BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,231
hii inaweza kuwa kweli
kuna mtu wangu wa karibu alikamatwa usiku kwa uzururaji, baada ya kukaa mahabusu siku 2 kesi ikataka kubadilika iwe ya unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ilibidi kuwapoza mapolisi akatoka
Mary Nagu kuna kijana amemfunga kisa alikuwa anatembea na mtoto wake na yeye ni masikini akamkanya aache kutembea na mtoto wake hakusikia ndipo alipomkamata na kumfungulia kesi ya ubakaji..
halafu wangeenda kujishow show kwenye tv wamekamata jambazi na smg yenye risaxi thelathini ilhali wanajua wamebambikia.....inaudhi sana
Mshahara shilingi laki moja kwa mwezi, matumizi milioni mbili na zaidi "recurrent" bila kuhesabia gharama za ujenzi wa majengo yao na ada za shule, bila kusahau nyumba ndogo na magari, ukiona salary slip zao hazina mkono hata mmoja, unategemea wapate wapi hela?
Akili kichwani mwako!
Mbona sisikii hao wadada sita wakitajwa mahakamani au wao hawakushtakiwa??!
Hii khali inatisha usiku ukionekana na wasichana basi wewe ni teja wa mkahaba.............
dah atasota mahabusu mbaya huyo na kama hakuwa na uwezo wa kitu kidogo ndo hivyo tena Rutashubanyuma
Jumba bovu lime muangukia.
Mr Rocky Kwanza za mwaka mpya best wangu ulipotelea wapi...............................back to the topic.....labda tumpitishie mchango wa dhamana........angalau atoke nje kidogo......