si mpaka boom litokesio rahisi kaa unavofikiri bro....
Kama urafiki wenu ni wa kawaida basi endelea kumdai kama ambavyo ungemdai mtu mwingine.machungu hayatopungua kwa mbususu
Sababu chances za kukulipa ni asilimia ndogo sanantakua shoga nikifanya hivo
diploma....mbona unachimba sana?? πSasa huyo si mpaka boom litoke
Kwa kifupi hiyo demu hataweza kukulipa usipokula mzigo kungali mapema asipokulipa utajilaumu kwa nini hata haukuchakata mbususu yakediploma....mbona unachimba sana?? π
vitu vingine unajua ni rahisi kutype hapa jf ila real life ni ngum.....sasa imagine naanza kuchakataje mbususu π wakati tuna urafiki wa karibia miaka 2 saivi. Eti nianze kumpanga 'kama hunilipi, nakut*mba'π unaona ni rahisirahisi tu......Kwa kifupi hiyo demu hataweza kukulipa usipokula mzigo kungali mapema asipokulipa utajilaumu kwa nini hata haukuchakata mbususu yake
Yeye mwenzako tayari kashawaza hivyo wewe ni kugusia kidogo. Na hauwezi kumfuata direct kwamba lile deni tumalizane kwenye mbususu. Tengeneza mazingira najua wewe kidume huwezi shindwavitu vingine unajua ni rahisi kutype hapa jf ila real life ni ngum.....sasa imagine naanza kuchakataje mbususu π wakati tuna urafiki wa karibia miaka 2 saivi. Eti nianze kumpanga 'kama hunilipi, nakut*mba'π unaona ni rahisirahisi tu......